Search results

  1. 20PROFF

    Walichezea kichapo: Jua kuitumia silaha yako

    Ni siku mpya. Ilete baraka na mabadiliko chanya, Ona na visualize ukifakiwa, (Sema Amen). Niwape kisa kimoja, kiwe funzo na chachu ya kujiongeza next time, maana watu tunakurupuka na hizi silaha zetu tulizo nazo. Jana nilikuwa ktk daladala moja naelekea Karume. Konda na dereva wake, wote...
  2. 20PROFF

    Nahitaji mtu anayejua kilimo, kulimia mboga, kutafuta masoko

    Habari. Kama unajua kilimo cha mboga mboga na unajua fursa jinsi ya kupata masoko n.k ila umekwama nyenzo ,sehemu ya kupigia kazi hiii ni yako. Nahitaji mtu anayejua kilimo, kulimia mboga, kutafuta masoko, mtu anayejituma mpiga kazi sio wa kusukumwa. Nina eneo , chanika,yapata 3/4 heka, maji...
  3. 20PROFF

    Naomba kujuzwa haki ya Mgonjwa na wajibu wa Mtoa huduma

    Wasalamu, watabibu. Naomba kujuzwa haki ya mgonjwa na wajibu wa mtoa huduma. Hili jambo limetokea mara kadhaa ktk dispensary moja hivi na inaonekana ndio utaratibu wao, naomba mamlaka wenye kujua zaidi wanielemishe. Ukienda kutibiwa mgonjwa ana nyimwa precription, yaani baada ya kupokea majibu...
  4. 20PROFF

    Naweza kupata wapi Engine ndogo kama 3HP na 4HP?

    Wakuu, wapi Naweza pata hizi engine ndogo ndogo, zenye horse power kuanzia 3HP na kuendeleea? Naomba kujuzwa.
  5. 20PROFF

    Tuungane: Mafundi, Watundi, Automation, Robotics

    Wasalam Waungwana. Tanzania kuna vichwa haswaaa kuna wajuzi wa mambo kada wa kada, lakini kinacho fanya tusiruke zaidi ni kila mtu kujificha kando na ujuzi wake,kile anacho kijua. Hatupeana challenges za kufanya utundu ubunifu ukue zaidi, Sijui why? Lakini leo nimetaka tufahamiane, tujuane...
  6. 20PROFF

    Je, unafanya robotics, automation, micro programing?

    Hello wajuzi. Ulimwengu wa Technology unamkimbia kwa kasi sana. Kwa kuanzia sekta za kibiashara, Siasa, hadi Technology. Kwa sasa utendaji unafanywa sana na Artificial Intelligence, hardware na codes zinaungana kutoa mwitikio na utendaji Unaofikiriwa na mtaalam husika. Hii field na hizi skills...
  7. 20PROFF

    Hivi hii mitandao inatuchukuliaje? Kwanini wanapandisha vifurushi bila taarifa lakini meseji za matangazo wanatuma hadi usiku wa manane?

    Wasalaam. Najiuliza hivi hii mitandao ya simu inatuonaje? Wanapandisha vifurushi ovyo ovyo bila notification, lakini kutumia meseji zao za matangazo hadi usiku wa manane hawashindwi. Hawa jamaa wanakera mno. Nimewapigia wananambia miongoni mwa SP, watoa huduma wanasema Huduma inatolewa...
  8. 20PROFF

    Simu gani bomba ya Android?

