Search results

  1. N

    Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

    Hata ivyo vyeti vingi vilivyokutwa ni feki si vile vya ujuzi, bali vya elimu ya secondary f4 na f6.
  2. N

    Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

    Miaka 60 unaona miiiingi, kuna nchi zina miaka 200 ya uhuru usijilinganishe nazo
  3. N

    Fundi rangi na decoration za nyumba

    Safi sana. Unapatikana wapi, je mikoani unafika au una matawi?
  4. N

    Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Asante sana kwa useful info. Mi tayari nina kampuni, naomba kuunganishwa na viwanda vya China hasa vinavyo deal na utengenezaji wa mashine za kuchakatia/kukamulia nafaka mfano alizeti, mise na vifaa vingine vya kilimo. Naomba link au code au channel
  5. N

    Anayefahamu biashara ya dagaa Kisiwa cha Mulumo, Muleba

    Anayefahamu biashara ya dagaa inavofanyika kisiwani Mulumo, wilayani Muleba aje anielezee tafadhali. Nataka kujitosa huko.
  6. N

    Wale ambao tumekatishwa tamaa na madaktari kwamba hatuwezi kuzaa tena tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo

    Comment nzuri. Ukikutwa na hilo tatizo sio mwisho wa maisha. Kama unaamini kuwa na watoto ndio kila kitu waweza kuasili. Ila hata hao walio na watoto bado hawanaridhika na maisha bado wanahisi something is still missing. Kwahiyo ndugu mambo yote ni ubatili hapa duniani ni kama kujilisha upepo...
  7. N

    Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

    Kwani Tatizo nini, unahisi haitaweza ingia ? Ila inaonesha umelenga hela zake
  8. N

    Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    Sikurupuki. Natulia kwa muda siku chache. Baadaye nafanya mazungumzo na mume wangu kujua kwanini anafanya kinyume na ahadi yake ya ndoa
  9. N

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wizara ya afya ijikite zaidi kwenye kinga kwa njia ya kuelimisha jamii kwa kuitumia idara ya maendeleo ya jamii. Badala ya kujikita kwenye tiba na kuitenga idara ya maendeleo ya jamii. Hii itasaidia kupunguza msongamano wa watu wanaougua magonjwa ya kijinga kwenye zahanati zetu.
  10. N

    Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Amina Asante dia kwa comment yako nzuri inayofaa kwa wanawake wote. Ni kweli mke hatakiwi kuikimbia ndoa yake au nyumba yake ambayo wamejenga wote na mumewe, aondoke aende wapi. Hakuna anayetakiwa kuondoka kati ya mume au mke maana wote pale kila mtu ni kwake.
  11. N

    Mwanamke kupenda sana ngono, tatizo linaweza kuwa nini?

    Wakati mwingine ni wivu unaweza sababisha atake mara kwa mara ili kummaliza mumewe genye
  12. N

    Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Zote za kufikirika halafu zinahusu walioajiriwa tu
  13. N

    Dada yangu amenisikitisha kutaka kuolewa kabla hajamaliza chuo

    Pole ndugu hili ni tatizo. Sisi binti yetu alipoingia chuo kikuu mwaka wa kwanza tu akajiozesha mwenyewe bila sisi kujua. Tukaendelea kulipia gharama za chuo. Pesa ya mwisho tuliyomtumia kulipia chuo ndio ikawa gharama ya uzazi yan labour. Tuliumia sana baada ya kujua hilo. Hadi leo ni miaka 2...
  14. N

    Majibu ya mke wangu haya hapa

    Bikra yeye ndo kabisaaa
  15. N

    Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Sawa kabisa. Kwani kama sura ya baba tatizo nini. Yeye mwenyewe anayesema hivi dada zake ni hivohivo
  16. N

    Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Kana kwamba kazi ndo inawaoa, mi pia swali hili silipendi. Utasikia wakisema eti mume wake ni Bodaboda, badala ya kusema mume wake ni Rweyemamu. Hiyo pia sio nzuri maana bodaboda sio mtu bali ni shughuli inayompatia kipato.
  17. N

    Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

    A Kwani handsome ni kufanana sura na mama?
  18. N

    Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

    Daah nimeshangaa yaan mtu unashindwa kujitoa mwenyewe. Anyway labda kuna nguvu ya ziada
Back
Top Bottom