Search results

  1. uran

    Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko. Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa. Inamaana Wameshakubali...
  2. uran

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  3. uran

    FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Leo 09.03.2024 Muda wa Saa 12 Jioni. Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara. Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo. Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne...
  4. uran

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  5. uran

    New Couple in Town! I love you so much!

    Very new couple mjini!! Sio siri tena. Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa. Usingle tupa kule. My darling love financial services, I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana! Ladies & Gentlemen its our time! My One and Only financial services. I...
  6. uran

    Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
  7. uran

    F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

    Match Day! JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam. Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni. Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare...
  8. uran

    FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

    Match Day.... #nguvumoja# Kikosi Cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Geita Kinachoanza. Updates... Mpira Unaendelea 06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold 08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita. Inapigwa inakuwa goli kick 15' Simba...
  9. uran

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Match Day! Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3. Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31. Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc. Hii ni Mechi ya kisasi. All the Best Mnyama. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Azam Kinachoanza Updates... Timu...
  10. uran

    FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

    Match Day. Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34. Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8. Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15. Mchezo utafanyika Saa 10jioni...
  11. uran

    FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    All the Best Mnyama mkali. Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC. Simba kwenye msimamo wa Ligi yuko nafasi ya 3. Amecheza michezo 10. Akiwa na Alama 23. Anayeongoza ligi Azam FC...
  12. uran

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Match Day Leo Jumapili 21.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo. Zambia hawakupata mwanzo mzuri katika Mashindano haya walipokubaliana na Congo DR kwa sare ya 1-1 Jumatano. King...
  13. uran

    Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

    Imekuja na Watalii zaidi ya 2,000. Mama anafungua Nchi. #VisitTanzania#
  14. uran

    FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  15. uran

    Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  16. uran

    FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  17. uran

    FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

    Match Day. Simba Vs APR Msimamo wa Kundi B Ulivyo. Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane. Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali. APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo. Kitu ambacho hakiwezekani. Akipata huo ushindi...
  18. uran

    FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

    Match Day Simba Vs Singida FT FC. Time: 20:15. All the Best Mnyama #nguvumoja# Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa. Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali. Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B. Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
  19. uran

    TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
Back
Top Bottom