Search results

  1. J

    AAR insurance inapunguza wafanyakazi, wateja hakuna. Mashirika yote ya umma yameambiwa bima ni NHIF

    Wacha kupotosha umma, kupunguza wafanyakazi ni utaratibu wa kawaida kabisaa kwenye makampuni mengi hapa duniani. Kupunguza wafanyakazi inaweza kuwa kwa sababu kama, Kutoa wafanyakazi wasio na ufanisi kazini pasipo kushitakiwa au kupata mtafaruku kisheria Kwenda na kasi ya utendaji hasa baada ya...
  2. J

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Ukweli siku zote hujulikana kesho yake vilevile uhakika unakuwa ni ahadi inayojulikana/kupatikana mwishoni mwa tukio/jambo. Siasa haijawai kuwa na ukweli wala uhakika sehemu yeyote duniani.
  3. J

    Kenyans outraged at Nicholas Muraguri's threats to journalist over Sh5bn scandal story

    This is one among the reasons kwa African Leaders kujitoa court iliyoko Netherlands. We need moral deliverance
  4. J

    Nigeria's economy goes into recession

    Uchumi wa Nigeria unasongwa na mambo mengi sana, e.g. bei ya mafuta kuporomoka, Boko Haram, corruption ya kiwango cha juu kabisa, ufisadi uliokithiri (watu wanahamisha hela overseas), retarded industrial growth, kukosekana kwa mpango mkakati wa nchi (priority za kimaendeleo) hazijulikani...
  5. J

    Hapa katiba inatekelezeka?

    Ndugu zetu majirani wa Kenya waliamua kuandika KATIBA yao upya, na kuweka vipengele vipya, lengo lake kubwa likiwa ni kupanua DEMOKRASIA nchini mwao. Katika kufanikisha hilo waliamua kupunguza mamlaka na madaraka ya viongozi wao wakubwa kwa kuunda tume mbali mbali zitakazoshughulika na uajili wa...
  6. J

    Yasiyotekelezeka katika katiba mpya

    Ndugu zetu majirani wa Kenya waliamua kuandika KATIBA yao upya, na kuweka vipengele vipya, lengo lake kubwa likiwa ni kupanua DEMOKRASIA nchini mwao. Katika kufanikisha hilo waliamua kupunguza mamlaka na madaraka ya viongozi wao wakubwa kwa kuunda tume mbali mbali zitakazoshughulika na uajili wa...
  7. J

    Zembwela nenda shule...... You will prosper

    Mie nafikiri kwenda shule inajumuisha kuchukua muda wake mwingi wa kazini na nyumbani, pia mkwanja ni kitu kingine. Ushauri wangu ni kuwa, kama kupata admission itakuwa ngumu na anaona kunaweza kuwa na hatari ya kupoteza kibarua chake, afanye utafiti yakinifu na upembuzi wake wa mabo uwahusishe...
  8. J

    Elections 2010 Matokeo ya urais - Kwa mujibu wa mwananchi.co.tz

    Hivi haya matokeo yatakamilika lini, kucheleweshwa huku kunamaanisha nini? Matokeo ya Urais yalitakiwa kuwa tayari mpaka mida hii. Wadau nipeni update za tume kama wametoa mengine.
  9. J

    Wanafunzi Wasagana Mabwenini, Shule Yafungwa

    Hizo ni rasha rasha tu, kama hatua mathubuti hazitachukuliwa na Zuma kutengua sheria hiyo, itafikia mpaka majumbani mwao mada kusagana. Tuombe neema zake tu zitunusuru na haya yote.
  10. J

    Hatuutaki mfumo dume tunautaka mfumo gani?

    Kuna vitu vingi sana vya kuangalia tunapojaribu kuwapa kipaumbele hawa mama zetu. Kwanza lazima tofauti kati ya SEX, GENDER, Gender equity, gender equality na mengineyo ieleweke. When looking at the subject as it is, unaweza kusema kumepotoka sana ila kiukweli ni kuteleza tu ambako bado hata...
  11. J

    wakuu nisaidieni kwa hili maana linanipa tabu sana!

    Uwezekano wa kuhama upo ili mradi tu uwe na vigezo vinavyohitajika. Ndani ya wizara kuna mpango umerudishwa (re-categorization). Nakushangaa sana unaposema kuna degree ambayo haina education ndani yake, umeisomaje? Mwallimu aliyekufundisha kafundishwa na nani? Think Big "fella". Kuwa msomi ni...
  12. J

    Jogoo hakuwika mjini

    I think kuna kitu mwenyezi mungu alikuepusha nacho, yaani unakuwa tayari kunanihii mapema hivyo. Ukweli ni kuwa hukuwa na msimamo mpaka unaingia naye room pia inawezekana ulikurupuka sana. Ushauri wangu kama kweli uko serious fuata procedures zinazojulikana bro, she is is now waiting for your...
  13. J

    He died as sex game went wrong - Tuwe makini tunaopenda kuiga

    Nadhani mwenye masikio amesikia na mwenye kujionea ameona. Usilazimishe pleasure ambazo haziko mahala kokote. Sex ya aina moja haifai na inapelekea aibu na fedheha si kwa marehemu tu bali pia wapendwa wake wengine wanashindwa hata kukomment. So Disgusting.
  14. J

    Will EAC’s common market deal work?

    I don't think Tanzanians and other members of EAC must concentrate on competing in the market to be created. The fact remains that we are all selfish looking only at 'what are we going ro get/benefit from the so called EAC Common Market'? Let us be patriotic in every sense and steps taken...
  15. J

    Aunt Ezekiel!

    jamani watu kama hawa wanaojiita ma-star ni ujinga tuu. wanafanya vitu vya ajabu wakidhani wataungwa mkono kozi wao ni ma-star kumbe hakuna lolote. ULIMBUKENI. haya wanaishia wapi?
  16. J

    Mwanamke mavazi!

    mh... yoooote mtasema lakini HABARI NDIO HIYO.Mwanamke na kimini siku hizi damdam.
  17. J

    Ngurdoto Mountain Lodge ni ya nani?

    Huo wote ni uvumi usiokuwa na ushaihidi wowote nadhani tusiwe watu wa kurukia vitu ambavyo hatuna uhakika navyo. Ngurundoto Hotel imejengwa tukiwa tunaiona kuanzia msingi mpaka rangi. Sasa linapofikia ya nani, kibao cha kibali cha ujenzi kiilionyesha kuwa ya nani. Kama ni umaarufu au plan...
  18. J

    TBL na Serengeti Bia

    Hivi haya mambo ya competition katika Market si kuna mdau mkuu anyeangalia na kuthibiti un-fair, malicious actions katika soko? Je si kweli kuwa tuko katika free market competition? competition iko kummua mwingine kwa fitina au kwa ushindani katika ubora wa bidhaa, huduma na bei ya chini? Kwa...
Back
Top Bottom