WaTZ hao kaka, piga ngoma ya Mdumange atacheza, ya Kitoto, atacheza, Sindimba atacheza, Maswezi atacheza, ili muradi kasikia mvumoo yeye kiuno uwanjani, na Umanjuu juu, sasa hivi tunatia aibu sana sana, vichwani hata hutufikiriii kabisaaaa, eti hili ni lipi limekujaje, nani anahusika, lilianza...
Wizara ya Ardhi, ndo pekee wenye mamlaka ya kugawa matumizi, ifiki wakati wa Wizara hii kusimama kidete kwa kuweka alama maalum sehemu husika ya Makazi ya Watu.
Tanroad imeshindwa kabisa, inaweka alama yake na hata ukiisogelea wao hawana habari na wewe!!!!!!
Hakuna mwenye hasara!!!!!! Jengo la Umma, Shirika la Umma.
Dhamana ya Ardhi ni ya Wizari husika, ni vyema sasa mipangilio ya matumizi bora ya Ardhi ikasimamiwa na Wizara husika.
Umefika wakati muaafaka wa Alama kuu itakayotenganisha maeneo ya miundo mbinu na makazi iwekwe 1/1 na wizara kama...
Uzuri kiswahili kinarahisisha mambo, MTU anaposema ujuwe na ujitahidi KUELEWA ndo jambo muhimu, sasa hivi kila MTU anajua kuelewa ndo shidda kweli kweli.
Mfano nani ajuaye Msikiti Mkuu Tanga ulijengwa na nani?
Kuna Taasisi hufanya ukaguzi ktk maduka, ya dawa, vyakula, vipodozi, nk sasa huku kwenye mambo ya ujenzi nani mkaguzi was bidhaa hii ya ujenzi?
Tuwe wakweli kuhusu maisha yetu tuache mambo ya hovyo hovyo kutegeana na fitina kibao.
Penye chuki hakuna maendeleo, Arusha inazidi kudidimia kibiashara...
Safirini barabarani muone, hakuna speed governor, wala U, track,cheti cha udereva, nidhamu imerejea sasa inarekebisha mambo, bado kidogo tu na hayo matuta yanayoharibu magari na barabara ataondoa. Kila MTU anawajibika ktk eneo lake la kazi
Dar, zamani siyo sasa. Mtu aliweza kutembea maeneo mengi bila vikwazo, sana sana ukutane na black September wakupore ulicho nacho, pesa, mke, viwalo basi, sasa kila sehemu shida.
RC, nakupongeza sana tena Sana, haya ni mageni kwa Kizazi cha sasa ambacho hata suruali zimewashinda kuvaa.
Jambo hili lilikwepo kabla na baada ya Uhuru, tena likisimamiwa vyema no Mabalozi wa Nyumba Kumi Kumi, Pole sana Wtz mlowangeni ktk Taifa lenu kwa mambo us ushabiki.
Hakuna mtu ye...
Wasio na kazi maalumu wapo Wengi, pita mitaa ya Tandale ukutane nao, kama hutomtafuta Makonda au acha kioo cha gari wazi ukione cha moto. Tuache ushabiki Usio na maana, watu wanauwawa hovyo, au kwa kuwa siyo nduguyo hilo hulioni.
Najuafika kinacho takiwa kukomeshwa ni nini...
KISWAHILI BHANA, NENDA, URUSI KIRUSI UJERUMANI KIJERU TENA UJIFUNZI LUGHA HIYO NDO USOME, INGILISHI YAKO HUKO HAITAMBULIKI.
WACHINA KWETU WAMEJIFUNZA KISWAHL TUNACHAPA NAO KAZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.