Search results

  1. M

    Naombeni msaada wa haraka wanajamvii Tecno Y3 inanisumbua

    Habari zenu wakuu, nimepata tatizo kwenye simu yangu siwezi kuandika text yoyote, msg za kawaida, whatsapp na chochote kinachoitwa msg, yaani nikiingia kwenye uwanja wa msg, niki click pale sehemu ya kuandikia msg keyboard haitokei, ila emoticons na vingine vinaonekana, nimehangaika nayo sana...
  2. M

    Naombeni mnifundishe jinsi ya kutengeneza mishkaki mitamu na laini

    Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama, lakini kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni please.
  3. M

    Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

    Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Bw. Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi, leo hii imepigwa alama ya X kwa ajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mitaa hii ya Kinondoni!
  4. M

    Ukawa angalieni sana juu ya hili

    Naona kama mmewekeza sana kwenye ngazi ya urais,huku mkijisahau katika ngazi za chini kama ubunge na udiwani,naangalia kwa mbali naona kama litakuja anguko na twaweza tusipate wa kumlaumu,maana kuna baadhi ya maeneo raia hawamjui hata mgombea udiwani wakati magamba wanajitahidi ktk kila ngazi...
  5. M

    "No device drivers were found" Alert, Nisaidieni desktop yangu wakuu!

    Hii PC ni desktop,kila nikifanya windows installation inaniletea msg hii.No device drivers were found.make sure tha the installation media contains the correct drivers and then click ok. Lakini kila cd nikijaribu inaniletea the same msg,na kwenye settings za bios hard drives inaonekana, but...
  6. M

    Nauza samsung tablet 2 ver.10.1

    Ipo ktk hali nzuri,ina extn keyboard with charger,bei laki tano na ishirini.Kwa muhitaji call 0713 535430/0754 535430
  7. M

    Picha za mazishi ya mwana hip hop Langa Kileo hizi hapa!!

    Baba na mama yake Langa wakiweka shada juu ya kaburi!! Marafiki,Miaraji kikwete asiye na miwani pamoja na mwenzake!! Hapa ndipo alipo lazwa Marehemu Langa!!! Miraji kikwete mwenye nyeusi akitoka baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la swahiba wake!! Presenter Nico track akimfariji...
  8. M

    Nisaidieni facebook inanisumbua!!!!

    Naombeni msaada wa haraka wataalam humu jamvini,kila nikitaka kulog in kwenye facebook account yangu inalog in lakini baada ya kama dakika moja page ya facebook inapotea na kufunguka Tesco.com,sielewi ni kwanini inanitokea hivyo na siwezi ku access face book karibu wiki sasa!!!Tatizo ninini wajuzi??
  9. M

    Duu,wanawake wa mjini noooomaaaaaa!!!

    Leo wakati natoka kwenye mihangaiko yangu,kama kawaida barabara za mjini zinauhusiano mzuri sana na foleni,wakati tupo kwenye foleni kuna gari kama latatu mbele yetu lilikuwa limezimika katikati ya barabara,aliyekuwa anaendesha gari hiyo ni binti mmoja mrembo,bila kuomba msaada alibaki ndani ya...
  10. M

    Samahanini wakina Angel mliopo humu jamvini!!!

    Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza...
  11. M

    Unahitajika msaada wenu,kwenye mahusiano haya jamaniii!!!

    Kuna jamaa yangu mmoja na ni mtu wangu wa karibu sana,anampenzi wake wa kike ambaye ameshamtambulisha hadi kwao,ila kunamambo ambayo yanamtokea jamaa huyu ambayo amejaribu kuniomba ushauri,na naomba wana JF wenzangu mumsaidie kwa ushauri,siku moja alimpigia simu huyo mpenzi wake na kujuliana...
  12. M

    Iphone 4s yangu haisomi laini za bongo nisaidieni plz!!!

    Nimetumiwa iphone 4 na rafiki yangu,lakini tatizo ni kwamba haisomi laini za hapa nyumbani,kitu ambacho nilikifanya ni kureset all factory settings nikizani kuwa itasolve hilo tatizo,sasa baada ya kufanya hivyo inaniomba kurestore kwenye itunes nimefanya hivyo lakini inafikia sehemu inataka...
  13. M

    Nokia X7 yangu ya kichina nisaidieni jamani naaibika!!!

    Wakuu naamini wote mpo poa kabisa,nina nokia X7 lakini ni hizi za kichina,nilikuwa natumia head phones,lakini nikitoa head phones inabaki kwenye profile ya headset,haiwezekani kuichange kwenye profile nyingine,yaani option iliyopo hapo ni ku customize tuu huwezi ku personalise wala kuchange mode...
  14. M

    Laptop yangu haiioni hard disk,nisaidieni mieeeee!!!

    Wakuu hii laptop yangu ni inspiron 1525 nikiiwasha inaniletea msg ya no bootable device,lakini hard disk yake nikiiweka kwenye mashine nyingine inaonekana ila nikiiweka hata hard disk mpya haidetect,naombeni msaada wenu jamani nimekwama,but some times ina boot vizuri lkn ukiirestart tatizo...
  15. M

    dell laptop latitude E5420 brand new for sale!!!

    Ni mpya kabisa but haipo kwenye box,ina windows 7 proffesiional,processor intel core i5 2.6ghz,4gb ram,dvd writer,web cam,bluetooth,wi-fi,500gb hard disk,9cells battery,hdmi port,firewire,esata port,3usb ports,bei laki saba na ishirini,kwa anayeiitaji tuwasiliane kwa namba hizi...
  16. M

    i cant log in my yahoo,msaada jamani!!

    Kunatatizo linanipata kwenye account yangu ya yahoo,kila nikitaka kulog in inaniletea msg yakuwa invalid username or password,lakini kila kitu kipo sawa nashangaa tatizo ni nini,yeyote mwenye suluhisho naomba msaada wake jamani!!
  17. M

    Maskini ka Groan ketu kamewakosea nini?

    Nasikitika kuona kale kakitufe ketu ka groan kimeletewa fitna mpaka kameondolewa,kwani kalikuwa kana kosa gani au madhara gani humu ndani?Mi naona kale kalikuwa kazuri na kanachohamasisha watu kutuma posts zenye akili,kwani hakuna mtu ambaye angekubali kuwekewa groan,hivyo b4 hujatuma post...
  18. M

    Binti afia gesti,Kinondoni!!!

    Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni, tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi. Toka aliposema anaenda kumchukulia chakula mpenzi...
  19. M

    Ghorofa linateketea kwa moto upanga,zimamoto wanaliacha lijizime!!!

    Kuna ghorofa linateketea kwa moto,maeneo ya upanga kwa takriban masaa nane sasa,lakini zimamoto wamekuja kulishangaa na kuacha likiendelea kuteketea huku wakitegemea litajizima lenyewe!!Kwa mtindo huu,ninaimani wamekosea sana kuupa huu mji hadhi ya jiji,wakati staili za maisha ni za kijijini!!
  20. M

    Jamani Mic za bunge zapata wazimu!!

    Katika kikao kinachoendelea cha kupiga kura ya uspika,wakati wa maswali kwa bwana Marando mic zote zilizimika,mi nahisi zilipata wazimu au zilijua kuwa muuliza swali(Bw.Olesendeka) anataka kuuliza pumba,maana hata alipo uliza swali mwenyekiti alimkalisha chini baada ya kugundua kuwa hana swali...
Back
Top Bottom