Major Lazer wameachia wimbo mpya, ‘Loyal’ waliomshirikisha staa wa Jamaica, Kranium pamoja na hitmaker wa Nigeria, Kizz Daniel, Jumatano hii. Wimbo huu umekuja na video yake, ya nne katika ushirikiano wa Major Lazer na muongozaji wa Afrika Kusini, Adriaan Louw
Tazama video ya Loyal hapa...
Major Lazer wameachia wimbo mwingine uitwao “Tied Up” wakimshirikisha staa wa Nigeria, Mr. Eazi pamoja na Raye. Video ya wimbo huu ni ya tatu katika ushirikiano wa Major Lazer na muongozaji wa Afrika Kusini, Adriaan Louw.
Tazama video yake hapa:
“Tied Up” umekuja baada ya kutoka...
Msanii wa Hip-hop wa Nigeria, Ycee ameungana na mtayarishaji wa muziki na muimbaji wa Afrika Kusini, DJ Maphorisa kwenye remix ya wimbo wake unaofanya vizuri barani, ‘Omo Alhaji’.
Ikifanyika jijini Johannesburg, na kuongozwa na La Dupont Productions, remix ya wimbo huo inahusisha rap...
Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za msanii huyo hususan wimbo wake ‘Sizonje’.
Akizungumza na Mpoto jana, muda mfupi baada ya kuwasili...
Malawi na Nigeria zimekutana kwenye collabo moja ya nguvu. Supastaa wa rap kutoka Malawi, Tay Grin ameachia single mpya aliyoipa jina, Chipapapa na kumshirikisha nguli wa muziki wa Nigeria, 2 Face Idibia aka 2 Baba.
Ngoma hii kali na ya kuchezeka, imetokana na urafiki wa muda mrefu kati ya...
Vitabu App ni application maalum ya simu ambayo itatumika kama sehemu ya
kuuzia vitabu ya aina mbalimbali. Ni app iliyo chini ya kampuni ya Mindtap
Tanzania Limited inayomilikiwa na watanzania.
App hii imetengenezwamahsusi kama njia mbadala ya wachapishaji wa vitabu na waandishi kuuzakazi zao...
Do you want to read a book about the lives of famous Hollywood couple Beyonce and Jay Z, or are the numerous tabloid stories enough to give you an insight into their lives?
A Tanzanian author, Fredrick Bundala, has written a book titled Beyonce & Jay Z Maisha Mapenzi Na Maumivu, in which he...
Hapo ndipo tunapokosea wabongo. Unapoangalia movie za Hollywood, unaposoma vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na waandishi wa Marekani kwa kuzungumzia maisha yao, unapoangalia tamthilia za Kikorea nk huwa unajiuliza hivi pia? Kwanini watanzania mnapenda kujichukulia wa hapahapa? Think globally...
Mtawasoma? Si kila siku mnawatukana? Pia inspirations hazitoki kwa watu wa ndani tu. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50, wapo watakaopenda kukisoma, ni wazi wewe sio target audience na haumshtui mwandishi
Mkuu kuna njia nyingi za kufanya research moja wapo ni kutumia vyanzo vingine nk, sio lazima umhoji mtu moja kwa moja. Mfano walioandika historia za Nyerere nk sio wote waliomhoji bali wengi wametumia hotuba zake, maandiko yake, kile alichokifanya, kuhoji wanaomfahamu nk. Ni suala la kawaida...
Haijalishi kama wewe ni shabiki wa muziki au la lakini ni wazi kuwa Beyonce ni mtu aliyefanikiwa zaidi kwa sasa duniani na pamoja na kuwa ni Mmarekani, bado mhitimu wa chuo wa Tanzania unaweza kujifunza mengi kutoka kwake iwapo utasoma kitabu changu: Maisha, Mapenzi na Maumivu: Beyonce na Jay Z...
Kitabu kipya cha maisha ya Beyonce na Jay Z kimeingia mtaani. Ni kitabu kilichoandikwa kwa kina kuhusu maisha ya wanandoa hawa maarufu duniani. Kina kurasa 100, picha za kuvutia na historia zao zimeandikwa kwa ufasaha sana. Kinauzwa kwa shilingi 10,000 tu. Unaweza kuletewa ulipo popote Dar na...
Ni kwasababu Dela ni Mkenya Beka ni mtanzania thus anakuwa bado sana?, Autotune ulioiskia mi ipi hapo? Hiyo ni sauti ya original na hata reverb na echo unayoiskia haimodify sauti bali ni technique za sound engineering tu. JF muwe Great Thinkers na sio Great Discouragers
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.