Search results

  1. C

    Benki ya wanawake..twb..

    Moderate hao ni waongo issue ipo wazi sana cjue kwann wamefunga post yangu? Au ndio hizi rushwa naomba majibu ya kina na waje na majibu hizo tuhuma zablon wewe ni mgeni acha kuchakachuwa wewe unajuwa ukweli kuwatishia hao vijana hakusadie. Au ni siri kuwa mtoto wa mama chacha amepandishwa cheo...
  2. C

    Katibu Uchumi amchana Mbunge Kiteto

    Najuwa matui wameshajikomboa bado hapo chapakazi na soweto
  3. C

    Upotevu wa pesa za wateja benki ya wanawake

    Kuna upotevu wa pesa za wateja katika chumba kuhifadhia pesa zaidi ya sh milioni kumi zimepotewa katika mazingira ya utata cha kushangaza mtunza funguo moja hajalipishwa wamelips ma cashier wawili na mshika funguo moja moja hajaguswa kwakuwa yupo jirani na branch manager. Mwaka jana kulitokeya...
  4. C

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Wewe niambie natakiwa niwe na minimal kiasi gani kama vifaa vya electronics, nguo, cheni, viatu wewe chambua vyote
  5. C

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Mkuu ulivyotazama mtu anatakiwa awe na kianzio cha shilingi ngapi eli aweze kuleta mzigo ambao anaweza pata masilahi kidogo?
  6. C

    Containers for sale

    Nataka la ft 40 nipe bei mkuu?
  7. C

    Miraa/ Mirungi/ Khart/Gomba inauzwa wapi hapa Dar?

    wewe hiyo inayopatikana kiandiko ni ya low grade aka RUNGU NA HAIDARU KUTOKA KOROGWE, WEWE HATA UKIWA USALAMA NI PM NITAKUPA KITU FRESH KUTOKA NAIROBI OR MOMBASA MZIGO UMESHAFIKA MUDA MREFU SANA WATU TUNA VEVEKA TU
  8. C

    Miraa/ Mirungi/ Khart/Gomba inauzwa wapi hapa Dar?

    Full handasi, kangeta is best
  9. C

    CHADEMA Mabibo imesambaratika

    Tawi la CHADEMA Mabibo limengia kwenye mgogoro mkubwa sana baada ya kutokea pande mbili moja ikiwa ianongozwa na mwenyekiti wa tawi ambayo inataka uwazi wa matumizi ya pesa na upande wa pili unaongozwa katibu na mzee moja Kigoma na mweka hazina. Kisa cha mgogoro ni pesa...
  10. C

    Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    Tumia akili ya kawaida tu kaka (panadol za mbeya ) aina ya mahindi mbeya songea, rukwa na iringa zikikobolewa zinatoa unga mchache ukilinganisha na mahindi ya dodoma, tani kumi za mahindi ya dodoma zinatoa unga mwingi kulinganisha na tani 10 za mbeya mahindi ya mbeya yanatoa...
  11. C

    Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    Hongera kwakuwa unajuwa kila kitu mbeya sembe, mimi nina kama machines changu manzese nitakuja mbeya unifundishe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. C

    Agent anahitajika wa kuuza unga wa sembe

    Mkuu kwa uzoefu ni ngumu sana kutoa sembe mbeya kuleta dar, ushindani wa soko ni mkubwa sana, kifupi ni bora ufanyie production dar, soko la sembe la dar ni lakujuwana halafu sio cash inakwenda kwa mkopo hadi iuzwe ndio upewe chako, wafanyabiashara wa dar, wanatumia mizani mbili ipo ya...
  13. C

    Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

    beikinu cha kusaga no.100 ni 1,5milioni , base yake 250,000/= stand/ frame. mota 40hp 1.2millioni, stata ni laki 5, kinu cha kukoboa rola 3 ni 1.2milioni, base/ stand 250,000/= stata laki 5, , mota 1.2milioni, waya mnene laki 1 total cost ni kama 6,700,000/= HIYO NI UHAKIKA...
  14. C

    "MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??

    Wenzetu wa Kenya mirungi aka MIRAA kwao ni zao la biashara kuna ndege maalum zinazosafirisha mirungi kwenda ulaya, america, china, pakistani, yemeni, saudia kwa mfano kuna ndege 3 zinapeleka mirungi JAMHURI YA WATU WA SOMALILAND, NA NYINGINE INAPELEKA SOMALIA, DJIBOUT. SISI...
  15. C

    Maalumu kwa wakulima wa vitunguu na wanaotaka kuanza kilimo cha vitunguu

    Ukiwa na muda nenda kaangalia mang'ola watu wana anika mpaka gunia 2000, mtu kama awake anavuna gunia 10000/= na bado ana anika. Hakuna bei ya mbegu ya vitunguu inayofika 600'000/= kwa lita 20. Huo ni wezi bei ya mbegu inajulikana acha kuibia watu, wewe unaponekana kama tapeli
  16. C

    Maalumu kwa wakulima wa vitunguu na wanaotaka kuanza kilimo cha vitunguu

    Mkuu kuwa mkweli piya tuwe tunamuogopa mungu, ukiendeleya kudanganya nitaweka contact za watu walio mashambani muda huu maeneo ya ruaha mbuyuni, mang'ola karatu na singida mimi mwenyewe nimelima vitunguu mang'ola na ruaha mbuyuni. Piya hiyo bei ya 600,000/= kwa debe moja ni kubwa sana...
  17. C

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Bei ya vitunguu sokoni haipo fixed inategemea na msimu na hali ya wakati huo leo unaweza kukuta ni 130,000/= siku wewe umevuna unakutana na bei ya 30,000/=, elfu40
  18. C

    Maalumu kwa wakulima wa vitunguu na wanaotaka kuanza kilimo cha vitunguu

    Tahadhari bei ya kitunguu haipo fixed sokoni inategemea na msimu nadhani bwana mkubwa ametoa hiyo bei ya 130,000/= elikuvutia watu wanunuwe mbegu yake hiyo. Piya kilimo cha vitungu kina gharama sana hususani kwenye mbolea na madawa. Unaweza kutumia hadi milioni 4 kwa heka halafu ukavuna gunia...
  19. C

    Natafuta mteja au top up

    weka details , model yake , ya mwaka gani, imengia lini, number yake , imetembea km ngapi???
  20. C

    Toyota ist

    tumpe msaada kwa budgeti yake ya 6m anaweza agiza gari gani nadhani huo utakuwa msaada tosha kwake, wewe unauza bei gani hiyo yako????
Back
Top Bottom