Search results

  1. Ulimbo

    Matatizo katika mitandao ya simu

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe. Je kuna...
  2. Ulimbo

    Siasa na dini

    Kuna baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wamekuwa waki toa maneno, wakiwataka viongozi wa dini wasijiingize kwenye siasa. La ajabu hao viongozi ni waumini wa hizo dini, na walipoapishwa, waliapa kwa kushika vitabu vya dini zao. Pia wanapokuwa kweny matukio mbalimbali, wanawashirikishia...
  3. Ulimbo

    Je, ni demokrasia kuwashtaki wanaokosoa kataba wa bandari?

    Dikteta ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Dikteta uwa mtendaji mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu. Anashika pia madaraka ya kihakimu. Anaweza kuwaondoa maafisa wote wengine madarakani, anaweza...
  4. Ulimbo

    Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

    Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai? Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini. Hapa naona...
  5. Ulimbo

    Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  6. Ulimbo

    Mkataba kati ya Tanzania na DP World ya Dubai na Uchaguzi 2025

    Heshima kwenu wana JF. Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana. 1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa. 2: Kuna upande ambao...
  7. Ulimbo

    Sababu za kuzuiliwa Mikutano ya hadhara.

    Salaamu wana JF. Nimekuwa na maswali mangi ya kwa nini kuna mikutanoinazuiliwa kufanyika bila kupata majibu ya kutosha. Kumekuwepo na tabia ya viongozi hasa wa ccm wakishitikiana na jeshi la polisi kuzuia mikutano na makungamano bila kutoa sababu za kutosha. Kwa uchache tu: 1:Kuna kipindi...
  8. Ulimbo

    Kuondoka kwa Mzee Mkapa ni pigo kubwa sana kwa Serikali ya CCM

    Heshima kwenu wanajamvi. Wakati huu ambao bado machungu ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tau Mzee Mkapa hayajaisha, naona ndani ya CCM wana wakati mgumu sana kwani Mzee mkapa ndiye aliyekuwa kama nguzo kwa huyu mgombea anayetetea nafasi kwa mara ya pili. DALILI ZOTE ZINAONESHA KUWA...
  9. Ulimbo

    Uchaguzi 2020 Magufuli ampa maagizo Waziri Jafo kupeleka bilioni 5 Uvinza ili kuokoa jahazi

    Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze. Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi? Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa...
  10. Ulimbo

    Uchaguzi 2020 Nimegundua hizi kampeni zinafanyika kwa upendeleo “hazina usawa”

    Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao, Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa...
  11. Ulimbo

    Uchaguzi 2020 CCM imeonesha demokrasia kuhesabu kura kwa uwazi, tume ya uchaguzi ifanye hivyo

    TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura. Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa uwazi kwenye vituo vya kupigia kura na matokeo ya kila kituo yatangazwe pale pale kwenye kituo husika...
  12. Ulimbo

    Kipindupindu kinatupigisha kwata, je Corona tutaiweza?

    Nimejaribu kufikiria sana juu ya huu ugonjwa corona ukiingia hapa Tanzania matokeoyake yatakuwaje: 1: Ni kama serikali haijalichukulia uzito wa kutosha hili tatizo, kwani njia za kujikinga bado zina utata mkubwa, hasa sehemu za mipakani (Njia zitumikazo kuingia nchini) ulinzi na upimaji...
  13. Ulimbo

    Uchaguzi 2020 Je Kampeni za uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais tayari zimeanza?

    Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI 2020. Je ndo kampeni zimeshanza kwa chama hicho au hilo bago lina maana gani? Je Vyama pinzani...
  14. Ulimbo

    Je, ni viongozi wa Chama na serikali waliowahi kuwekewa vikwazo vya kuingia nchi za nje?

    Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo. - Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini - Rais atoe tamko - Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi...
  15. Ulimbo

    Vitambulisho vya wamachinga maarufu kama vitambulisho vya Rais Magufuli

    Kuna vitambulisho vya wamachinga vilivyo kuwa vinatolewa kwa gharama ya shilingi 20,000/=, ambavyo vilisemekana ni kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama wamachinga. Kwa kweli watu ambao wamenufaika na vitambulisho hivi ni wafanya biashara wakubwa kwani waliamua kutoa bidhaa...
  16. Ulimbo

    Jijini Mwanza sare za CHADEMA zinauzwa wapi kwa ajili ya sikukuu ya kesho?

    Nenda kwenye fisi za CCM utazipata hizo sare za CHADEMA
  17. Ulimbo

    Hofu ya kuongezeka kwa maambukizi ya HIV na TB

    Jana yalifanyika maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani. Taarifa nyingi zilitolewa ikiwa ni pamoja na awatu kushauriwa kupima, na jinsi ya kujikinga. Kwa hali ilivyo sasa, si rahisi kumgundua mtu mwenye maambukizi kwa kumtazama kwa macho, hivyo ingekuwa vizuri Wizara ya Afya kuweka sheria kwa...
  18. Ulimbo

    Ni ipi nafasi ya viongozi wa dini katika katika mstakabali wa amani ya nchi?

    Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu. Kwa kipindi...
  19. Ulimbo

    Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
Back
Top Bottom