Search results

  1. Josh Ramadhan

    Generator,6kva and 5 kva

    Habar wadau JF naomba kuuliza ni wap hapa Dsm nitapata Generator za 6kva au 5kva iwe Aurora,honda king max au kapor ay zozote kutoka japan na india(Diesel) kwa bei nzur(cheap kidgo)
  2. Josh Ramadhan

    Kuanzisha shule ya awali

    Kwa mwenye kufahamu naomba anipe taratibu za kaunzisha shule ya awali(chekechea) ?
  3. Josh Ramadhan

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Salamu wanaJF . Kwa mwenye kufahamu vifaa muhimu na taratibu za kufungua kituo cha afya au dispensary(zahanat) naomba anipe utaratibu na gharama zake za vifaa Ahasante
  4. Josh Ramadhan

    Noah old model vs Probox min van ipi gari nzuri yakununua

    Jaman naomben msaada wakujua tofaut na uwezo wa hzo gar hapo juu msaada jaman
  5. Josh Ramadhan

    Jaman HIACE ni shilingi ngapi?

    Ok nashukuru kwa majibu yako na je ukiagiza toka nje inakuaje
  6. Josh Ramadhan

    Jaman HIACE ni shilingi ngapi?

    Wadau naomba kujua bei ya hiace ikiwa yard hapa tanzania ?
  7. Josh Ramadhan

    Open university of Tanzania

    Foundation mwaka huu haipo tena na wale ambao walishapita hapo yan wako mwaka wa pil wanaendelea kama kawaida
  8. Josh Ramadhan

    M-Pesa, Tigopesa n.k. ni utapeli mwingine?

    Fanyeni utafit kuhusu hilo msiongee tu jambo ambalo hamjafanya utafiti kwa kina .. Umetaja sheria hapo juu je umewahi kuuliza mamlaka husika kuhusu hilo.. Je, umewahi kuthibitisha kwamba hizo kampuni hazina kibali cha kufanya hvyo au kuangalia kampuni hzo katika usajili wake hzo huduma za pesa...
  9. Josh Ramadhan

    Jinsi ya kuongeza followers instagram

    Inafanya kazi fresh few minutes nimepata followers 89 ila nahitaji kujua kuhusu kupata watz wenzio au east africa
  10. Josh Ramadhan

    Je, Unataka kuanzisha kituo cha radio?

    Sawa naomba unipe full bajeti basi mpaka installement yote
  11. Josh Ramadhan

    Je, Unataka kuanzisha kituo cha radio?

    Vifaa vya radio kwa gharama hyo ni kutoka wap kaka na je vinaweza kuhumili radio ya wilaya i meant fm radio ....maana niliskia kuna vifaa adi milion 5 lakin haviwez kua kwenye ushindani hata wa kiwilaya ...nasubir ushaur wako
  12. Josh Ramadhan

    Podcast

    Anaefahamu jaman kuhusu podast aniambie
  13. Josh Ramadhan

    Podcast

    Heshima kwenu wadau jaman naomba msaada kujua hii kitu podcast studio inafanya kaz kwa style zip na mtu anawezaje kutengeneza pesa ktk hii podcast... Ahsante sana
  14. Josh Ramadhan

    Msaada kuhusu Podcast

    Jaman wadau naomba kujua kuhusu podcast hii kitu nahitaji kujua ikoje na ifanyaje kaz
  15. Josh Ramadhan

    Namtafuta Mwanafunzi yoyote anaesoma chuo ITA

    Ahsante chuo cha ITA kipo wap... Na mazingira yake ya shule vp ukiwa na Ada Zake ziko vp kuanzia ngaz ya cheti...
  16. Josh Ramadhan

    Namtafuta Mwanafunzi yoyote anaesoma chuo ITA

    Kama mwanafunzi anasoma ITA aje hapa kuna maswal nahitaji anisaidie kidgo.
  17. Josh Ramadhan

    Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

    Ukikua utaacha hiv ww unaenza degree umetoka form six na anaenza degree alietoka diploma na form 4 yake Nan walau ana idea ya hyo degree... Afu mwenzio unawezakuta baadhi ya masomo hasomi mwaka kwanza... Alishoma akiwa diploma..
Back
Top Bottom