    Habari wakuu, nataka badilisha simu kwa sasa. Nataka simu Android, yenye camera kali, ram ya kubwa nzuri na storage ya kutosha. Simu gani yanifaaaaa? Isiwe tecno, huawei au infix. Ushauri. Wazee Mrejesho , nimepita kwa wakala flan nikashawishika kununua OPPO, RAM GB8, STORAGE 128GB, Camera...
  9. 20PROFF

    Miungu na Utoaji Mimba

    Wasalaaam. Ukijua ulikotokea unaweza husianisha ulipo na kupanga unapoenda, ili ujue unapiga hatua au unazunguka tu. Tangu zaman na hata sas, kuna desturi ya binadamu kufanya ushirika na roho au viumbe walio wazidi maarifa ,nguvu, ustadi ili kufaidika au kuweza kupata nguvu ya kutawala...
  10. 20PROFF

    Soma: Ni hatari sana ukishindwa tawala hisia zako

    Muda mchache, nimelushiwa video clip, ya dada mmoja akiwa ana mwagika damu nyingi sana, yaonyesha alikuwa amekatwa na kitu kama kisu shingoni, na uhai umetoweshwa. Katika kujiukiza, hii kitu sio editing ni real kabisa, nini kimemsibu, na mazingirs haya kuonyesha kama tukio la mwizi labda wajumbe...
  11. 20PROFF

    Nini huleta Sonona?

    Nimekutana na taarifa ya Michele Obama, na tatizo la Sonona. Hii Chini ni taarifa hiyo. "Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito ninaoubeba moyoni." Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama bi Michelle amekiri kuwa anaugua sonona...
  12. 20PROFF

    Wapi naweza pata portable bathtub za watu wazima?

    Habari za wasaaaa. Mwenye hii product au sehemu napoweza pata hiiii product anipe link. Bathtub za watu wazima, inaweza kuwa design au nyingine.
  13. 20PROFF

    Girls na Ladies without make up

    Hawa wadada wanakosa kujiamini tu, ila wakiwa bila make up, wanapendeza zaidi. Wengine hawajiamin wana fake sana. Vipi, wew wapenda ma make up? Wewe mdada unaweza toka out bila make up? dondosha picha za hawa walio bila make up
  14. 20PROFF

    Chuma Ulete: Vituko vya sayansi ya giza

    Wasalaam wanajamvi. Katika pita pita za hapa na pale, katka kusaka maarifa, kuna kitu nikakutana nacho. Kuna jinsi ya uchumaji fedha kichawi. Kuna dawa huandaliwa kisha mchawi huyu huchanganya na damu yake mwenyewe. Baada ya siku chache mchanganyiko wa ile dawa na damu, huoza na kutengeneza...
  15. 20PROFF

    Mchina atawaua Nyie

    Ndio lishepu gani sasa hili.
  16. 20PROFF

    Sex, beastiality na miunganiko ya kiroho

    Habari wana jamvi, Natumai tu wazima na tunaendelea na majukumu mbali mbali. Tupo hapa kujuzana, kukumbushan, na kutilia mkazo kwa yale machache kama sio mengi kadri MUNGU atavyoona yafaaa na nafsi zetu zikishiriki. Kabla sijaenda katika mada ya leo tukumbushane baadhi ya nyuzi kidgo tulizo...
  17. 20PROFF

    Kwa wapenda, duet songs

    Hakuna kitu napenda sana, kama duet songs Hizi chini ni baadhi ya nipendazo, Tupia nawew uzipendazo.
  18. 20PROFF

    Wadada wa hivi wako bongo?

    Ndio maana wale jamaa walokole wanapigwa chini ,kila uchao.
  19. 20PROFF

    LG G4: Fika Bei

    Hiiii simu just nmeichukua juz tu. Bahati mbaya aisee imeanguka kioo kime crack..... Naiuza. Hizi chini ni Specs zake. Operating system - Android 5.1Lollipop Display - 5.5-inch Quad HD IPS Quantum Display (2560 x 1440, 538ppi) Storage - 32GB eMMC ROM, microSD card...
  20. 20PROFF

    WATAALMU WA SOFTWARE PITENI KIDOGO MTOE MSAADA

    Kuna simu ya android Kitkat android version 4.4.2 Nahitaji ku upgrade kwenda kwenye better version. Nahitaji kuwa na nin? Madhara au faida nitayo ipata baada ya ku upgrade, MSAADA TAFADHARI...
Back
Top Bottom