Mkuu heshima kwako. Na kama umepita siku sio nyingi hapo nadhani utakua ushaelewa upepo unasomeka vipi. Na majukumu mapya atakayopangiwa ni yapi.
Heri ya mwaka mpya
Men in Uniform..........ulikua unasema mens ukiwa na maana gani? Kama ni wingi umepotoka.
Happy Hunting Comrade. Go get them, the only language those tangos understand better is just two taps of lead between the eyes.
Mkuu hamna FBI hapo.....majukumu ya kumlinda POTUS na wale walioko kwenye sucession chain ni ya USSS. Walkuaga chini ya Treasury zamani na siku hizi ni Homeland Sec Depertment ndo boss wao.
Mkuu heshima mbele, za masiku? Hii ni zaidi ya siasa mkuu, hii ni mambo za uchaguzi mkuu 2015 na kama umeona wanalazimisha kumtambulisha mtu kwa vijana. Hata hayo majina wameyapanga strategically kabisa. P77 na P78 Ambayo moja ni msoga nyingine mwitongo.
Zina maana kabisa.
Tanzania yangu wee.
Mkuu C.T.U kuna failure kadhaa nimezinotice hapo kwa hao close protection guys did you??
Wamevaa vibaya hadi wameshindwa kuweka baadhi ya vifaa muhimu vya kazi.
Na usiniambie their only assurance/cavalry is that single CAT SUV behind, its too far from the protectee
Cc. OLESAIDIMU
Mkuu OLESAIDIMU ngoja tumezee tu haya mambo haya. Hadi nimemkumbuka comredi Ogah kuna siku tulichafua JF Photos ikabidi ipigwe chini. Wayback when JF was JF kweli, siku hizi tumekua wapita njia.
Ila nimemkubali hajasahau mafunzo. Wanasema "maji hayaachi ubaridi wake, hata yachemke vipi"
Hahaa katika picha zote kuna kitu kimenifurahisha. Kuna jamaa kaweka "arms ready" posture. Pamoja na kuwa boss bado anaact kama yuko theater na principal. Relax boss vijana wapo
I know how it hurts Karucee..... and indeed I will come to peek kidogo tu sio sana
Work is killing me over hia. Please drop that spanner girl.....from your avatar
Hey lil doll
Ebwana eeehhh na we kwa majanga hujambo. Ngedere ni kero sana. Mi shambani kwangu walianza kuniletea upuuzi huo nikaanzisha ratiba ya kutoenda range nikawa naenda kuwawinda every saturday. Baada ya kupiga wawili watatu tu wote wakapotea.
Hauna option kwakweli ni lazima ujivike...
Mkuu mossad007 heshima mbele kwa uchambuzi mzuri ILA naomba nitofautiane na wewe katika haya
-1. Katika ile assault zilishiriki unit mbalimbali za ulinzi Kenya. Maroon Commandos walikua ni sehemu tu, kulikua na jamaa wa 20 Parachute Battalion,30 Special Forces (30SF) na 40 Rangers Strike Force...
Our cooperation with the Norks go way back....hata vita ya ukombozi kusini mwa Afrika walitusaidia sana. Zimbabwe tulishafanya nao Op kadhaa in particular. Hamna kilichobadilika zaidi ya US kujifanya Big Brother atuchagulie marafiki. Wish Nyerere was alive....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.