Search results

  1. MKANDYA

    Magufuli, Rais wa kwanza Afrika ya Mashariki kuwa na PhD

    " Dr. Mwai Kibaki ana PhD"
  2. MKANDYA

    Rais Magufuli: Sijazuia shughuli za siasa kwa watu waliochaguliwa

    Hivi timu ya mpira kama simba nazingezo ambazo hazikuchukuwa ubingwa haziruhusiwi kufanya mazoezi na maandalizi ya msimu ujao hadi mashinado yaanze?? Siasa ni ushindani unaposhindwa unaanza maandalizi ya uchaguzi ujao. Kuzuia vyama vya Siasa kufanya siasa huo ni uoga wa yule aliyeko madarakani...
  3. MKANDYA

    Umri wa wabunge wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - 2015

    Ndugai Job Yustino kazaliwa 21/1/1960. Kamala Diodorus Buberwa kazaliwa 2/111968. Hizo taarifa ulizotupa haziko sahihi, ni wengi tu ambao umeonyesha miaka si yao.
  4. MKANDYA

    Tuseme ukweli na tusiwapotoshe wananchi

    Muleta Mada wewe ndiye unapotosha watu unasema mkataba wa Richmond ulisainiwa na Lowasa!! Huo ni uongo. Tafuta ukweli ujuwe ni nani alisaini huo mkataba.
  5. MKANDYA

    Nini maoni yako" specificaly" kuhusu kauli hii ya Nape?

    Nape akumbuke na yeye ni marehemu mtarajiwa. Kauli yake ni kuonyesha ujinga wake alionao.
  6. MKANDYA

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Pango la wezi na mafisadi ni ccm,huko ndiko kuna chuo cha ufisadi. Mafisadi wanatabia ya kumchukia yule anayeamua kuuacha ufisadi na kujiunga na watu wema.Lowasa ni mwiba mkali kwa ccm kwasababu atawaumbuwa ufisadi wenu. CCM inatakiwa kwanza imshukru Lowasa kwa kuinusuru kutopoteza serkali 2008...
  7. MKANDYA

    Video: Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge wa CCM Ubungo Masaburi-2015

    Ni bora kumpa nchi fisadi mmoja kuliko kuwapa nchi genge la MAFISADI (ccm ).
  8. MKANDYA

    Muamala wa Lowassa hatarini

    Kweli CCM ni Chama cha Mafisadi tuu.
  9. MKANDYA

    Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Wewe msomi, mbona haujauliza vyanzo vya million 50 kila kijiji na kompyuta kwa kila mwalimu zitatoka wapi!!Huo ulikuwa ni mkutano wa kuandika vipumbele vya ilani yao,haki kuwa kikao cha bajeti ili kuchanganuwa vya mapato na matumizi. Elimu ya kugharamikiwa na serkali, Inawezekana na ilishawahi...
  10. MKANDYA

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    Jamani naomba mziangalie hizo Ref.CBD88/286/01 na CDB286/397/01 hapo utapata kujuwa kama kweli hizi ni halali au kuna mchezo tunachezewa.a Angalia mpangilio wa hizo herufi CBD naCDB.
  11. MKANDYA

    Lowassa aliuza Jimbo la Segerea

    Kama ni kweli Mtatiro kaachia, basi yawezekana anamwachia Dr.Slaa angombee ili ateuliwe kuwa Waziri Mkuu.
  12. MKANDYA

    Tanzia: Mzee Peter Kisumo afariki Dunia

    R. I. P. Mzee Peter Kisumo.
  13. MKANDYA

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    J Amani mbona tunahangaika sana kujuwa kwanini Dr.Slaa haonekani kwenye hafla ya Lowasa,lakini mbona hatushituki kwanini Kinana hajaonekana kwenye hafla za kumtambulisha Magufuli???
  14. MKANDYA

    Ansbert Ngurumo: Lowassa Mpya Amenikumbusha Makubwa

    SAHISHO:Mwaka ni 1995 so 2005.
  15. MKANDYA

    Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

    Mimi sioni kama kuna tatizo kwa viongozi wa kiroho kuwa viongozi wa nchi,hawa ni binadamu kama sisi hawana hadhi ya uungu wowote,hivyo kama wanazo sifa ya kutuongoza tuwape.Mifano miwili ya viongozi wa kiroho waliowahi kutawala nchi zao.1.Archbishop Makarios wa Cyprus 1959 hadi 1977 alipo...
  16. MKANDYA

    Happy Birthday Mzee Ally Hassan Mwinyi, Atimiza miaka 90

    Wishing you a Happy Birthday Mr.President
  17. MKANDYA

    Taasisi kongwe zinazotumia jina la Tanganyika

    MAT=Medical Association of Tanganyika
Back
Top Bottom