Search results

  1. S

    happy birthday to me!

    Happy birthday dear. Mungu akupe umri mrefu wenye afya njema.
  2. S

    Hata kama ni ndugu zangu wa damu,sipendi tabia hii.

    Ndugu pumzi zisikuhadaeeeeeeee!!!!!!!!!!!! maisha ugeukaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
  3. S

    Kupiga kavu kavu ni noma..!

    Wandugu tafadhalini mpaka sasa tiba haijajulikana, tujihadhari sukari tamu sana lakini ndio hiyoo sumu kibaooooo...
  4. S

    Jamani hizi kondomu zitatuua.......,daaaaaaaah

    Tuwe makini hili ni pigo takatifu wandugu......
  5. S

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    Nami nashauri fuata ushauri wa mimi49 ingia: Dinahicious-Sex, Relationships & Love.
  6. S

    Ni ajabu

    Ni kwambie tena tusingejua, kama huyu mwanamme au mwanamke kwani tungekuwa mwili mmoja.
  7. S

    Majina, misemo na maneno kwenye khanga

    Hahahahaha!!!! kazi kwelikweli mabo ya uswahili hayo.
  8. S

    Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

    Jamaniiii kwakweli si tabia nzuri naomba tuwache.
  9. S

    Ona, huyu

    Mh!!!!!! makubwa hayo.
  10. S

    Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Mimi ni Muislam na nipo Zanzibar.
  11. S

    Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Asante dada nimekuelewa nasema Inshaallah kwa uwezo wa Mungu. Ck njema.
  12. S

    Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na mume ambae nilimuamini na kumpenda sana yeye ni mfanyabiashara nje na ndani ya nchi baada ya miaka 4...
Back
Top Bottom