Search results

  1. A

    Sitta awafungulia mashtaka Lowassa, Rostam CCM

    Ngoja tusikie maneno kwenye chama, Mzee Sita kaonyesha njia, waliotuhumiwa ni binadamu, utajili wao ukae kando, Kama kweli ni mafisadi umma utawahukumu, pesa nikitisho, Lakini daima ukweli nikitisho zaidi.
  2. A

    Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    Kagame kwenye issue inayogusa taifa lake, kwamtu yeyote mwizi wa Mali ya umma hana urafiki, hakika nikiongozi wa mfano katika nchi zinazoendelea anajua wajibu wake kwa watu wake,Rwanda hakuna migogoro ya Ardhi, hakuna tofauti ya elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa nchi yake, hapa kwetu ni...
  3. A

    Shirika la Nyumba (NHC) ni kwa ajili ya MISHAHARA ya WAFANYAKAZI tu, hakuna faida kwa NCHI

    Tuwe wakweli huyu bwanamdogo ameliweka shirika lionekane nishirika linaloongozwa na wazelendo wanajua wanachofanya, tusiwe nachuki binafsi, vijina wanafanya kazi
  4. A

    Uraia wa waTutsi !

    Sote ni Waafrika kwanini tunachochea chuki, mambo ya Watusi na wahutu, Watanzania ni makini ubaguzi wanini? Tujadili mambo makini, Kama Rwanda kunawatu makini tujifunze kutoka kwao, tuache chuki siku zote chuki inaanzishwa na watu wachache, amani ndiyo msingi wa maendeleo.Watusi na wahutu ni...
  5. A

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Naungana na wewe mkuu, watu wanapenda watu kwa matakwa binafsi, hawana muda wakujiuliza kulikoni mtu anatafuta urais kwa nguvu? Ni haki kwakila mtanzania kuwa kiongozi lakini kwanafasi ya rais hulazishi huenda kunajambo?
  6. A

    Umiliki wa ardhi ndani ya rasimu ya pili ya katiba

    Kama kunajambo gumu nalisiloeleweka Tanzania Ardhi, hii wizara ilitakiwa iwe chini ya ofisi ya rais mwenyewe, kumiliki. Ardhi kupata hati kwa rai wakawaida ni jambo gumu mno , utaratibu unatumika unamapungufu Sana, unaruhusu watu wachache kujilimbikizia Ardhi, kwa mfano beach karibu zote za...
  7. A

    Wafanyabiashara Kariakoo wagoma tena, Jiji lasimama

    Tatizo lipo kwenye zoezi lenyewe, tra toa mafunzo wakati mwingine fungua maduka ya mfano maduka ya utafiti ni muhimu Sana, acha kukaa ofisini, kariakoo kodi nyingi si endelevu vitu vingi vinavyotegemewa kulipishwa kodi ni feki, kwahiyo fanyakazi ya yaziada a navyazo vyakudumu vya kodi, funguo...
  8. A

    Tanesco songea tunahitaji umeme

    Tanesco jamani watu wasongea sawa kigamboni tumekosa mini? Kigamboni jamani kunanini au kuna mchezo wa wizi wa mafuta jamani?
  9. A

    John Mnyika: Taarifa kuhusu Uongo wa waziri Muhongo

    Mnyika endelea kujenga hadhi uliyonayokwawanchi jimboni kwako, usitumike vibaya, Muhongo ni makini alichosema sikauli za kisiasa ni za kitaalamu, majungu acha, jamii wanajua wewe ni mwanasiasa, Muhongo anajua anachofanya, mwache afanyekazi jamani!!"
  10. A

    Lowassa nakuomba uachane na Siasa utakufa kwa shinikizo la dam maana nauona mwisho

    Urais ni nafasi ngumu haina haja kwamtu makini kulazimisha, jamii ndiyo itatoa kiongozi, tatizo la watu wenyemajina yanayofahamika wanaokana ndiyo wenyeuwezo wakuongoza hapa Tanzania Luna watu wengi tu wadilifu na wenye uwezo wakuongoza , jamii inawafahamu wapo kwenyetasisi nyingi...
  11. A

    nepotism, bureaucracy katika ajira na elimu

    Nakubaliana na wewe mkuu, mambo mengi hovyohovyo mtu!
  12. A

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Sasa tumechoka tunaka Kali ya rais siyo ya mahakama. Tena maamuzi yasiwe Kama ya samaki , ikibidi liitishwe bunge tusikie kauli zao katika hili la wachina na pembe za Ndovu
  13. A

    Shamba linauzwa

    Linaukubwa wa eka 360 lipo wilaya ya Mpanda linahati miliki, linafaa kwa kupanda miti ya matumizi ya nguzo za umeme(milingoti) kwa mawasiliano.0653 4022 99/0757241118
  14. A

    natafuta mtu wa kuprint tshirt....

    0715586022 Sai print
  15. A

    Mh.Rais hongera kwa hotuba yako nzuri ktk hafla ya kupokea ripoti na rasimu ya katiba

    Wakati mwingine tukubaliane ingawa siyo rahisi kila mtu kukubaliana na mwingine, mheshimiwa rais leo kasema ukweli, mjadala wakatiba umetawaliwa na watu wakundi ya itikadi zao, Leo naungana na rais aliyoyasema ndiyo ndiyo ukweli.Kama kunamapungufu kwenye maeneo mengine tuyaseme wakati...
  16. A

    Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    Kila mawazo yanawakati wake, wazo lakibanda ni mawazo yanayowahusu wabunge alipaswa kuelekeza maoni yake kwa wabunge, inawezekana Hana wala masikio ndiyo maana anamuponda Magufuli, mtu yeyote kwa mazingira ya Tanzania hana sababu ya kutotambua mchango wa Magufuli kwa kazi za umma.
  17. A

    Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

    Tatizo niwelewa wapo watanzania wanajua Mali tulizonazo, na namna ya kupata wabia, issue hapo ni je hao wanawajua wabia niwabia watakao nufahisha Taifa? au nikwamanufaa ya familia zao, je Mali wanazomiliki wako tayari kumiliki kwaubia na Watanzania wengine, niwazi hata kinamengi nia yao...
  18. A

    Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Subiri atajitokeza rafiki wa marehemu
  19. A

    Mgimwa anaendeleaje?

    Sote hatujui maskini
Back
Top Bottom