Search results

  1. C

    Naomba kujuzwa gari aina ya Tata Ace

    Salamu waungwana. Naomba kuuliza kuhusu gari inayoitwa Tata Ace, cc650, kuhusu upatikanaji wa spea na umadhubuti wake, uwezo wake. Dhidi ya Suzuki Caryy. Naomba kuwasilisha
  2. C

    Utaratibu wa teuzi na ajira serikalini je ipi ni njia sahihi?

    Samahani naomba isichukuliwe maana tofauti ya kumlenga mtu au kiongozi flani .lengo kujengeana utaratibu bora wa uongozi na madaraka na ni mtazamo tu. UShauri Kuanzia waziri, mkuu wa mkoa mpaka mkuu wa wilaya na afisa tarafa ni vema wana siasa na Hata wataalam wakateuliwa. Kuanzia ukatibu...
  3. C

    Kenya Airways yatoa notisi ya kupunguza marubani

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limepanga kupunguza marubani, ikiwa ni mpango wa Shirika hilo kupunguza asilimia 40 ya wafanyakazi wake kufuatia janga la CoronaVirus Katika barua yake kwa Chama cha Marubani (Kapla) Mkurugenzi Mtendaji wa KQ, Allan Kilavuka amesema kufuatia ukaguzi waliofanya Mei...
  4. C

    Nahitaji Used gear box ya Nissan Caravan

    Salamu wana bodi, Nina shida na gear box ya nissan caravan. Natafuta used. Msaada tafadhali. Hata kwa asiye nayo ningeoenda nipate mchango kuwa bei zake zikoje. Asanteni
  5. C

    BRELA Nimekwama kujaza muda wa mahesabu

    Salaamu Naomba kuuliza sehemu ya kujaza muda wa kupeleka return najaribu kujaza imekwama, je wenye ujuzi naomba msada inatoa ujumbe huu Accounting year to be only dates at the end of the month. / mwaka wa hesabu uwe tarehe tu mwisho wa mwezi. Nimejaribu kuweka tarehe bila mwaka yaani mwezi na...
  6. C

    SUMATRA mnafeli wapi? Nauli Ubungo hazikamatiki

    Salaamu. Sumatra wakati huu wanafunzi wanarudi majumbani kwa dharura ilipaswa mkague usalama na nauli zinazotozwa. Msisahau bumu halijatoka kwa wengine wa vyuo vikuu. Pia wazazi ndo tumejikwamua ada kwa wanafunzi wa sekondari (January to March) inajulikana mifukoni peupe Hoja ni Magari...
  7. C

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

    Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
  8. C

    Kampuni Bora ya kuku,Kati ya silverland,interchick na tanchick

    Habari? Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai. Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni. Asante
  9. C

    Ushauri kuhusu Nissan Caravan

    SALAAM WANABODI NINA NISSAN CARAVAN AMBAYO NI AUTOMATIC NA INATUMIA PETROL NA IMEKUA IKIPIGA KAZI ZA DALADALA . KUTOKANA NA UZEMBE FLANI INJINI ILIPATA TATIZOIKAZIMA GAFLA ...FUNDI AKASHAURI CYLINDERHEAD IKAPIGWE PASI. BAADA YA KUPIGWA PASI IMEWAKA NA INATEMBEA ILA IMEJITOKEZA MAMBO...
  10. C

    USHAURI KATI YA GARI HIZI ZA OFF ROAD (LADA NIVA,ISUZU TROPPER,DAIHATSU ROCKY)

    SALAAMU WANABODI, NAOMBENI USHAURI KWENYE MAGARI HAYO MATATU YAANI LADA NIVA,ISUZU TROPPER,DAIHATSU ROCKY.KWA BARABARA MBOVU ZA VIJIJINI AU SEHEMU AMBAZO NI NYIKA HAKUNA BARABARA RASMI. PIA CHANGAMOTO ZAKE KWENYE UIMARA,MATUMIZI YA MAFUTA,MUINGILIANO WA VIPURI NA MAGARI MENGINE/KAMPUNI...
  11. C

    Gari aina ya BCJ BJ 212 uingiliano na vipuri vya magari mengine

    Husika na mada Naomba kujua gari aina ya bjc bj212 wengine wanaziita baw 212 je zinaingiliana vipuli na aina gani za gari za kijapan hasa injini na gia box. Asante
  12. C

    Control box ya nissan caravan inakaa sehemu gani kwenye gari

    Naomba kuuliza sehemu katika gari nissan caravan injini namba ka24834689x ambapo control box hukaa,nimeangalia kwenye dash board sijafanikiwa, naomba msaada
  13. C

    Naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr (4s)

    naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr,shafti ilishachongwa nataka kubadili moja kwa moja injini maana gharama za kuchonga na kununua baadhi ya vipuli naona ni ghali kiasi,kuna watu wamenishauri nitafute injini mpya.msaada tafadhali
  14. C

    GARI AINA YA JEEP BJC

    Naomba kuuliza kuhusu gari aina ya BJC -jeep. spea uptaikanaji wake na mambo mengine.muhimu kuna gari imepaki na mhusika anataka kuniuzia,mimi nimevutiwa na 4wd na shepu yake kwa ujumla matumizi ya gari ni kwenda kukagua mashamba yangu vijijini. mwenye gari alikuwa mtumishi wa...
  15. C

    Nahitaji gari kwa matumizi binafsi kwa bajeti ya 15m

    Salaamu, Naomba ushauri, Kwa wazoefu nataka kuagiza gari nje(gari mtumba),bajeti yangu ni milioni 15. Naomba wenye uzoefu wanishauri maana itatumika kijijini hakuna lami pia matumizi ya mafuta,upatikanaji wa spea na uvumilivu wa gari. Muda mrefu itatumika na ndugu na wazazi ila mimi mara...
  16. C

    Mashine za kutengeneza chakula cha mifugo

    salaam! nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa gharama ya kununua chakula iko juu,je kuna mtu anafahamu sehemu ambapo mashine zinauzwa za kutengeneza vyakula vya mifugo hasa...
  17. C

    Mpimaji viwanja anahitajika

    salamu wanajukwaa! nina shamba ambalo nimeamua nipimishe viwanja.nimepata mchoro toka wizara ya ardhi sasa nahitaji ushauri na bei elekezi za upimaji viwanja. eneo lina heka 20 liko mkoa wa pwani. nimekwenda halmashauri husika (nilishauriwa wapimaji wanapatikana hapo) wamesema mtaalamu...
  18. C

    Pampu Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme

    Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na Maji Ya Uhakika Na Pia Nifanye Kazi Kwa Ufanisi. Changamoto Ya Pili Ambayo Naomba Mnisaidie Je Kuna...
  19. C

    Kubadili Injini Ya Pikipiki Kua Jenereta

    Salamu Wadau! Napenda Kuuliza Inawezekana Kubadili Injini Ya Pikipiki Kuwa Jenereta?vifaa Gani Vinahitajika Kubadili Mfumo Huo.naomba Msaada,injini Nayotaka Kubadili Ni Honda Cc Sabini (ya Kijapan) Natanguliza Shukrani Zangu Za Dhati
Back
Top Bottom