Search results

  1. charldzosias

    Wanawake (Wajawazito) vaeni Mavazi ya Stara

    Nimeona/ Kushuhudia hawa Wakina Mama watarajiwa wakivaa mavazi ya Nusu uchi sana, yaani unakuta kisket kifupi, chepesi kinapepea huku Tumbo/ Kitambi kikitangulia mbele mithili ya pua ya Mr Bean. Ushauri wangu ni kwamba: Mjitahidi kuvaa nguo zinazoendana na hali mliyonayo, mkishashusha (INJINI)...
  2. charldzosias

    Dhana potofu kwenye mapenzi

    Kuna mambo mengi watu wanayapotosha katika sekta ya mapenzi (afya pamoja na vitendo). Leo ningependa kuzungumzia mitazamo mbalimbali ambayo kiuhalisia si kweli au haina mantiki katika sekta nzima ya kimapenzi. NB: Nayozungumzia hapa mengi nimeyafanyia utafiti kwa kutumia mwili wangu binafsi na...
  3. charldzosias

    Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

    Habari zenu wakuu.. Baada ya Kusafiri kwa WIKI nzima kwa kutumia Usafiri wa UMMA.. nimeona niseme tu.. (Experience yangu ni kwa gari za IKULU Chamwino mpaka Sabasaba.. na Sababasaba kwenda B/W Mkapa Hospital) Nimeona Nililete hili swala huku.. maana nimeshindwa kuvumilia Kwa wakazi wa Dodoma...
  4. charldzosias

    Launch Control (LC) na umuhimu wake (Automotive Engineering)

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu ningependa tupeane elimu kwa kiasi chake. Pale nitakapokosea msisite kunielekeza maana mimi pia najifunza hapa kwa wanajamvi na ma injinia mliotukuka humu JF. Launch control system hii husaidia gari ikamate ardhi,inasambaza uzito uwiane katika gari,inasaidia gari...
  5. charldzosias

    Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

    Kabla ya Tukio Nilikuwa nimetoka safarini.. Uchovu na kulimiss jiji la Dar ilibid nipitilize katka moja ya Beach maarufu hapa Dar.. Ilikuwa mida ya saa 11 jioni.. Siku ya jumatano.. Watu hawakuwa wengi, hasahasa wazungu na wengne walikuwa wanafanya Mazoezi.. Kutokana na tabia yangu ya kuingiza...
  6. charldzosias

    Kweli Mwananyamala kumechafuka, Khanga moja wafanya onesho mbele ya Kituo cha Polisi

    Wiki kadhaa zilizopita, Shughuli hii ilifanyika mbele ya Kituo cha Polisi bila ya Uoga wowote.. Hii inadhihilisha Wananchi wa Tanzania wana furaha na wana imani na Jeshi lao la Polisi Picha: Sent using Jamii Forums mobile app
  7. charldzosias

    KUFANYA Mazoezi kisha kwenda KUFANYA mapenzi kunasababisha Mgongo kuuma?

    Kutokana na Ratiba yangu kubana so Ni lazima nifanye mazoezi hasa hasa ya viungo.. Nakoga vizuri if kuna ratiba ya Kula BUMUNDA basi nalitafuna vizur kabisa.. Kila nikichanganya hizi Ratiba mbili kwa wakati mmoja (siku moja) mgongo (sehem ya juu) huwa inauma kiasi katik siku inayofuata.. Ila...
  8. charldzosias

    Wezi waua mbwa na Kuiba vipuri vya Gari (inasikitisha)

    tuwe makini Sana, siku hizi Wezi wanateketeza Mbwa, kwa kutukia SPRAY au sumu yeyote ile na kufanikiwa kiwadhibiti Mbwa ambao tunawaamini katika Ulinzi. Picha.. hizo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. charldzosias

    JITATHMINI.

    1-Umri 21-30+ bado Unakaa KWENU na haujishughulishi Jiandae kuwa Maskini na ujiandae kudharaulika na jamii inayokuzunguka pia hauna sifa za kujiita Mwanaume. 2-Msimamo wa kimapenzi =0 Ikiwa mpaka leo, unatumia muda mwingi katika kutafuta Wapenzi wapya na bado WANAKUENDESHA, hauna KAULI...
  10. charldzosias

    Mhariri, unachokitafuta utakipata

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. charldzosias

    Nini kimeikuta Gereji hii? Baada ya kuandika kwenye ukuta 'Hawatengenezi magari ya Wanajeshi' sasa wamefuta

