Search results

  1. respect wa boda

    Sugu katikati ya wanaCCM Ikulu ndogo jijini Mbeya

    Kunawatu mpaka leo wanashangaa Sugu alipataje kura nyingi kuliko Mbunge yeyote hapa Tanzania..!! Jibu ni rahisi tu, Huyu jamaa anapendwa mno mpaka na maadui zake wanapanga foleni kupata kumbumbu ya vitukuu vyao hapa duniani.. Na pamoja na madhira yote jamaa anawamwagia upendo tu..!!
  2. respect wa boda

    Shule nzuri ya msingi (private) kwa Tabata

    Guys mambo zenu.... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... kwa mwenye kujua shule nzuri iliyopo Tabata Ukiondoa Tusiime nitashukuru akinipa uzoefu wake hapa. Ikiwa na unafuu wa Ada (chini ya 2ml per year) itakuwa poa sana Hayo tu Wadau BACK TANGANYIKA
  3. respect wa boda

    Arusha: Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi ya Lema ajitoa

    KESI YA LEMA: Hakimu Mahakama ya Arusha amejitoa kusikiliza kesi ya uchochezi dhidi ya Godbless Lema, baada ya Wakili wa Serikali kudai hana imani naye. ===== Hakimu huyo ni wa pili kujitoa katika kesi hiyo, kwani Mei 29, Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Arusha, Desderi Kamugisha pia alijitoa kwa...
  4. respect wa boda

    Samatta agonga mbili timu yake ikishinda 3-1

    Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk yaUbelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu yake ya Genkkupata ushindi dhidi ya Waasland-Beveren. Samatta akiwa na KRC Genk katika uwanja wa...
  5. respect wa boda

    Kenya: Daktari fake apewa ofa ya kujiendeleza kielimu na kuepuka kifungo

    Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza Daktari feki aliyekamatwa nchini humo kuruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari. Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki aliwafanyia upasuaji wagojwa tisa kati ya hao mmoja ambae alikuwa mjamzito ndio alipoteza...
  6. respect wa boda

    Kila nikikumbuka kisa hiki, natoa saluti kwa mapenzi

    Habari ladies an gentleman, Yap, Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile mbaya.. Aisee kale katoto kalikuwa kazuri bwana asikwambie mtu..!! Naam Siku ya siku hii hapa...
  7. respect wa boda

    Obama na Trump washindwa kuonyesha Furaha White house

    Wakuu habari ndo hii, Jamaa wamekula ganzi kishenzi, Trump jeuri hataki kujishusha. Obama kauzu hataki kuonyesha kujutia kwa yale aliyotamka hapo mwanzo wakati kampeni zikianza. Wacheki hapa
  8. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) Special Thread

    November hiyo
  9. respect wa boda

    Namna ya kupata ticket na Cards ya Mechi ya Simba na Yanga

    Wakuu salam, Naam kama umeshapata Ticket yako au tuseme Kadi inayokuwezesha kupata tiketi, tunaomba uzoefu wako hapa. Tuelekeze tunakoweza kupata kadi hiyo na hatimaye Tiketi husika. Au tunaomba utaratibu mzima wa kuwezesha kuona Machi hiyo. Vilevile unaweza kutujuza pengine, madaraja na...
  10. respect wa boda

    Hali ya Mbunge Godbless Lema yazidi kudhoofika huko Mahabusu

    #Habari:Afya ya Mbunge wa Arusha , GODBLESS LEMA anayeshikiliwa na Polisi Mkoani Arusha ni mbaya baada ya kususia kula akiwa Mahabusu tangu alipokamatwa juzi asubuhi . Source Itv My take. Hatua za makusudi zinatakiwa kuchukuliwa. Mahakama na Police wasimame kwenye Sheria. Lema...
  11. respect wa boda

    GEITA: Waziri Mwigulu aweka gwaride la utambuzi, amkamata Mchina aliyemtesa Mtanzania

    Nimefika Mgodi wa Nyamhuna unaodaiwa kuwa raia wa china ambao ni sehemu ya wamiliki wa mgodi huo wakishirikiana na watanzania walimtesa kinyama na kumjeruhi mmoja wa mtanzania mwenzetu aliyekuwa akifanya kazi katika mgodi huo uliopo Katoro-Geita. Habari ya huyo rai wa china ipo hapa=>GEITA...
  12. respect wa boda

