Search results

  1. V

    Google Kutoa Simu Zinazotafsiri Lugha Tofauti Tofauti

    Je? Mnatakawa wote muwe mnatumia simu za goolge? Mfano me nina google mwengine anatumia nokia inawezekana?
  2. V

    Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

    siku hizi wote wafanyabiashara 2 wanaangalia zaidi pesa hamna cha mwonekano wala nini!
  3. V

    Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

    yanga kwa somba ni kama mbwa anapomwona chatu!:D Hongera mashabiki wa simba kwa kushangilia kufungwa
  4. V

    Kwaherini wana_Forum

    Kukimbia JF Sio mwisho wa matatizo hata mitaani utasikia 2 habari za mafisadi magazetini wanaandika habari za hao jamaa hata TV utakuta wanaongelea maswala ya ufisadi utakimbilia wapi?
  5. V

    Ujumbe kwa wanandoa

    Mbona kichwa cha habari tofauti na habari yenyewe?
  6. V

    Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

    Gudboy Mkuu mimi ningependa kujua kuhusu kemikali ya kafeni inayopatikana kwenye RED BULL je? Inauhusiano wowote na kemikali ya kafeni inayopatikana kwenye KAHAWA NA MAJANI YA CHAI?
  7. V

    Mdudu kwenye mifupa anyanyasa maisha yangu

    Nipo malawi kwa sasa mwezi ujao nitakuwa huko. Nashukuru sana ndugu zangu wote mungu awabariki
  8. V

    Mdudu kwenye mifupa anyanyasa maisha yangu

    Mimi ni mwenyeji wa mbeya naishi tukuyu najishugulisha na umachinga. Kuhusu moi mimi sio mwenyeji kabisa. Mimi ni mwanaume ndugu Dicsoverer. Asanteni sana
  9. V

    Mdudu kwenye mifupa anyanyasa maisha yangu

    Nashukuru sana Members wa JF kwa kuguswa na tatizo langu nimepata faraja na mwongozo wa ufumbuzi wa tatizo langu, mungu awabariki sana. My contacts: +265999290555 email: vumiliamatola@yahoo.com
  10. V

    Mdudu kwenye mifupa anyanyasa maisha yangu

    Kwakifupi: Nikwamba ugonjwa ulianza mwaka 1991 nikiwa darasa la kwanza, Mguu ulianza kuniuma wenyewe baada ya hapo nikapelekwa hospilalini nikalazwa ukawa umevimba mguu wote vikatoka vidonda viwili vilikuwa vinatoa usaa na vipande vya mifupa. Mwaka 1993 ukaanza mkono ukatokea uvimbe baada ya...
  11. V

    Mdudu kwenye mifupa anyanyasa maisha yangu

    Ninatatizo la mifupa toka nikiwa mdogo hadi leo hii bado nateseka nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio huwa unatokea uvimbe mikononi na mguuni baada ya kupasuka uvimbe huwa vinatoka vipande vya mifupa watalamu wanasema kuna mdudu ndani ya mifupa ndo anakula mifupa, naombeni ushauri nifanyeje?
Back
Top Bottom