Search results

  1. Pius J. Kiwarya Lema

    Pasaka wa BWANA amekwishatolewa!

    YESU KRISTO wa Bibilia amefufuka Kweli kweli Haleluya ;Tuendelee Kumfuta na Kumuamini aliye chanzo na asili ya Uhai wa Mwanadamu,;
  2. Pius J. Kiwarya Lema

    Matamanio ya Vyama : sio Mahitaji yetu Watanzania!

    Kazi yetu ni kuombea Taifa letu lakini mambo mengine yanayogusa hatima yetu watanzania yanaposhika hatamu ni vyema kutoa maoni Kwa mujibu wa sheria hasa watu wanapochanganya matamanio ya vyama vyao kuwa ya watanzania wote.Unapomsikia mtu anasema maswala ya uchaguzi ni mpaka 2020 ina maana anajua...
  3. Pius J. Kiwarya Lema

    Mpata Leo Kapata ;Mpata kesho atapata nini ?

    Kuna mtu anaweza kukuambia jambo fulani ukamuelewa kutokana na nafasi yake aliyonayo katika jamii husika. Lakini mwingine akakueleza jambo lile lile hautamuelewa . Eti Muda wa kurudia Uchaguzi bado upo; hadi Julay 2019 ni sawa kusema anayetaka kujiuzulu afanye hivyo mapema kabla haujaisha...
  4. Pius J. Kiwarya Lema

    Tuanze na Ufumbuzi Wa Kudumu

    Msukumo Wa Kuendelea Mbele na Rasilimali za Taifa: Tuanze na Ufumbuzi wa Kudumu : Watanzania Tunarudià Makosa yaleyale ! Kinachoonekana kwa SAA chache mara baada ya ripoti kutolewa, kunadhiirisha kutokujitambua kwetu kama MTU mmojammoja. Tujue Hakuna chochote kitakachofanyika kama wale...
  5. Pius J. Kiwarya Lema

    Sikutegemea EAL !Bado Hatujawa watanzania

    Inavyonekana leo utaratibu umebadilika au ? mbona hatujazingatia jinsia katika kupiga kura kma tulivyodai ? Yaani mmoja kupiga kura mbili Kwa jinsia moja ! Kwani utaratibu umebadilika ? Kulikuwepo na haja gani ya kutaka jinsia ambayo hauuhutajj ? Kumbe;tatizo lilikuwa ni watu Fulani...
  6. Pius J. Kiwarya Lema

    Poleni sana sana Wafiwa ,! Bwana Mungu awaimarishe

    Poleni sana sana wafiwa. Kama taifa ni msiba wetu sote Ni tukio la kikatili lisiloelezeka ambalo Limetuondolea nguvu ya pamoja ya watoto wetu waliokuwa wanitafuta elimu kwa bidii. Kwa Jina la Yesu naungana na wote walioondokewa na wapendwa wao;wa karibu wakiwemo wazazi walezi ndugu jamaa na...
  7. Pius J. Kiwarya Lema

    Maana ya "ISAALEl " Siyo Upatanishi !

    Kwa miaka 41nimezaliwa wa nimeishi Tanzania Kilimanjaro Ninaijua historia : Ukiona jambo linapotoshwa na watu wanaojitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ni lazima usahihishe vinginevyo wanaweza kufuta maana njema ya jambo husika. MTI wa ISALE au JANI lake lina maana moja tu ya ASILI nayo ni...
  8. Pius J. Kiwarya Lema

    Kunyamazia Kushiriki, Kuwezesha ni sehemu ya :Tatizo ni "Nafasi" sio Ufisadi

    Kuna habari zinazojirudia kuhusiana na waliokosa nafasi kugombea Urais mwaka jana. Napenda mjadala wa wazi juu ya madai haya ili yafikie mwisho tuendelee kujadili mambo mengine. Huyu ndugu anadai anachukia ufisadi na alimpokea fulani ili aongeze nguvu ya Ukawa lakini sio kugombea ...
  9. Pius J. Kiwarya Lema

    Hivi Anna Senkoro na Anna Mghwira sio wanawake?

    Jumatatu niliandika mada humu ndani nikisema yafuatayo: Nanukuu: Wamarekani wanajua wanachokitaka Tuache ushabiki . Toka enzi zile wanajua wanakitaka, wakati sisi tunaongozwa kuchagua kwa kutumia maneno matamu yanayoitwa Ahad_"iIani" wao wanachagua kutumia "sera ya Taifa" Mlipomshabikia...
  10. Pius J. Kiwarya Lema

    Tuombee kipande chetu !