    Dola yazidi kupaa, Dola moja yafika Tsh 2,200 mitaani

    Wakuu Salaam, Naam hiyo ndiyo halihalisi kwenye mitaa mbalimbali ya Kariakoo hapa Dareslaam. Dola imekuwa adimu sana,upatikanaji wake ni wa shida. Hali hiyo imesababisha kupaa kwa Dola, haikamatiki. Matokeo yake ni kupanda kwa bidhaa mbalimbali kwenye masoko kadhaa hapa Mjini. Hivi sasa kama...
  13. respect wa boda

    Maneno mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba

    NGOJA NIWAELEZE UKWELI! Kama mzee wetu anao washauri, wamwambie kuwa "DALILI ZA MVUA NI MAWINGU". Na kwamba, NGOMA ivumapo sana hupasuka na tena ajulishwe kuwa VITANI hakuna michezo ya KUJIFICHA na KUONEKANA baadaye, jana niliwaambia kuwa najua CUF inao watu makini wanaojua nini haki ya PROFESA...
  14. respect wa boda

    Lady Jaydee ndani ya Bunge

    Mwanadada machachari wa Muziki nyororo wenye kuamsha hisia za kidume kisichopandisha kuweza kuumudu majukumu ya Mume kwa mkewe bila wasiwasi, ameonekana ndani ya Bunge kuwasabahi Wabunge wa CCM baada ya kupata Stress kutokana na kutokuwepo kwa Wabunge wa Upinzani Bungeni. Hali hiyo imeonekana...
  15. respect wa boda

    Kariakoo: Machinga waondolewa mitaa yote ya katikati ya jiji

    Wakuu kumekucha, Napita katika mitaa ya Kariakoo, mitaa ni open, hali ya msongamano kama ilivyo kawaida haipo tena. Njia ni nyeupee Watu wamekaa makundi makundi hawaamini kinachoonekana, hali ni tulivu hakuna vurugu wala kokoro, kumetua kimyaa. Wafanyabiashara wa Kariakoo wanashangilia mioyoni...
  16. respect wa boda

    Congo: Moise Katumbi afunguliwa mashitaka ya kuajiri wageni mamluki nchini humo

    Mwanamume anayetarajia kuwa mgombea mkuu wa upinzani kwa urais katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, anatarajiwa kufika mbele ya mahakama leo kujibu mashtaka yanayaomkabili ya kuwaajiri mamluki kutoka mataifa ya nje. Mawakili wa Moise Katumbi wanasema Gavana huyo wa zamani wa jimbo lililo na...
  17. respect wa boda

    CONGO DRC: Moses Katumbi, Tajiri na Mmiliki wa Timu ya Tp Mazembe kuwania Urais wa Nchi hiyo

    Mwanasiasa mashuhuri Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Mfanyabiashara huyo na Gavana wa zamani wa jimbo la Katanga alitoa tangazo hilo kupitia kwa mitandao ya kijamii. Muungano wa vyama...
  18. respect wa boda

    Tanzania kupata Bl 4.8 mara baada ya kukamilika kwa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda.

    Hayo yamesemwa na Waziri Muhongo akinukuliwa na gazeti la Mwananchi la leo. Inadaiwa kwamba, mara baada ya kukamilika kwa mradi huo Tanzania itakuwa inakusanya kiasi cha shilingi 24000 kwa kila pipa litakalopitishwa kwenye Bomba hilo ambazo ni sawa na Shilingi Bl 4.8 kwa pipa 200.000...
  19. respect wa boda

    Nini manufaa ya bomba la mafuta kupitia Tanzania au Kenya?

    Guys habarini za jioni... Kwasiku kadhaa sasa kumekuwa na sintofahamu juu ya sehemu haswa litakakopita Bomba la Mafuta ghafi toka Uganda. Nchi za Tanzania na Kenya kwa nyakati tofauti zimeonekana kila moja ikitaka Bomba hilo lipite kwake. Hali hiyo imezusha hofu baina ya Washirika hawa wa...
  20. respect wa boda

    Yu wapi Waziri Mwigulu Lameck Nchemba Madelu?

    Wakuu habari za kitambo kirefu.... Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha. Alipokabidhiwa Wizara hiyo...
Back
Top Bottom