Search results

  1. stable woman

    Tamthiliya mpya La gata(stray cat)

    Habari zenu? Jamani yeyote alie mpenzi wa tamthiliya hii inayooneshwa ITV na CITIZEN tupeane habari zaidi ningependa kujua anaefahamu marudio yake kwenye citizen tv maana wao huionesha saa8 mda wa taarifa ya habari huku kwetu usiku. Je marudio yao ya wiki nzima ni lini na muda gani?? ITV hawapo...
  2. stable woman

    Walimu wa Shule za Msingi wagoma Dodoma

    Ni baada ya mikoa 8 kukutanisha walimu wake wa shule za msingi wafundishao darasa la kwanza wapatao 4000 leo hii, ikiwa ni mwisho wa mafunzo ya mtaala mpya wa Kusoma Kuandika na Kuhesabu (KKK) lakini walimu hawajapewa posho zao na nauli ya kurudi ndipo wameleta fujo na vurugu... Nitawajuza zaidi
  3. stable woman

    Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, msaada please

    Habarini!? Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi selemara! Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka...
  4. stable woman

    Kwa walio kwenye ndoa na waliowahi kuishi Kama mume na mke hii inawahusu!

    Habarini? Utu uzima dawa, naomba kuongea na nyie watu wazima ambao pengine mmeoa na kuolewa au mnaishi Kama mume na mke bila ndoa! Kutokana na malalamiko meengi ya wanandoa na kuvunjika kwa ndoa nyingi pengine watu walioana bila kuchunguzana au walichunguzana ndipo wakaoana na baadae...
  5. stable woman

    Maalum kwa wanaume waliolelewa na mama tu

    Habari wandugu wa jukwaa hili. Wajameni nimeambiwa na kusikia tabia walizonazo wanaume wengi waliolelewa na mzazi mmoja hasa Mama. Kuwa ni wanaume wanaojali na kuthamini wake zao japo sijathibitisha hili. Wengi wao nimegundua ni watu wakudeka sana, wapo legelege sio wakamavu pia...
  6. stable woman

    Naomba maelekezo Jinsi ya kupika Uji wa mchele

    Habari? Natumai mu wazima, kwa heshima na taadhima naomba kujuzwa namna ya kuandaa Uji Wa mchele! cc farkhina mpishi maridadi
  7. stable woman

    Tuwafiche wapi watoto wetu wa kike?

    Habarini!? Nimesikitishwa na tukio nililoliona wiki hii kwenye pitapita zangu ni binti Wa darasa la 4 amekataa shule akitaka aendelee na maisha ya kujiuza! Ni binti ambae kwa mahesabu ya haraka atakuwa na miaka12 na kamwili kakuvutia kalikoletwa na kuvunja ungo mapema! Baada tu ya kuvunja...
  8. stable woman

    Maalumu kwa watu wazima tu!!

    Turejee kunako sita kwa sita!! Huu msemo Wa baadhi ya wenzetu humu jamvini au mtaani mwetu mtu kusema mwandani/ mpenzi wangu anajiweza sana tukiwa faragha; Hivi kinachofanya mtu asemwe anajiweza au yupo vizuri uwanja Wa fundi selemara ni nini? Je kwakua hapumziki hadi dakika90! Anajua...
  9. stable woman

    Tiba ya Kiungulia

    Habari Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please. Natanguliza shukrani
  10. stable woman

    Nani wa kwanza anaepaswa kuihudumia familia yake ni baba au mama?

    Habarini Leo tuzungumzie hilo kwenye kuhudumia familia ni nani Wa kwanza anaetakiwa kuwa mstali Wa mbele kwenye kutoa huduma kwenye familia Kuna familia nyingine mwanamke ndo anaehudumia familia baba anatumia pesa kwenye mambo yake,Familia nyingine mwanaume ndo anaewajibika huku mwanamke...
  11. stable woman

    Internet cafe

    Habarini? naomba mnisaidie kunipa maana ya hili neno internet cafe Kwa kiswahili
  12. stable woman

    Kutopata hedhi kwa muda mrefu baada ya kujifungua

    Habarini, Wadau hebu tujadili hili suala mara nyingi mwanamke baada ya kujifungua wengine huchelewa kuanza kupata ada ya mwezi kwa mwingine huchukua miezi kadhaa hata miaka miwili bila kupata kabisa na mwingine baada ya siku arobaini tu huingia mwezini Napenda kufahamu hili, je kuna madhara...
  13. stable woman

    Tunapenda mara moja tu!

    Habarini!! Huu msemo sio mgeni kwako na kwangu hata mimi nilikua nikikua huku nausikia na Sasa nimeamini kuwa kupenda ni Mara moja tu Nimekuwa kwenye mahusiano hapo nyuma lakini sijawahi kupenda, sijawahi kumlilia mwanaume kwa lolote wala sijawahi kuomba msamaha nadhani mfumo jike...
  14. stable woman

    Malipo ya pesa ya usumbufu

    Habarini???? Napenda kufahamishwa wadau ndugu yangu ambae ni mwalim amehama kituo kimoja kwenda kingine kwa kuomba uhamisho, je anaweza kulipwa fedha ya usumbufu? Kwenye kituo alichohama alipangwa mwaka Jana ajira ya 2013 na mwisho Wa mwaka Jana akahamia kituo kingine ndani ya wilaya...
  15. stable woman

    Kigezo cha Umri kwenye mahusiano

    Habarini Natumai nyote mu wazima kabisa nami namshukuru Mungu nipo vyema! Hebu tuligeukie suala hili la umri kwenye mahusiano yetu ya kimapenzi! mimi sio mfanya utafiti ila naongea kwa ufahamu wangu tu Utofauti wa umri je pia ni kigezo cha kujenga mahusiano bora? Namaanisha age difference...
  16. stable woman

    Naomba kujua tabia za wasukuma

    Habarini, Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia zao. Kama kuna mila na akitakiwa kwenda ukweni usukumani inabidi afanye mambo gani kufanana nao ili...
  17. stable woman

    Imani ya Rastaman & Rastawoman

    Habarini??? Leo tuzungumzie kuhusu Lasta, kwa nilivosikia mimi ni kuwa lasta fari ni dini na muhusika anatakiwa aenende kwa kufuata taratibu zilizowekwa Muhusika anatakiwa awe ni mtu mpenda amani, anaejali wengine kwa kufuata taratibu na sheria fulani za kutokuvunja haki Muhusika...
  18. stable woman

    UREMBO: Hii ndio steaming asilia kwa ubora wa nywele zako

    Habarini?? Natumaini mu wazima, Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako Mahitaji;- parachichi yai la kuku Wa kienyeji Asali hatua;- chukua parachichi lako likate toa ile nyama ya ndani weka kwenye chombo...
  19. stable woman

    Baba kutembea na mwanae wa kike

    Habarini??? Nimeshuhudia matukio matatu ya aina hii ya baba wa familia kutoka kimapenzi na bintiye, wa kwanza ni mwanaume aliembikiri mwanae wa darasa la 6 wa kumzaa mwenyewe baada ya kuachana na mkewe Wa pili ni baba anaetembea na bintie wakati mkewe wa ndoa yupo na anaishi na wote wawili...
  20. stable woman

    Chumaulete ni uchawi au kiini macho?

    Habarini?? Nadhani wengi wetu mmekwisha sikia hii habari ya chumaulete hasa kanda hizi za pwani kama tanga na pwani Hivi majuzi nilikwenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anakibanda cha Mpesa, gafla akaja mzee mmoja anataka kuwekewa hela laki tatu kwahiyo akatoa elfu10 thelathini akampa...
Back
Top Bottom