Search results

  1. P

    ACT; Hii ni Siri msiyoijua, Wenzenu wanaijua ila wamewaficha.

    endelea kuamini hivyo kinadharia zaidi kuliko hali halisi iliyopo kwenye ground tena ukiwa nyuma ya keyboard na id fake ni rahisi sana, watawala hawatishwi hata siku moja na hizo nadharia na tena wangependa iwe hivyo ila ukweli ni kwamba hiyo kamata kamata unayoiita wewe ni ujinga ndio...
  2. P

    ACT; Hii ni Siri msiyoijua, Wenzenu wanaijua ila wamewaficha.

    cdm kufa ilisha tabiliwa kufa toka mnaanzidha ACT ukweli yamekushinda ACT sasa umekaa mbali umewaachia mfupa wenzako unajifanya mshauri wewe huwezi kamatwa na tena hutakuja kamatwa kama utaendelea kuongea vitu rahisi kama hivyo, watawala hawatakuja kaa watishwe na huo ushauri mwepesi wenzako...
  3. P

    Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

    alifyata mkia, njaa mbaya, utapiganaje na alieshika mpini wakati wewe umeshika makali, utakuwa fala sana mtu kama wewe lemuz mtu wa madili mtu wa totoz ukae mbali na mkondo wa maji
  4. P

    Familia ya Lissu yafanya kikao na uongozi wa Bunge. Washindwa kufikia muafaka baada ya CHADEMA kukosa mwakilishi

    wee ndio mpuuzi na propaganda zako za kijinga, familia inatambua mchango wa cdm, ndio maana wakasema lazima wawepo
  5. P

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    kwa hiyo unaiba? hata kama unapewa b7 basi nawasikitikia kwa kupoteza pesa zao, sio kwa utumbo huu
  6. P

    CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

    tofautisha kati ya kuhoji na kuleta umbea mkuu...itakusaidia hata katika maisha yako!!!
  7. P

    CHADEMA jifanyieni tathmini

    Leo ndio nimejua rangi yako halisi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    usijitie ushamba, nokia kitochi inaweza kiwa na apps Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    mkuu kwani unafikiri this time magufuri alishindwa kutoa tamko la kumuunga rafiki yake kama yeye, position yake ndio imemzuia, the same to odinga alikuwa ni kiongozi wa odm kwa positiom yake kumuunga mkono wakati ule ni sawa na msimamo wa chama hauhihaji hata kikao kimoja Sent using Jamii...
  10. P

    Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

    isikuumize hii kitu...mbona mpinzani huyohuyo 2015 alimsaidia mtawala, sioni ubaya kwa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    kama odinga (odm) alisupport rulling part 2015 usishangae cdm kussuprt rulling part 2017 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    HESLB kukata 15% ktk Mishahara ya wanufaika: Sheria haiwezi kutumika retrospectively

    namashaka kama umemuelewa mtoa mda, rudia tena kusoma bado una mda
  13. P

    Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais

    watu hawa anao kwenye korido za lumumba ameacha kuwauliza anasingizia JF kwani wao ndio waliotuaminisha jamaa mkwepa kodi wakiongozwa na mkulu wao
  14. P

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    naamini jibu sahihi ni hili hapa, ila mkuu swalo nyongeza kuna hoja humu kuwa bendera za jeshi hipandishwa jioni nankushushwa asubuhi, unaweza fahamu kwani inakuwa hivyo
  15. P

    CUF yapasuka vipande vipande; waidhinisha malipo ya fedha wako kambi tofauti

    Hapo chini umemalizia nini sasa!! msipende kunukuu vitu msivyokuwa na ukika navyo mtaja tukana bila kujua
  16. P

    Abunwasi na Nchi ya Kusadikika

    umetumwa na mawakili wenu wa mwendo kasi?
  17. P

    Nikimtazama Tundu Lissu huwa nacheka sana kwa anayoyafanya

    mmetumwa muombe poo!!
  18. P

    Peter Msigwa: Niliwahi kusema bungeni kuwa tumezalisha taifa la watu wanafiki waoga na kujipendekeza

    sasa kitu gani kigumu hapo wakati vitu vyote vipo mikononi mwako
  19. P

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    umeacha kujibu hoja, unajibu vioja, umeambiwa chama sio mama yako, ukikichoka unakiacha, huwezi acha kufanya siasa kisa eti unaogopa kuna siku watakufukuza, empty kabisa
Back
Top Bottom