Search results

  1. C

    Taarifa kauli ya mkurugenzi wa NBAA juu ya kuwatafutia wahitimu kazi

    Habari zenu wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema. Katika mahafali ya wahitimu ya shahada ya juu ya uhasibu "CPA" mwezi November mwaka huu, mkurugezi wa NBAA, Pius Maneno aliahidi kuwatafutia kazi wahitimu wote ambao hawana kazi. Ningeomba mrejesho kama kuna ambaye ameshaitwa kazini...
  2. C

    Wataalam wa picha

    Tunaomba mtutafsirie
  3. C

    Familia moja yaibuka na kudai aliyebuni na kuchora nembo ya Taifa sio mzee Maige bali Mzee Kabati

    Kumekuwepo na mijadala kwenye mitandao ya kijamii inahusu mzee huyu anayefahamika kuwa ndo aliyebuni nembo na taifa ambaye saa hivi anapokea matibabu muhimbili kwa hisani ya serikali, ila kuna watu wanaosema sio yeye aliyehusika na huo ubunifu. Kwa wale wanaomfahamu mzee waje watupe ukweli.Moja...
  4. C

    Maajabu ya Airtel wana maitainance charges kwa ajili ya airtel money

    Jana nimepokea ujumbe kutoka Airtel wakiniambia wanitoza sh. 180 kama maitainance charges kwa kuwa sijatumia Airtel money. Hii imekaaje wakuu? Kwa uelewa wangu bank ndo zinatoza hii ada. Sijajua kama mitandao mingine wanafanya hivi. Kama nao wapo huu ni wizi mkubwa sana ikitegemea sijawahi...
  5. C

    Nauza photocopy machine IR 2420

    Nauza photocopy machine canon IR 2420 kwa sh. 1m tu. Ni mpya. Nimetolea copy chini ya elfu mbili.
  6. C

    Lowassa ni mastermind wa siasa.

    Wa kunikosoa wanikosea ila lowasa aliposema anataka chadema itoke kwenye uharakati nadhani watu hawakumuelewa. Niseme tu lowasa anajua wakati gani atumie silaha gani kumdhuru adui. Alishasoma kuwa siasa za kiuharakati hazitafua dau msimu huu. Watu waliponda ila aliona mbali. Jamaa ana mikakati...
  7. C

    Kuna sheria inayokatazaa uanzishwaji wa strip clubs?

    Naomba kuuliza kuhusu sheria za nchi kuhusu uanzishwaji wa strip clubs hapa Tanzania. Na vipi kuhusu ile strip club pale Ilala mtendeni? Bado ipo?
  8. C

    Kunani clouds kipindi cha power breakfast!

    Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
Back
Top Bottom