Search results

  1. Mvaa Tai

    Bajeti ya 2014/15 itaniathiri transaction zangu za leo?

    Wajuzi wa sheria naombeni ushauri wa haraka, bajeti imepitishwa jana moja kati ya vitu vilivyopitishwa ni kuondoa nafuu ya kodi ya magari yenye umri chini ya miaka kumi na kwasasa nafuu hiyo itahusu magari umri wa chini ya miaka minane. Wiki hii nimenunua gari Japani lililotengenezwa mwaka2005...
  2. Mvaa Tai

    Nimetukanwa na mke wa jirani yangu!!!

    Kuna familia moja imejengea karibu kabisa na kwangu tokea wamehamia ni miezi minne na zaidi, Baba wa familia hii ni wa rika langu kabisa, siku chache baada ya kuhamia tulikutana kwenye Ibada ya Jumuia mtaa wa tatu, basi tukawa tunaongea kwa kutaniana akiniuliza wenyeji huwa mnanywea bia wapi...
  3. Mvaa Tai

    Mtela Mwampamba!!!!!

    Dakika chache zilizopita nilikuwa hapa jirani na Ikulu Mtela Mwampamba ulikuwa umepakizwa kwenye piki piki umenipita spidi sana na umeingia Ikulu kibaya zaidi hukuvaa Helmet bado tunakuhitaji dogo take care, mwambie dereva wako wa Boda boda asiwe anakimbia sana namna hiyo pikipiki zinachinja...
  4. Mvaa Tai

    Sisi wake zetu hawatongozwi??

    Nilishaambiwa au kusikia mara kadhaa kwamba Mwanamke kashtaki kwa Mmewe kwamba kuna Mwanamme anamfuatilia/anamtongoza, matukio haya yapo ya aina kadhaa:- 1. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba katongozwa na mtu anayemfahamu huyu mwanamke kaolewa na kaolewa na nani. 2. Mwanamke kulalamika...
  5. Mvaa Tai

    Nimefanyiziwa na rafiki!!!!

    Tumezaliwa kijiji kimoja, nimekuwa naye kijijini na nimesoma naye shule ya msingi, tuliachana tukiwa tunakwenda Secondary mpaka tunamaliza vyuo vikuu ambavyo tumesoma vyuo tofauti, tulikuwa tukionana pale kijijini mara chache sana wakati wa likizo mpaka tulipomaliza chuo. Baada ya kumaliza chuo...
  6. Mvaa Tai

    Kwanini Wazanzibar wanafanana majina????????

    Wadau nimelazimika kuuliza hili swala kwasababu ni zaidi ya mara tatu nakutana na Wazanzibar wasiofahamiana ila wanafanana majina tena majina matatu, nina rafiki yangu wa Mtandaoni yeye yupo Zanzibar tulikutana mitandaoni enzi hizo za Secondary School tukiwa tunasaka marafiki kwenye Mitandao...
  7. Mvaa Tai

    Madhara ya kutangaza Ugaidi nchini

    Habari za Asubuhi wadau wa JF. Nimelazimika kuandika hili kwasababu ni mara kadhaa naona neno Ugaidi linatumika bila ulazima wowote ukiachilia hii ishu ya jana huko Mtwara. Kwa mfano kuna Kipindi Polisi walizuia maandamano kwa madai kwamba kuna tishio la Al shabab hii ilmaanisha kwamba...
  8. Mvaa Tai

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa. Napata taabu sana...
  9. Mvaa Tai

    Hiki ni nini???

    Wadau ni nini maana ya Rep Power kwa hapa JF?????????? JF Senior Expert Member Array Join Date : 25th...
  10. Mvaa Tai

    Mimi ni mbinafsi????

    Kabla sijaoa kwa nyakati tofautitofauti nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo, mmoja alikuwa Secondary form three, mwingine alikuwa form four, na kwa Mara ya mwisho nilitembea na mtoto wa form Six hii ilikuwa ni katika harakati za kukidhi mahitaji yangu ya kimwili hasa...
  11. Mvaa Tai

    Plot inauzwa fasta kwa Million4.1 tu!!!!!

    Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006, nilinunua kwa mtu Mwaka 2008 na kupata hati miliki kwa jina langu March 2009. Ni eneo lililokwisha...
  12. Mvaa Tai

    Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    Nina siku ya Tatu sasa naipitia Rasimu ya katiba yetu ili nione kama hili suala la haki ya kuchinja vitoweo limegusiwa kwa namna yeyote ile, maana naogopa isije katiba ikapita bila kugusia hii ishu alafu ikaacha watu wakiendelea kuvutana kwa kitu kidoogo, kiasi cha kuuana na mbaya zaidi kutokuwa...
  13. Mvaa Tai

    Tuwatake radhi waarab!

    Wadau jana nimesikia katika habari za jioni za BBC kwamba nchi wanamotoka wale vijana wanne watuhumiwa wa mlipuko wa Bomu Arusha, wanaitaka Tanzania iwaombe radhi kwa kuwachafua na kuwasababishia usumbufu, Tanzania isipofanya hivyo watavunja uhusiano wa kibalozi na nchi yetu. Je;- 1. Ni...
  14. Mvaa Tai

    Iran: Quake kills at least 40 near Pakistan border

    EHRAN, Iran (AP) — Iranian state TV says at least 40 people have been killed by a major earthquake near the Iran-Pakistan border. Press TV gave no further details on the extent of damage in the sparsely populated areas. But the quake shook buildings as far away as New Delhi and Gulf cities of...
  15. Mvaa Tai

    Tanzania Daima laweza kufungiwa!!!!!!!

    Wadau hizi ni habari ambazo napata taabu sana kuzithibitisha lakini zaweza kuwa hadharani mda wowote kuanzia sasa, kuna mdau wangu aliye ndani ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamduni na Michezo, katustua kwamba kuna kikao cha dharula kimekaliwa pale wizarani kila mjumbe aliye kikaoni ameshika...
  16. Mvaa Tai

    Saint Augusitine University ni Chuo cha Kibabaishaji

    Nakichukulia kama ni chuo cha kibabaishaji kwasababu zifuatazo. 1.Hawako vizuri kwenye records keeping kwa mfano unaweza kurudishwa usiingie kwenye chumba cha mtihani kwasababu kumbukumbu zao zinaonyesha unadaiwa ada hata kama umelipa kila kitu, hivyo kumlazimu mwanafunzi kutembea na risti zake...
  17. Mvaa Tai

    Navunja ndoa ya mtu!!!!

    Wadau mwenzenu nipo kwenye wakati mgumu sana psychologicaly, kuna dada anataka kuachika kwasababu yangu ilihali hana kosa lolote....Ishu iko hivi Kuna dada(mke wa mtu) nipo naye karibu sana kikazi, siku asipokuwepo ofisini kuna baadhi ya kazi zake hunachia nimsaidie namimi nisipokuwepo ofisini...
  18. Mvaa Tai

    Kumtoa mtoto!!

    Wana Jamvi weekend hii nimepata kadi ya mchango ambayo sijawahi kuchangia mchango wa aina hiyo, kadi yenyewe ina heading isemayo "Mchango wa Maulidi" inaendelea kusema Bwana na Bi xxx wanaratajia kumtoa mtoto wao kipenzi mwanzoni mwa mwezi December, hivyo mimi kama rafiki, Ndugu au jamaa wa...
  19. Mvaa Tai

    Kesi ya kumpa Mimba mwanafunzi

    Wadau mimi naishi na mtoto wa dada yangu, kwasababu dada yangu hana uwezo nilichukua jukumu la kumsomesha huyu mtoto, kwasasa yupo form four, jana kafukuzwa shule baada ya kugundulika ni mjamzito wa miezi mitano. Kwasababu sifahamu vema sheria zinazosimamia hili swala naomba kufahamu yafuatayo:-...
  20. Mvaa Tai

    Nina kuheshimu sana Mtikila!

    Umechangia mabadiriko katika nchi yetu, Bila wewe Watanzania bara mpaka leo hii tungeendelea kuonyesha Passport ili kuingia Zanzibar. :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
Back
Top Bottom