Search results

  1. Mvaa Tai

    Kumbukizi: Masomo ya Arts sekondari tuliyaita Masomo ya kike

    Nimecheka sana baada ya kukumbuka tukiwa Migodini Geita namna ambavyo Engineer mmoja alivyokua akiwapigia magoti watu wa HR kuhusiana na kibarua chake na tukiwa O-level alikua mkali sana wa Physics wanaume waliokuabwanasoma Arts alikua anawaita dume jike..[emoji16] [emoji16] Sent using Jamii...
  2. Mvaa Tai

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Sugu Rais wa Mkoa wa Mbeya hujasema lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mvaa Tai

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Mungu aepushie mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mvaa Tai

    Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

    Nyumba Nyeupe ingekua haihusiki naamini IGP leo hii angekua amefukuzwa kazi, kwasababu zifuatazo. 1.Kwakua Walinzi ni Polisi na huwa wanafanya kazi kwa maelekezo, nani alitoa maelekezo walinzi waondoke siku ya shambulio? 2.Nani kang'oa CCTV Cameras kwenye nyumba za viongozi? 3.Kwanini...
  5. Mvaa Tai

    National Board Of Accountants & Auditors (NBAA) kushindwa kuandaa mitihani ifikapo Julai 2018

    Juzi nilikua na Muwakilishi wangu Bungeni. Atazungumzia hii hujuma inayofanyika kwa kada ya uhasibu, maeneo ambayo atayagusia ni pamoja na 1.Ule waraka uliokua umeandaliwa katika kipindi cha Kikwete kuhusiana na kuondoa vikwazo visivyokua na sababu za msingi vilivyokua vimewekwa kwa...
  6. Mvaa Tai

    Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    Ndiyo utamu wa JF wanaruhusu post yeyote ilimradi haivunji sheria
  7. Mvaa Tai

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Kuna amani kwasababu hakuna Mwana CCM au kiongozi aliye uawa au kunusurika kwa risasi
  8. Mvaa Tai

    Kuna sababu gani ya msingi kwa Viongozi wa CHADEMA kutoa lugha zisizofaa?

    Umenikumbusha uharibifu uliofanywa na kiongozi mmoja katika Bustani za kiongozi wa upinzani anayotofautiana misimamo ya kisiasa na mfalme, bustani zilikua zimeajiri watu kibao. Kiongozi huyo baada ya kufanya ukatiri huo nasikia Mfalme alifurahishwa sana na kitendo hicho akaamua kumpandisha cheo...
  9. Mvaa Tai

    President Magufuli should know better and show some respect

    JPM anataka siku za usoni Taifa liwe na wananchi na viongozi wenye Elimu kama yake.
  10. Mvaa Tai

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Nadhani kuna mtu alitaka kuiga mambo ya Rwanda lakini akashauriwa kwamba atachemsha na kudharauliwa sana akianza vitabia vya kujifanya yeye ni bora kuliko viongozi wote waliomtangulia, ilihali ni mtu wa kawaida sana
  11. Mvaa Tai

    Idadi ndogo ya wapiga kura: Nazikataa sababu zilizotolewa. Natoa wito kwa NEC kujitathmini na kuchukua hatua!

    Mzee naona unajiamini sana, unaki-challenge chombo kilicho chini ya Serikali ya Magufuli?
  12. Mvaa Tai

    Je, Tanzania tuna vyama vya Upinzani, Ushindani au vyama mbadala?

    Vimepigwa marufuku wamebakia na ofisi tu.
  13. Mvaa Tai

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Natamani kumuona usoni huyo anayeongea, sijui sura yake imekaa kaaje maana siku zote ukiwa unaongea kitu tofauti na moyo wako unavyoamini kunakua na vikunyanzi au vidimpo flani mashavuni hata kama ungekua mwanaume wa shoka kiasi gani. Huyu jamaa aliachaga kazi Sasa anapambana namna ya kutoka...
  14. Mvaa Tai

    Rais wa Sinza na wenzake wanne wahukumiwa miaka 30 jela kwa unyang'anyiwa silaha

    Kuficha sura ni kuwazuia waandishi wa habari wasifanye kazi yao, I hate that behavior
  15. Mvaa Tai

    Nipo tayari kuuawa endapo tu upinzani wa nchi hii utashinda uchaguzi wa 2100!

    Inaonyesha kuna kitu ulitaka kuandika hapa
  16. Mvaa Tai

    Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

    Duu nilidhani nipo kwenye group la Watsap nilitaka ku-left Kwa huu utoto
  17. Mvaa Tai

    Ni kweli goli 1 ni sawa na kukimbia uwanja Mara 14?

    Inategemea hilo goli umelitafutaje, kuna wale wanaopiga bao wakiwa kwenye mwendo kasi au bao la ndotoni sidhani kama nao hawa hawastahili kufanya Mazoezi kwasababu wamepiga goli
  18. Mvaa Tai

    Picha ya siku; Mama Suluhu in Nairobi

    Kuna habari kwamba, JPM kamuita Mwanasheria Mkuu amshauri akitaka kumtimua Makamu afanyeje?
Back
Top Bottom