Search results

  1. P

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    comment za kina dada/mama chache sana kwenye hii topic tusaidieni jamani mnapenda sana kufanyiwa hii kitu au? ni katika kuboresha zaidi tu!
  2. P

    Ubahili kwenye ndoa

    kwa wale ambao hamjaoa, mtahangaika enz ya uchumba kutafuta kiwanja na process nzima mpaka nyumba kuisha then mtasema kweli uhusiano wetu ni wa maana tuoane sasa, mkishaoana tu ile nyumba utaambiwa si yenu tena ila ya kwake mwanamke na atakuambia ukitaka tuachane hata sasa hivi!,number 2 hata...
  3. P

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    aisee ni kweli hata mimi nimekua najiuliza kwa hapa ofisin , kwa nini kila nikiweka maji moto maziwa haya hayayeyuki yote , na hata taste ni tofauti kdg haya ya ofisini ni kopo kubwa kabisa, wakati yale ya nyumbani ninayotumia kopo dogo yana taste tofauti kabisa, na si kwa maziwa tu kuna bidhaa...
  4. P

    Wapiga chabo!

    kuna jamaa wakawa wanakula chabo sasa njemba ikawa inakula jicho kama kama dk 10 hivi ghafla akachomoa then akampa bibie ale koni , yule mpiga chabo akapiga kelele wewe acha imetoka ny.... hiyo
  5. P

    Hii ndiyo picha halisi inayoonyesha uwajibikaji wa CCM ilala....Lukuvi....mh!!!

    wakati jana nilisimuliwa kisa cha mgogoro wa mpaka uliosogezwa na aga khan schools kuingia upande wa zanaki secondary, yule mama mwl mkuu alitokwa na machozi kwamba watoto au wajukuu wetu watakosa pa kusomea huko baadae , manispaa, wilaya inajua lakini hamna kitu naomba wahusika wafuatilie ile...
  6. P

    Mkwawa High School mpo?

    mwangoka: wewe umekuja hapa kama wewe na wewe kama wewe ndio utaondoka hapa kama wewe. 2nd master kaaya: eeenh kuna typhoid kama siku yako imefika utakufa tu ndio k.............. zenu nyamazeni msikilize ngui: mkuu mkuu (to mgohamwende) wamegoma mkuu ngu 2: to makongoro and lumumba...
  7. P

    Mkwawa High School mpo?

    wewe rufiji ulikuwa lumumba east kule nyuma sikumbuki vyumba vile viliitwaje ila kulikuwa kwa majina ya vyumba katika mabweni ni boiler,upper wing,lower wing,leeward,then kuna ka chumba kalikuwa kanaitwa trench town alikuwa anakaa mnoko mmoja anaitwa kyande nasikia yuko uk for masters,joel...
  8. P

    Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

    nauliza wana jf kuna makaburi yako mkabala na international school of tanganyika upanga nadhan primary ni barabarani yanatazamana na mjengo mpya mrefu , kwa sasa naona kuna kama pamezungushiwa uzio hivi , je ni makaburi ya watu gani? na pashauzwa nini?
  9. P

    Mkwawa High School mpo?

    AISEE JE UNAWAKUMBUKA WAFUATAO koya yawe,ngawira,jamal,sir martin,furaha nyunza,mag 2 pac, mac lusiv,don king penj,pablo escobar amede,peter philip dr mutton,george munich shumbusho,dk jre nangolo,gwamaka, elly m,gosbert nyenyeri,kyande sal,john mchina,aneth k,july m,devotha,tumain lup and other...
Back
Top Bottom