    Mungu uliye hai Ninakushukuru wewe ! Asante kwa Upendo wako kwetu . Umetupa Kipande kikubwa cha Ardhi ukakibariki sawa sawa Na taratibu za Uumbaji wako ! Asante kwa Haki yako; iliyotamalaki' Kwa Miaka mingi haki hii ambayo Zawadi ya asili imetuzalia kuishi kwa Amani. L Mimi Nikiwa ni...
  11. Pius J. Kiwarya Lema

    Haki Huinua Taifa : Bali dhambi ni aibu ya watu wote

    Watakatifu wa Bwana ! Kuomba kuendelee, Maana Bwana Mungu Ametuweka kwa kusudi lake !
  12. Pius J. Kiwarya Lema

    Hongera James Lembeli kwa kukataa "kukatwa mkia"

    Mwanadamu anaweza kuwa chochote wakati wowote, Aliwahi kusema alipata Baraka zote, "Mzimu " ya Mama yake ndiyo iliyomruhusu ajiunge "Jeshi la mabadiiko" UKAWA. Na kwamba hairuhusiwi kurudi nyuma, jana amekataa kukatwa mkia," kukatwa mkia ni Maana yake ni kurudi "ugambani" Maana yake unakisa...
  13. Pius J. Kiwarya Lema

    Lowasa anatisha jamani !!

    Hata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako ! Ukigeuka Huku Lowassa, Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa, Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !! Kwa maoni yangu Watu wanahofu kubwaaa !!
  14. Pius J. Kiwarya Lema

    CCM na CCM ya Magufuli "itakufa" Mara mbili ?

    Kuna Mahojiano ya kada wa CCM yanaendelea Chanel ten kipindi cha baragumu live, Kuhusu kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa mwenyekiti wao. Huyu kada anashindwa kuelezea chama chake na kurukia vyama vya upinzani , Anajidanganya akidai CCM ilikuwa imeoza na mafisadi wameondoka kwa hiyo pombe ni...
  15. Pius J. Kiwarya Lema

    Tanzania inapotenda ifanye marejeo ya Viongozi waliopita

    Ukisilikiza Viongozi unabakia Kuombea Tanzania! Sioni Vision ! Awamu ya tano Nawapa fomula waitumie : "Unaotatua tatizo lolote usiangalie mwenzako amekosea wapi ,Bali angalia amefanyajefanyaje"? Utafanikiwa ! Kama Tukiendelea hivi ni Miaka Mingine mitano ya kupoteza !! Kwa maoni yangu Ni...
  16. Pius J. Kiwarya Lema

    Eti Kingunge ni "wa kuja" tu? Kikwete

    Nimeona na kusikia magazetini leo asubuhi nadhani gazeti la Majira kwamba Rais Mstaafu Kikwete amesema Kingunge Ngombale Mwiru ni "wa kuja tu," kwani hajawahi kujengwa kwenye misingi ya ya CCM isipokuwa CCM ndiyo iliamua kumuamini. Alikuwa anaongea Na vijana wa CCM Nikasoma na gazeti la Uhuru...
  17. Pius J. Kiwarya Lema

    Izack Emil afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli Facebook

    SHERIA YA MAKOSA MTANDAONI: Kijana Izack Emil afikishwa mahakamani Arusha leo asubuhi kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook. Kwa maoni yangu: Hongera kwa Hatua hiyo, Msiishie hapo, kwenye mitandao ya kijamii kila siku ni matusi, badala ya hoja . Hata Lowassa...
  18. Pius J. Kiwarya Lema

    Tukiendea hivi, ni miaka mingine 5 ya kupoteza

    Mimi natumia kichwa kufikiri, mtu akitimiza wajibu wake kwangu sio jambo jipya mfano mdogo tu unielewe kuhusu kodi kukusanya kodi ni wajibu sio ombi kama walikuwa hawakusanyi kodi ni uzembe/wizi sio jambo jipya la kumpongeza wakati watu ni walewale mfumo ni ule ule. Jambo jipya kwenye swala...
  19. Pius J. Kiwarya Lema

    Tuhuma za Rushwa ya Wabunge Ccm zimeanza 2016 ?

    Huyu Ameshindwa KAzi aliyopewa kabla hajaanza ??? Ndo tatizo LA kujidanganya kwamba Fulani ni Mtakatifu ! Wakati mikataba yote mibovu alikuwepo barazani ! Kwa maoni yangu: Ccm ni ile ile !!!, Nawatakia kila kheri Na Bwana Mungu awabariki !!
  20. Pius J. Kiwarya Lema

    Sijaelewa Usajili wa silaha Mara ya Pili sasa !

    Sjjaelewa Kila mfumo wa serikali unaanza upya au ? Usajili wa silaha umefaanyika mara Mbili toka 2010! Silaha zote zimeingizwa kwenye Mfumo Wa Jeshi la polisi ! Sasa Ninaposikia kusajili upya Nimebaki najiuliza,!!!!! Hivi ule usajilj ulikosewa au ndo kila awamu ikija inafuta kila jambo...
Back
Top Bottom