Nakubaliana na nyie wadau,kuna maeneo yanatakiwa tufanye usajili wenye akili,eneo la beki kulia na kushoto,eneo la kati bado pia kazi ipo..kwa mfano leo Bell game ilimkataa hata game iliyopita,hawa wakongwe wetu kina modric na Ton unaona kabisa wanahitajika yaan.
Ni Kwel Jude game ilimkataa kabisaa..na aina ya magoli tumefungwa karibu yote yanafanana,nafikiri huo ndio udhaifu wameona pekee tunao kwenye safu ya ulinzi,huku mbele wachezaji wapunguze ila anakwenda na mpira anakwenda na mpira.
Hii game yetu na City,imani kubwa sana niko nayo hawa tunawapiga nje ndani..sisi huwa hatukubali kufungwa mara mbili lakini pia tuna vijana sasa wenye kiu kubwa ya mafanikio na zaidi city dawa yao imepatikana na uwezo wako nao umeshuka.
Mkuu dawa ya city sa hv wengi washaipata,nina imani kubwa sana hawa tunawaweka tena wakikaa vibaya hata draw hawapati.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Camavinga anaupiga mwingi leo ila tatizo anakaa na mpira mguuni muda mrefu,anapoozesha mashambulizi mengi.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.