    Gereji moja hapa nchini baada ya kuchoshwa na kutengeneza magari ya wanajeshi wakaamua kuandika hivi.. HATUTENGENEZI MAGARI YA WANAJESHI. Ila baada ya muda UKUTA ulikutwaa umefutwa maandishi hayo Nini kimetokea hapa? Je, imekuaje Mafundi wakafuta maandishi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. charldzosias

    UNAFIKI uliopitiliza unatumaliza Vijana

    Hii wiki ni wiki ya Maombolezo ya msiba wa Ndugu, Mtanzania mwenzetu Ruge. Ndani ya msiba huu, kuna Wimbi kubwa la Wanafiki ambao na elimu zao na nyadhifa zao wanaendeleza Kuibua Wanafiki wengine mtaani ni kwel Ruge alisaidia vijana? Jibu ni ndio/hapana kulingana na aliyeulizwa ni mtu wa aina...
  13. charldzosias

    Wenye tabia hizi wapo wengi tu naomba mbadilike

    Habari wakuu, kuna katabia fulani kapo miongoni mwetu.. au baadhi yetu tunakutana na hichi kitabia mtu hakutafuti.... masiku/wiki/miezi... hakuna salamu hakuna kujuliana hali.. ikikalibia sikukuu ndio wa kwanza kupiga anaomba hela akikwama kufukuzwa katika chumba chake ndio anakutafuta...
  14. charldzosias

    Changamoto nilizokutana nazo katika michezo ya kikubwa

    1-Kufungiwa mlango kwa nje hapa.. kipindi hicho.. nilikuwa na kidem kikali mtaa mzima hakuna.. sasa washkaj wakanionea wivu.. c unajua milango ya uswazi.. komeo lipo nje.. wakati dogo namkanyaga ndani wahuni.. wakaamua wanikomoe kunifungia mlango kwa nje.. sasa kimbembe kumtoa yule dada ilikuwa...
  15. charldzosias

    Kifungo cha miaka 30 au Kudharirika..... USHAURI Tafadhari

    Kama kawa... wakuu leo nimeona niseme tu.. Kuna vitoto vya kike.. na sometimes wakiume wanapenda sana kuja ninapoishi na wanaingia hadi Chumbani kwangu.. kwa kuwa mie sio Mkali,na wala sina roho mbaya sasa wamenizoea sana.. kiasi kwamba wakiamka tu asbuh wanakuja kugonga geti niwafungulie...
  16. charldzosias

    Natafuta mke mwenye sifa hizi

    -miaka 22-26 -elimu (siangalii elimu yake) -kazi (yeyote) aliyejiajiri inafaa sana -awe amezaa au hajazaa fresh tu hata akiwa na watoto 6 hakuna shaka -awe ni Raia wa nchi yeyote tofauti na (TZ,KENYA,UGANDA) Ethiopia/rwanda wanapewa kipaumbele -awe na rangi yeyote ila asiwe mweusi uliozidi...
  17. charldzosias

    PART TWO; Sifa za wanawake wa mikoani

    _Wengi ni wachafu,yaani unakuta khanga moja anaenda nayo kisimani,hiyo hiyo anaenda nayo kupikia,hiyo hiyo anaenda nayo kulala na mwanaume wake.. _wengi wao ni WABAYA,ndio maana wale wazuri wachache wakipata kihela wanatoroka vijiji vyao wanakuja DAR _wengi wao wanaimani za kishirikina ndio...
  18. charldzosias

    Sifa za wanaume wa mikoani

    _wengi wana NDOTO za kuja DAR.. ndio maana wanaishia UBUNGO wakibeba VITOROLI _wengi ELIMU hawana kichwani.. ndio maana wanaonea wivu MARIJALI wachache wanaoishi DAR _wengi ni WACHAFU, hawajui usafi wa mwili ni nini.. hasahasa mikoa ya baridi huwa HAWAOGI.. na ndio walioleta CHAWA NA KUNGUNI...
  19. charldzosias

    Tuchunguze tabia za watoto mapema

    Habari wakuu, ifikie kipindi watoto wetu (wako au jirani yako) tuwachunguze tabia zao mapema na kuwanyoosha mapema ili kuepuka AIBU katika jamii... inayotuzunguka sikuhizi humu ndani.. kuna KUNDI kubwa la MASHOGA humu... mie binafsi nachukizwa na USHETANI huo.. mtoto wa kiume unajifanya...
  20. charldzosias

    Natafuta Iphone 4s iliyokufa KIOO isiyo na Icloud account

    Husika na heading hapo juu... mwenye IPHONE 4s iliyokufa kioo/touch aniuzie LOCATION (Dar)..
Back
Top Bottom