Search results

  1. mtaratibuuuuuu

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Angalia kiambatisho - picha hii inawasilisha ujumbe wakutosha kuliko maneno nitakayoandika. Hapo ni Jaws Corner Zanzibar.
  2. mtaratibuuuuuu

    Je ni sahihi?

    Yawezekana anamtamani nini?dada ana mwaka sasa nyumbani na hawajawah kuachwa pa1 ila ndo katoka salimia kwao haya yanajitokeza
  3. mtaratibuuuuuu

    Je ni sahihi?

    Mume anarudi toka kazini anapokewa na mkewe halaf hawajajuliana hali vizuri anauliza dada amelala?(mfanyakaz),au unaenda dukan na mumeo unamwambia ninunulie kiatu,anakuambia nimeona cha dada.Je ina maana anajali sana wa2 wa nyumbani kwakwe pamoja na dada?,na mume kumkumbatia dada anapofika...
  4. mtaratibuuuuuu

    Ushauri tafadhali

    @the boss na gozo,kila m2 anaamini tofauti ktk hilo jambo(tatizo lililopo),na mwenzio anakuambia yuko sahihi ilhali wewe ukiangalia kwa undani unaona si sahihi,na linasumbua kwa muda mrefu,mmezungumza na kuzungumza ila mwenzio anasema ok nitalifanyia kazi ila sasa inazidi na hakuna changes hata...
  5. mtaratibuuuuuu

    Ushauri tafadhali

    Ikiwa mmekuwa na tatizo la muda mrefu na mwenzi wako,mmejitahd kulitatua ila linaonekana halitoisha,ukaamua kupotezea.Ila imetokea tatizo hilo limekupelekea wewe upunguze upendo kwa mwenzio.Je ni sahihi kumueleza hisia zako kuwa upendo umepungua?au inaweza kuleta shida zaidi?.
  6. mtaratibuuuuuu

    Tujuzane hili

    Kinenekejo sijakuelewa unamaanisha nini?
  7. mtaratibuuuuuu

    Tujuzane hili

    Coolbaby nashukuru kwa maoni yako maana natafuta kujua katika hili
  8. mtaratibuuuuuu

    Tujuzane hili

    Hivi jogoo anapowika alfajir anamuamsha binadamu,kuku mwenzie au anafungua mapafu
  9. mtaratibuuuuuu

    NSSF interview

    Duuuh,kwahiyo sisi tusiokuwa na wakubwa tunaowajua ndiyo imekula kwetu?,haki ya nani loool
  10. mtaratibuuuuuu

    Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

    Kiukwel majaribu ni mengi hayakwepeki hayo hata kidogo,communication ikiwepo sometimes inasaidia kuclear doubts,bt mungu ni mwema siku zote hapendi mifarakano
  11. mtaratibuuuuuu

    Nampenda sana mpenzi wangu

    Hongera sana mungu awajaalie mapenzi yenu yadumu milele na milele,ukiwa muwazi kwa kila ulifanyalo,ukimuonyesha unampenda kwa dhati,hakika atakuamini
  12. mtaratibuuuuuu

    Chupi imeleta kizaazaa

    Mfuate mkeo kwa upole na utaratibu umueleweshe na uwe muwazi,ukibabaika kidogo tu ktk maelezo yako atatia mashaka zaidi ya hayo aliyonayo,atakuelewa 2 ila ucjefanya hivyo tena unaweza poteza uaminifu wote kwa mkeo
  13. mtaratibuuuuuu

    Mapenzi magumu

    Haki ya nani hii kiboko,hakuna vya bwerere hapa,nipe nikupe hiyo,pole yake kwakwel
  14. mtaratibuuuuuu

    Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

    Uliyoandika mengi ni kweli yanatokea Asha dii,Lool nilimpenda,nampenda na nitampenda milele, naomba mungu anisaidie shetan asipite karibu.
  15. mtaratibuuuuuu

    Wabunge wa CHADEMA tuachane na Bunge tuungane Arusha

    Lema alienda kwa mapenz yake huko jela sisi 2napiga kelele za nini?alijiona anahatia ndiyo maana akajipeleka mwenyewe,kila siku wana wa maandamano mnasisitiza sheria zifuatwe,halaf nyie ndio wa kwanza kupindisha,halaf mbunge anawakilisha wananch wa jimbo lake wakitoka wote kero za wananch wa...
  16. mtaratibuuuuuu

    Ewuraaaaaaaa

    Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha sh.3000 kwa siku ataweza kwel?.Na serikal inashangilia 2 loool,inabidi kutafuta njia yakuzuia...
  17. mtaratibuuuuuu

    Kweli namna hii tutafika?

    Likwanda Hata kama ni hicho kimoja wangapi wanafuata huduma hapo?,je kweli uzembe wakutokuwa na dawa?unataka kusema hospital haijafuata kwa wiki nzima wawe wanarudisha wa2 na wakijua kabisa wanazidi kuongezeka kila cku?
  18. mtaratibuuuuuu

    Kweli namna hii tutafika?

    Alhamis iliyopita nilimpeleka mtoto akapate chanjo kwenye hospital ya pale ukonga magereza,wakasema ijumaa na j3 ndiyo wanatoa,nikaona niende j3 jana,waka2ambia dawa za chanjo hakuna mpaka wiki ijayo,watu wawe wanakuja kuangalia kama zimekuja.Hiv serikal iko serious kwel?,kama dawa za chanjo...
  19. mtaratibuuuuuu

    She is attracted to a co-worker.. mgogoro na jamaa

    Baadh wanawaambia wake zao wa ndoa'unajua halima ni mwanamke haswa,yaan ni mwanamke shupav acha,mpiganaji huyo yaan i lov her,yaan shez such a woman an makumcf kila cku'angalia anavyozungumza ni ile kwa feelingz mpaka m2 unajiuliza hawa ni co-workerz au mengine?,na ni marafiki wa karibu sana saaana
  20. mtaratibuuuuuu

    NSSF wameshaita wa2 kwenye interview?

    Ahsanteni sana wadau kwa maoni yenu,
Back
Top Bottom