Search results

  1. R

    Blood group O hawapati HIV

    wewe kama hayana manufaa kwako kaa kimya. Tulio na matatizo ya kiafya yanatupatia maajabu zaidi ya milion. Wewe unayeteseka na magojwa kunywa maji uone maajabu ya kitabibu
  2. R

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    mtanzania ukitaka kumficha kitu weka kwenye maandishi, kamwe hatayagudua. We kama maneno ya ndodi hayakufai yapotezee, si kwamba wote hayatufai. Ukiyafanyia utafiti kwenye maandishi utakuta Ndodi yuko sahihi. Sasa we unayebishi umeisaidia nini jamii ya watanzania ambayo inahitaji kuelimishwa na...
  3. R

    Hujafa hujaumbika

    wanajamvi kwa mara nyingine naomba mchango wenu kimawazo. Kuanzia jtatu wiki hii nasikia maumivu makari sana upande mmoja wa shavu like shoti ya umeme au kama vile moto unaniunguza. Nimetembelea vituo vya afya na wamenipa dawa lakini sioni nafuu. Swali langu kwenu wenyeufahamu na tatizo hili-...
  4. R

    Kandambilimbili ametutoka RIP

    mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amenn
  5. R

    KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

    nyie mnaojadili usafi wa kikwete mmekuwa miungu? Mitanzania ndo tulivyo, ni jinsi gani tulivyofirisika mawazo
  6. R

    Wakristo na Waislamu ktk mwaka 2010 na 2011

    heri ya mwaka mpya wote wamchao mola na wasiomcha mola
  7. R

    simu iliyoibiwa

    how to buy!
  8. R

    simu iliyoibiwa

    simu imetambuliwa na nimeinstall uc web bila shida!
  9. R

    simu iliyoibiwa

    sinahistoria ya kutumia cheap phone. NB: Siyo nzuri kiafya, ijari afya yako epuka cheap phone
  10. R

    simu iliyoibiwa

    tatizo hapa siyo bajeti, ila nikutaka kufamu kilenisichokifahamu. Naona umenielewa siyo kivile
  11. R

    simu iliyoibiwa

    natumia operamini browres. And phone browres
  12. R

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    kazi yangu fundi wa kushona nguo. Mda mwingi nautumia nikiwa nimeinamisha shingo! Nayo yaweza kuwa sababu?
  13. R

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    sijawahi iligundua hilo. Ila kunauwezekano wa kuwa navyo. Nispokula kwa mda muafaka tumbo hunisumbua kwa maumivi makali.
  14. R

    simu iliyoibiwa

    same message kama ile ya mwanzo inatokea. Sasa sijui kama ndo origino au ndo za kichina.
  15. R

    simu iliyoibiwa

    message, (drive the new drive unavailable. Try again). Hii inatokea wakati wa kuinstal. Any help pls
  16. R

    simu iliyoibiwa

    na simu Nokia N96 waweza ilinda vipi? Thanx.
  17. R

    simu iliyoibiwa

    FuzzyByte Guardian Platinum v1.05.300 S60v3 S60v5 SymbianOS9.x Unsigned Read NFO Cracked-DiL tembelea hii link kisha njoo utueleze ni simu ya ainagni uliyo nayo! Nokia N70
  18. R

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    wataalam wa jf nimekuwa napata shida wakati wa usiku ninaposhtuka kutoka usingizini, ninasikia vidole vya mikononi vimekufa ganzi. Hali hii ikitokea inachukua kama sekunde 30 ndo hali inarudia kawaida. Nawaomba msaada wenu wa kitabibu. asanteni'
  19. R

    simu iliyoibiwa

    watalamu naomba msaada wenu ni jinsi gani naweza kuilinda simu yangu na vibaka.??
  20. R

    Amazing CSI science

    ha! Kumbe hakuna kitu ambacho kipo hakijawahi kuwepe,. hii imetulia
Back
Top Bottom