Search results

  1. Mr Global

    Physics principal inasema sio goli, sawa Yanga!

    Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
  2. Mr Global

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    sana na sanaa ni maneno mawili tofauti
  3. Mr Global

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ulijali ni kimoja chali
  4. Mr Global

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mamylove ndio umeamua kunibwaga kisa sina kitambi
  5. Mr Global

    Je, Inawezekana kuishi bila kupiga punyeto mpaka umri wa miaka 40 and above???

    Punyeto ni stage katika ukuaji... Usipoipiga ujanani utaipiga uzeeni Naomba kuwasilisha
  6. Mr Global

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Ukisikia yalaaah... Ujue dongo ulilotupa limempata muhusuka
  7. Mr Global

    Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

    Kinachofanyika ni kuichoma Ile hewa ya ndani Ili iwe nyepesi(iwe na density ndogo kuliko density ya hewa ya nje) Na matokeo yake Lile puto ndio linapaa Nimekuelezea katika lugha nyepesi Kama Bado mtafute dogo wa form 2 akupe darasa
  8. Mr Global

    Kwa mshahara huu, nitaishi vipi Dar?

    Akisave 150 hatakula nini sasa?
  9. Mr Global

    Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Hivyo vichwa vinaandaliwa kuajiliwa tu...ukiviacha vijitegemee vyenyewe vinakufa Ila sisi wa div 4 na 3 ndio tunalisha nchi wap MO29, bakharesa, GSM......NIENDELEEEE
  10. Mr Global

    Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Leo ndio nimepata sababu kwanini taifa alisongi
  11. Mr Global

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    World ndio dunia kwa kiswahili
  12. Mr Global

    Kozi ngumu, ajira hakuna

    Kweli Mkuu..ila sie tupo kwenye nchi zinazoendelea ndio shida
  13. Mr Global

    Kozi ngumu, ajira hakuna

    Nachojaribu kuzungumzia ni kwamba watu wa kozi hizo wana kazi ya kufanya ili watambulike na waajiri la sivyo watakaa na historia kwamba walipitia chuo na walisoma kozi fulani lakini hakuna watakachoapply kutokana na walichokisoma
  14. Mr Global

    Kozi ngumu, ajira hakuna

    Kila unapoenda watu hawakuelewi, wanakuambia wewe in mwalimu ukija kwenye ualimu wanakuambia we we sio mwalimu Yaan, full mastress mkuu.
  15. Mr Global

    Kozi ngumu, ajira hakuna

    Kwanza nianze na pole wale mliosoma Bsc PHYSICS, MATHEMATICS na BIOLOGY kwa ugumu wa kazi lakini pia niwaambie ukweli hizi kozi hazina hajira kabisa na kama zipo basi mara moja ndani ya miaka miwili. Hapo mwanzo kozi hizi zilianzishwa kwa ajili ya kupunguza tatizo la walimu wa...
  16. Mr Global

    je wajuaaaa?

    Je wajua kuna kozi hazina ajira mfano Bsc physics in kupoteza mda tu
  17. Mr Global

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana sana pale utakapokua umezibwa na mafi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom