Search results

  1. served

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Story yako inahuzunisha ila pia inamafundisho sana.Ila kilichokuja kukuangusha ni mahusiano(wanawake).Pole sana. Wewe ni mpambanaji sanaaa. Ushauri wangu uko ulikohamia angalia fursa ya biashara ya fani yako,Kwa sababu kupitia story yako unaifanya vizuri sana,deal with your passion.Kikubwa...
  2. served

    Course ya GEOGRAPHICAL information and REmote sensing

    Ni kozi nzuri tu,kwa experience kidogo niliyonayo unaweza kuajiriwa au kujiajiri(Tanesco,Idara ya Maji,Manispaa,TFS,TRA,NBS) na bado ni wachache.Wengi waliopo wana masters na short course.Kila lenye heri.
  3. served

    Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Karibu sana mimi nazalisha hapa hapa Tanzania naomba tuwasiliane,nimekupm mawasiliano yangu,Asante
  4. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Uko mkoa gani?
  5. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Nnakutumia tuwasiliane tu uniambie uko wapi.
  6. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Habari wana Jamii forum Mafuta halisi ya parachichi yanapatikana kwetu. Yanasaidia kuondoa miwasho mwilini na kwenye nywele Yanatibu vidonda Yanafifisha michirizi Yanakukinga usiungue na mionzi ya jua(ukipaka hausikii kama jua linakuchoma) Bidhaaa asili ya kitanzania Bei zetu ni hizo Mls...
  7. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Hii ni kwa ekari moja
  8. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Kama utaridhia njoo pm ntakupa namba ya mawasiliano kwa karibu
  9. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Ni pines karibuni pm
  10. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Miti aina ya Pines
  11. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Bei ni shilingi milioni 5
  12. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Milioni tano kwa ekari moja
  13. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Bei ni shilingi milioni 5 na,picha ntaziongeza ,na siuzi shamba nnauza miti tu
  14. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Hallow poleni na hekahek za pasaka. Ipo miti ya mbaoa aina ya pines inauzwa ipo Mafinga Iringa ina umri wa miaka 9 na zpp ekari 13 asanteni.Aliye penda naomba tuonane PM
  15. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Hallow habarini za pasaka Miti ya mbao inauzwa iko Mafinga Iringa Ziko ekari 13,miti ina umri wa miaka 9 aliyeinterested anipm asante.
  16. served

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Yaan Snowhite umesema vema kabisa dada MUL fuata ushauri wake
  17. served

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Dada mnyonyeshe tu mtoto mpaka mimba itakapofikisha miezi saba na Baada ya hapo anza kumpa lishe nzuri yenye virutubisho mpende sana mwanao muweke karibu. Mtoto ni Neema amini Mungu amemleta sasa iko sababu usichanganyikiwe hata jitie nguvu jitie Moyo utavuka na utawafurahia wanao.
  18. served

    Wataalam wa Ardhi tusaidieni

    Na ieleweke hivi mtu mmoja mmoja anapimiwa na inaruhusiwa kabisa ila sasa kupima mtu mmoja ni gharama kubwaa wapimaji wengi ushaauri wengi kwa sababu mnazishare hizo gharama na hivo mzigo unakua umepungua
  19. served

    Wataalam wa Ardhi tusaidieni

    Hakuna mkurugenzi sasa wanafanyaje kazi?Anyway hiyo ni too risk inainvolve pesa za watu.Haya mambo huwa lazima viakao vipite na kuwe na mihutasari ndio upimaji na urasimishaji makazi vinaruhusiwa na vinakuwa salaama zaidi.
Back
Top Bottom