Search results

  1. Molaro

    Mama Maria Nyerere anatimiza miaka 93 leo. Karibuni tumtakie matashi mema

    Kama ni miaka 93 basi kazaliwa mwaka 1929 n a sio 1939. Happy birthday Mama wa Taifa
  2. Molaro

    Wilaya zilizopo mipakani nchini kwetu zina maskini wengi ila zinajipambania

    Maajabu!!!Moshi na Songea ni wilaya zenye wilaya ndani yake[emoji119][emoji119]
  3. Molaro

    Share your current internet Speed

    Duuh, bhasi siku hizi wako vizuri sana
  4. Molaro

    Share your current internet Speed

    Hapa upo mji gani?
  5. Molaro

    TCRA Ondoeni kwenye orodha namba tunazofuta

    Habari wamajambi na TCRA Nimefuta namba 4 zilizosajiliwa kwa NIN yangu zaidi ya miezi 6 iliyopita ila ajabu ni kwamba bado hizo namba zipo kwenye orodha ya namba zangu nikiangalia kwenye orodha ya namba zilizosajiliwa kwa mitandao yote. Pia nikiangalia kwa Mobile money (M pesa/tigo pesa) namba...
  6. Molaro

    Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

    Kituo cha Afya Mkonoo Arusha Jiji kimejengwa mwaka 1989, labda kimeongezewa jengo.
  7. Molaro

    Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Ndo za kimila watu wanapewa vyeti vya ndoa?
  8. Molaro

    Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Umenena vyema. Ndoa sio matarumbeta wala vyeti, ndoa ni commitment. Ndio maana kwa mujibu wa sheria "Ndoa ni muunganiko wa hiyari kati ya mwanaume na mwanamke wenye lengo la kuishi kama mume na mke". Msingi wa ndoa ni makubaliano ya hiyari sio vyeti. Dada atulie alee mimba na familia yake...
  9. Molaro

    Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Aondoke na ujauzito wa jamaa sio?
  10. Molaro

    Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

    JK alimwambia akaelewane na waasi kwa njia ya mazungumzo. PK hakulipenda kabisa neno hilo na ndio mwanzo wa ugomvi. Lakini pia usisahau jamaa wote wawili ni wanajeshi so inawezekana JK alishtukia hila za PK
  11. Molaro

    Bsc. Chemistry VS. Agriculture economic and banking.

    Taja na vyuo vinavyotoa kozi hizi
  12. Molaro

    Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Bhasi mkuu. Jaribu tu kuishi. Kuna mwamba kakuambia ukae na jamaa ujue vipaumbele vyake ili upate cha kuwajibu wazazi. Jaribu kuwa mguu ndani kwa sasa na sio nje ndani, pia epuka sana shauri za mashoga zako, zimewapoteza wengi.
  13. Molaro

    Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Mbona watu wengi wameoa na kuolewa kwa style kama yako? Wewe acha kumpa jamaa pressure za ndoa na hapa wengi hutaka harusi (sherehe). Kuhusu security bado unaweza kuachika hata ukifunga ndoa na vyeti juu. Kwani huoni ndoa zilizofanyika tena kwa harusi kubwa kubwa zikivunjika kabla hata ya...
  14. Molaro

    Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

    Bahati mbaya kuna watu walikuwa wanamdhihaki. Kuna wanaojuta sasa. Kuna mmoja Twitter nae aliandika ujumbe wa kukata tamaa na kweli alijiua. Depression is real. Mimi mtu akisema anataka kujiua siwezi kuchukulia mzaha.
  15. Molaro

    Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

    Daah, ndio nimetembelea Profile yake nimeona mkuu. Inahuzunisha sana
  16. Molaro

    IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

    Huwa unakemea media ikiandika "Wafugaji wa Kimasai" au Au "wenye asiki ya Kimasai" Au "mlinzi wa kabila la kimaasai"?
Back
Top Bottom