Search results

  1. vungwe

    Hivi inawezekana Mwanaume kuishi na Dada wa kazi nyumba moja?

    Mkuu tafuta wa kuja na kuondoka hapo utaamua aje kila siku au mara ngapi kwa wiki.
  2. vungwe

    Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

    Mmh hapana hilo nakataa
  3. vungwe

    Nyoka kaingia ndani halafu kapotea

    Mkuu mwaga mafuta taa atatoka mwenyewe
  4. vungwe

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. vungwe

    Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anapaswa kuomba TIN

    Natamani kujua mtu aliyefunga biashara process za TRA inakuwaje?
  6. vungwe

    Nimepata kazi sina nauli, nauza vitu vya ndani

    Mkuu amini kwamba ofisi nyingi tu hazina huu utaratibu especially wahindi.
  7. vungwe

    Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

    Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
  8. vungwe

    Ni jinsi gani naweza kupata matunzo ya mtoto aliyetelekezwa kutoka serikalini au ustawi wa jamii?

    Kwahiyo akiishi vibaya na mwenzi ndo mtoto ateseke mkuu?
  9. vungwe

    Ni jinsi gani naweza kupata matunzo ya mtoto aliyetelekezwa kutoka serikalini au ustawi wa jamii?

    Hivi mkuu kwanini mko hivi kwanini mnashindwa kumuogopa Mungu kwani huyo mtoto ameamua kujizaaa tuwe accountable kwa matendo yetu wenyewe hata kama ni magumu au mepesi nyie wanaume ndo wenye story kibao za kusema baba kawatelekeza.
  10. vungwe

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Kwahiyo kama hufanyi kazi hupaswi kuuliza,kwa sababu hatupo kwenye afya hatuoni mabaya yakitendeka,Watanzania tunapenda sana kutetea vitu kama huyo kakosea awajibishwe sio lazima afutwe kazi kuna njia nyingi sana na awe accountable na kile afanyacho and by the way course ya afya ni muhimu kama...
  11. vungwe

    Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

    Mimi msambaa na napenda kazi balaa na ni sababu kwetu usambaani tumefundwa kazi tena mtu mvivu ananichoshaa
  12. vungwe

    Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

    Ishwi nndima duu.
  13. vungwe

    Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Yani kuna mambo yanashangaza kwanini tusisherekee tu bila maneno maneno yani tunawaza vitu havina maana.
  14. vungwe

    USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Mkuu pole yani ukiwa na kazi na unaona unaipenda na unaitaka ulitakiwa upeleke taarifa kwa vithibitisho toka hospital either ufike pale mwenyewe kwa namna yoyote ile au mwenza wako aifikishe hapo ungeendelea kupata matibabu. Sasa kosa lishafanyika cha kufanya kama una docs za hospital kata rufaa...
  15. vungwe

    Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Ila kuna watu mna maneno yanakera na kuumiza sana jee angekuwa nduguyo na huyo dada jee angekuwa kma unavyosema angeomba hela kwa wazazi? Hebu tuweni na stara.
  16. vungwe

    Nimeachana na mke wangu

    Dadaa omba yasikukute mimba yaja tofauti tofautiani na sikatai kwamba hamna wanaodeka ila omba upate mimba pole tofauti na hapo utarudi hapa kuomba radhi.
  17. vungwe

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Kwahiyo mkuu kama hajaolewa ndo amepungukiwa nini?
  18. vungwe

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Kwahiyo mkuu mwanamke anaejitambua ni yule anaetetea wanaume jeeWajua hata kma asingechomwa na hiko kitu kulewa na kuchelewa kurudi kutoka ulevini ni hatari sana?
  19. vungwe

    Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Mkuu wewe ukiona sehemu ya msaada na kuna kiingilio timka bora umsaidie mtu asiyejiweza.
  20. vungwe

    Mtoto wa miezi mitano hajaanza kusimama

    Pole mkuu ila mbona sioni tatizo watoto wanatofautiana mkazanie kumsimamisha tu atazoea.
Back
Top Bottom