Search results

  1. cartura

    can women and men be friends?

    nakubaliana na wewe.... inawezekana sana tu so long as you both are committed to keep it that way
  2. cartura

    Eti nipite na huko.......

    alivyokwambia umle na nyuma ukaamuaje sasa? conclude story yako!
  3. cartura

    Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    mapenzi yafanywe kabla au baada ya ndoa hai-guarantee kudumu kwa mahusiano
  4. cartura

    Nimshaurije mie

    hivi Nambe hujawahi kuwa concerned na ukweli kwamba huyo dada anaweza kumwambukiza bro wako ngoma?
  5. cartura

    Nimshaurije mie

    lakini ukiipigiza hivyo mnato wote si unaisha Little Angel .....
  6. cartura

    Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!

    'hit and run' ilikuwa ni misifa ya kizamani sana kabla dunia haijachafuka.... learn to live responsibly
  7. cartura

    Nimshaurije mie

    from the look of things, inaonekana binti ana pesa ndefu ndiyo maana anabadilisha mijamaa kama mashati wakati kaka mtu yuko 'apeche alolo' ndiyo maana anamng'ang'ania binti..... i stand to be corrected, though
  8. cartura

    tatizo langu nini jamani

    hakuna binti anayeweza ku-fall kwa mwanaume suruali, jipange kielimu na kimaisha kwanza mengine yatafuata yenyewe
  9. cartura

    Nimshaurije mie

    yaani wanagawa 'k' utadhani wameachiwa na wenzao kuwashikia!
  10. cartura

    Drag me in your madness

    aisee, ku-deal na mabinti waliopofushwa na mapenzi ya kiuwendawazimu ni kazi kweli kweli
  11. cartura

    namna bora ya kukiri na kuomba msamaha kwa akina mama.

    this is quite interesting.... but then gfsonwin, unadhani unaweza kusema confidently kwamba tayari umeshamjua mr. completely (pamoja na mikwara na mizengwe yake) au unadhani process ya kumjua partner ni continuous katika maisha ya ndoa na kwamba bado uko kwenye 'learning curve' (e.g kuna maeneo...
  12. cartura

    Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

    hapendwi mtu inapendwa pochi tu... halafu kuambiwa 'hupendwi kwa sababu huna mvuto' ni kilele cha matusi ambayo huyo binti angeweza kukuchagulia
  13. cartura

    namna bora ya kukiri na kuomba msamaha kwa akina mama.

    dada gfsonwin hii issue ilikuwa inaonekana ndogo lakini mbona ili-explode out of proportion kiasi hicho? au mzee si mtu wa utani hata kidogo? kwa jinsi shughuli ilivyokuwa pevu, sidhani kama utakuwa tayari tena kumchezea simba shurubu...
  14. cartura

    Nimeamua kugive up lakini naumia....

    lakini si uliambulia ambulia kidogo.... inatosha, waachie wengine
  15. cartura

    25 things not to say when doing sex

    dah, aliamua kukupa straight bila kumung'unya maneno..
  16. cartura

    Kwa wanaume wasiopenda kuchunwa

    sasa hujaelewa nini? yaani wewe unataka ukamgaragaze mtoto wa watu, halafu umpe shs elfu tano.... si utumie revola tu sasa kama unaona kutoa pesa anayohitaji utapata hasara
  17. cartura

    Swali:Je walimu waligoma kuonyesha kuwa wanaweza kufanya hivyo au ?

    baada ya mahakama kutoa hukumu na CWT kutoa tamko kukubaliana na kila kitu including kulipa fidia kwa wanafunzi (iwapo serikali itataja kiasi cha fidia hiyo), ni ngumu sana kujua kama CWT walikuwa wanajua wanachokifanya au waliamua kutangaza mgomo kichwa kichwa bila kwanza ku-establish uhalali...
  18. cartura

    Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    a test case of tanzania's diplomatic and military clout
  19. cartura

    Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf

    ulishatishia kumtosa nini, mbona anaogopa sana kutoswa? halafu hapo kwenye msaada wa kimaisha, uko tayari kuzingatia vigezo na masharti?
  20. cartura

    Utafanyaje wewe kama mwanaume?

    halafu usikute jamaa lilikuwa linapiga mtandao mbadala wakati mnachat na wife...
Back
Top Bottom