Yaani umeogea kitu ambacho kimetokea sasa hivi hapa ofisini, kuna mzee mmoja kaja kuomba msaada kwa mwanae, huyo mwanae tunafanya naye kazi aliwatelekeza miaka ya 70 sasa kaisha , hana kitu , kuumwa ndiyo kama sala kwake na huyu kijana hapa ndiyo kasoma na anapata mshahara mzuri,baba ndiyo...
Utamchukiaje mtu ambaye hayupo kwa wakati huo? na hata huyo mtoto ana kosa gani? kama unataka kugombana gombana na mumeo au mke mwenzio na si watoto. mm huwa nawashangaa sana wanaowabagua na kuwatesa watoto wa kambo, mm ninao watoto wawili wa mumewangu nawalea na wala siwabagui na wala...
Sielewi ni kwa nn wanaume wakiona unakuwa naye karibu, unapiganaye story, unamtania, unaweza hata kuomba ushauri wa kifamilia yeye akili yake inakwenda moja kwa moja kwenye ngono, mm napenda sana kuwa na rafiki wa kuime ambaye tuko age wise na tunaongea mambo mengi lkn si kuishia kwenye ngono...
Ili kumuonyesha kuwa kakuwa na anamajukumu anza kumpunguzia matumizi uliyokuwa unampatia(pesa) na azitafute mwenyewe, akiuliza mwambie mwanaume wa kuoa haombi home anatafuta kwa ajili ya familia yake, pia mwambie atafute pa kuishi na siyo hapo kwako. utakuwa umemaliza baadaya ya kuona maisha...
hapana , nilivyoelewa mm ni kwamba anashangaa mleta mada kuwapondea watoto wa kike wakati kwake yeye anaona wana faida kuliko hao wa kiume ambao wengi wao wameharibikiwa kwa kufanya mambo ya kusikitisha.
Hahahahahaahaaa!!! umenifanya nicheke wakati atakwa kusikitika, maana umemjibu kwa ukali kiasi ambacho angekuwa karibu yako ungemkata mtama kwanza. Loh!
Iumaa hiyo hiyo , alipewa barua yake, nasikia alikuwa anatabia ya kwenda hata safari zisizo muhusu yeye za kikazi nje ya nchi, anawaweka mameneja ambao hawana elimu kwenye madaraka ili kusudi asipate challange kwenye vikao, ili aweze kuwatawala.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Posta ( DEOS KHAMIS MNDEME) na katibu wa shirika (BW SAID) wamesimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya shirika.
Waliuza nyumba za shirika la Posta zilizopo Masaki kwa sh milioni 900, badala ya Bilioni 3, imegundulika kuwa bilioni 2 hazijulikani zilipo na hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.