Search results

  1. C

    Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

    Na aliyefikisha kaya hizo mia ku relax kabisa na pengine kuacha kabisa kuhesabu
  2. C

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Mna page yoyote ya social media?
  3. C

    Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Mkuu Biblia inasema asiyetaka kufanya kazi na asile. Sio asiyefanya kazi. Kumaanisha kama kuna kazi na ukakataa kufanya hiyo ndo shida.
  4. C

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hamjaacha kukufuru bado
  5. C

    Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Sema hii hesabu haiko vizuri. %wise ilitakiwa kura zote ziwe 100%
  6. C

    Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    *Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%) *Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%) *Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%) Kura 28. Then hizi asimilia mbona haziadd up?
  7. C

    Serengeti: Amuua mkewe na kumchoma moto ndani ya nyumba baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka 2

    Mtoto wa mwaka mmoja then kanyimwa unyumba miaka miwili? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    BoT yatangaza Noti mpya

    Mambo ya uchaguzi haya Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Ufungaji wa mziki kwenye gari... Nani mkali wao?

    Kwa Tanzania nzima Eastside sound wa Arusha anawafunika wote
  10. C

    Ana shahada na CPA mwaka wa 4 huu hana ajira

    Mshauri a-apply audit firms ziko kibao zinahitaji watu wa hizo qualifications. Asisubiri matangazo ya ajira
  11. C

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Ukikutwa na 1 kg and above that is another issue.
  12. C

    Hili kosa kama atalifanya CAG wiki hii basi atakuwa amepatikana na atasimamishwa kihalali

    Well said. Watu wanafikiri ni CAG anaenda physically. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    Nimekata shauri, naandika wosia

    Mkuu huku kuna ambao wameshadhulumu mali za wajane. Usidhani watasapoti hii kitu. Ingekuwa tunatafuta mali kwa ajili yetu sisi tu tusingejenga maghorofa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Nimekata shauri, naandika wosia

    Je mkifa wote na mwanamke kwa pamoja inakuaje? Imagine mmekufa wote kwenye ajali. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Kwa uzinduzi wa umeme huu Waziri Kalemani anaaibisha nchi, atumbuliwe

    Kaenda na gari la milioni 200 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. C

    Kiwanja cha 10x10, kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu?

    Na 10x10 ni sq. metre 100 so unaweza kuona ni vyumba vingapi. In short unaweza lakini vipi kuhusu eneo la akiba kama kwa ajili ya parking? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. C

    Kiwanja cha 10x10, kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu?

    Kawaida chumba ni 3x3. Square metre 3. So unaweza kupiga hesabu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. C

    Faida na Hasara alizopata Mjomba 'ake Omar kwa Kufuga Majini

    Siku hizi hizi hadithi za JF huwa nasoma mwisho kwanza,,,nikiona neno itaendelea hata sisomi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom