Search results

  1. Valentina

    Miaka yangu 10 ndani ya JF

    Hello mabibi na mabwana, natumai mko vyedi kabisa. Ikiwa imebaki masaa machache tupindue mwaka napenda kushuru kama ifuatavyo kwa jinsi platform hii ilivokua msaada mkubwa sana kwangu. Kipekee kabisa nianze kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi na fadhila zake kwangu/kwetu. Ashukuriwe zaidi kwa...
  2. Valentina

    Huwa mnafanyaje?

    Hello dears, Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera. Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
  3. Valentina

    INAUZWA Jipatie saa na bidhaa zingine nzuri sana na OG

    Saa za rado ni 65,000 ni Original Pia saa za navigate jipatie kwa sh 60k Bila kusahau mashuka mazuri kutoka Uganda size 7×6 7×8, unapata mashuka mawili na foronya zake4, material: cotton, kwa sh 55k tu Chagua bidhaa uipendayo kati ya hizo kisha unichek kwa namba 0785434419 kwajili ya mzigo...
  4. Valentina

    Ila haka kawimbo katamu jamani

    Niko tu mi baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi Aii zuri baby Nibandike nigande ka gundi Maakuli nilishe nishibe Kitumbo ndindi Unanikoleza, unanichombeza Unanilegeza ai wee Ukianzaga ndani unayaweza kitandani Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee Nakupenda...
  5. Valentina

    Mume na mke jitambueni ili muishi kwa furaha

    **MUME NA MKE JITAMBUENI ILI MUISHI KWA FURAHA** #MUME Mke wako si nguo, kwamba ikichakaa utanunua nyingine, Mke wako ni kitu chema toka kwa Mungu, huwezi kuweka mbadala wake, iwe fedha au awe mwanamke mwingine. Ni Mungu tu ndiye akupaye mke, hapatikani sokoni, wala dukani. Hapatikani hotelini...
  6. Valentina

    Happy birthday Paw

    Siku kama yaleo miaka mingi kidogo iliyopita wazazi,ndugu pamoja na jamaa zako walikua na furaha kukupokea kiumbe wewe na kukukaribisha kwa shamrashamra zote katika sayari hii dunia... Umekua ni rafiki mwema na umekua msaada kwa rafikizo na jamii ikuzungukayo,sina pesa za kukuhonga ili furaha...
  7. Valentina

    Mwanamke wa kibali

    Somo hili sio langu ila nimeona vema kushare nanyi wanawake wa MMU,najua kila mtu angependa mahusiano yake yawe ya mfano bora wa kuigwa... Naomba niwapestie kama ifuatavyo linalokufaa chukua ukaboreshe ndoa/mahusiano yako VYAKULA VITANO MUHIMU KWA MMEO VITAKAVYOMFANYA AKUFANYE MALKIA WAKE...
  8. Valentina

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Arusha wing tunasikitika kutangaza kifo cha mtoto wa member mwenzetu PakaJimmy kilichotokea leo hii kwa ajali ya basi la shule,ni kati ya wale wanafunzi wa Lucky Vincent... Ni msiba mzito mno mno kwa mzazi yeyote kumpoteza mtoto hasa katika mazingira kama haya ya ghafla,unaagana na mwanao...
  9. Valentina

    Hawa jamaa wamezidi sasa

    Cc Nyani Ngabu
  10. Valentina

    Happy birthday Asprin

    Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki... Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na...
  11. Valentina

    Shukrani kwenu wana JF, kwa support ya msiba wa baba mzazi wa Heaven Sent

    Kwa niaba ya Heaven Sent, wambeke nitumie fursa hii kutoa shukrani za dhati kwa support yenu mlioonyesha kwa msiba wa baba mzazi wa mwenzetu. Imepatikana kiasi cha 350.000/=. Nimemtumia taslim 348.000/= Kila mmoja kwa namna yoyote ile iwe kiushauri, pole na hata fedha bila kujali kiwango...
  12. Valentina

    TANZIA: Mrejesho wa msiba wa baba wa mwenzetu

    Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu.... Binafsi nimeongea na mfiwa...
  13. Valentina

    Huyu mwanafunzi kapinda ha ha...

    *A teacher was teaching words and their opposite then he told Mutabazi to stand up and give answers !* Teacher: What is the opposite of good Mutabazi : Bad Teacher: Come Mutabazi : Go! Teacher: Ugly Mutabazi : Sexy Teacher: You are wrong Mutabazi : You are right Teacher...
  14. Valentina

    Wakulala ibadani mpo?

    HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema " SIMAMA" Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama Pastor akaendelea...
  15. Valentina

    Njiwa

    Njiwa Njiwa peleka salamu Oo kwa yule wangu muhimu Mueleze afahamu Kwamba ninapata taabu Hali yangu mahamumu Oo maradhi yameni siibu Chorus Eewe njiwa x2 Peleka salamu Kwa yule x2 Wangu muhimu Usiku kucha nakesha Oo na yeye ndiye sababu Ewapo haji maisha Itamfika aibu Pendo langu halijesha Oo...
  16. Valentina

    Tutanue mapafu kidogo

    SIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini hivyo? Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu sana, hivi atakula njiani Mhaya...
  17. Valentina

    Haya sasa

    Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage! MC : "Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni...
  18. Valentina

    Aithee

  19. Valentina

    Happy birthday @ladyfurahia

    On this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more to come... HAPPY BIRTHDAY toto zuri,nakuja kukumwagia maji baridi
  20. Valentina

    Cheka kidogo

    Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva Zima muziki dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio Dereva akatii akazima... halafu akasimamisha bodaboda na kusimama pembeni Shekh akamuuliza Dereva "Nin tena!?"...
Back
Top Bottom