Let me be the devil’s advocate here and provoke even a bigger debate hapa and elsewhere !
There are couple of things that we need to look at this MwijakuGate.
1. We are troubled with his unorthodox approach simply because we were hopping to see a more organized and formal way to market...
Ukikaa chini na kutafakari kinachoongelewa humu, utaona kuna "umimi" zaidi na jitihada za kujimwambafai zaidi... sawa na wanaume wanaojaribu kushindana Urijali wao!
Tunachofanya ni kujenga na kupanua nyufa za utengano kwa kuangalia na kutukuza "umimi" na si kuangalia kujumuika na kujenga...
Kama kuna kitu ambacho Serikali ya Tanzania haikuwa imejiandaa vizuri na hata kuelewa ni uwepo wa internet na nguvu (power) ya internet.
Leo hii Jamii Forum ni kubwa kuliko magazeti ya kila siku nchini. Na uhakika kuna watu wengi sana hasa Wanasiasa, Watendaji wa Serikali na hata vyombo vya...
Unakumbuka Mramba na Yona walifungwa kwa kutumia hiyo ministerial discretion? I wasn't addressing sheria ya Bunge bali uhalisia kuwa hatuwezi kujifanyia vitu alimradi kuna "discretion"! Where are checks and balances? Je kuna tofauti gani ya ki-memo kwa Waziri baada ya pesa kupitishwa kikisema...
Comrade Mzuvendi,
It had been years since we enjpyed such discussions.
I have highlighted few things on your first paragraph and I am very much alarmed by your comments which comes across as adoration of the "strong leadership" even though in true essence it isnt leadership but a type of Ops...
Uamuzi wa kuhamisha ujenzi wa airport kutoka Geita na kwenda Chato ulifanywa na nani na kuthibitishwa na nani? Unilateral decision ya Waziri au Rais? isnt that abuse of power? or rather deceiption?
Mwalimu,
This "weighing" scale is too big to try and qualify Bwana mkubwa to be fiting. Yes, we may give him kudos for decisiveness but due to recklessness.. things have been overtutned and will overturned when he is gone.
People (watu, Team) are scared to stand up and say "boss this isn't...
Mwalimu Kichuguu,
KIdogo natatizwa na uhalisia wa "kutekeleza sheria" ambako kunafanywa kutokana na Sheria kuundwa kwa makusudi kabisa na kulazimishwa kuwa sheria ili kuhalalisha "utekelezaji wa sheria"... Imekuwa ni kawaida ya nchi zetu za Kiafrika kwa aliye Rais kutunga sheria kwa ajili ya...
Lakini Uthubutu unaweza kuwa wa kufanya yalio mema na kufanya mambo mabaya.. msingi mkuu kujitambua ni je kila mmoja na uimara wa kufanya uthubutu wa yaliyomema? au uthubutu wetu ni wa mambo mabaya ikiwa ni pamoja na kuendeekeza UUMUU? je kama jamii inayapokeaje yale ya Uthubutu hasi ambayo ni...
Lakini Uthubutu unaweza kuwa wa kufanya yalio mema na kufanya mambo mabaya.. msingi mkuu kujitambua ni je kila mmoja na uimara wa kufanya uthubutu wa yaliyomema? au uthubutu wetu ni wa mambo mabaya ikiwa ni pamoja na kuendeekeza UUMUU?
Straight line has been done and again rather than awakening wananchi to do the right thing... wananchi made bad choices 2009, 2010, 2014, 2015 and so they will repeat 2019 and 2020!
Mtanzania inabidi abadilishwe mtazamo by looking inwards not outwards!
Wangapi wanajua thamani ya kura na kodi...
Kwa makusudi kabisa nilacha kuzungumzia awamu ya Kwanza na uthubutu wake na matunda ya kazi zake.
Call it abstract si provoking, nimeangalia mazingira ya leo na namna ambapo kama Taifa tunaweza kumtazama Rais na kupata kiburi, ujeuri, uimara na uthubutu kupigania haki zetu na si kuendelea...
Nianze kwa kutoa Shukrani kwa michango na maoni tofauti ambayo imefanikisha lengo langu kuandika makala hii.
Natambua wazi hisia tofauti na hata mapokeo ambayo ama yameudhi au kufurahisha upande mmoja au mwingine.
Hivyo hamaki (reaction) ni kitu nilikitegemea na kukusudia.
Swali langu kwa...
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU!
Uthubutu, ni uwezo wa kufanya mambo bila kuwa na kigugumizi au kujishuku. Ni kufanya mambo, kusimamia...
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU!
Uthubutu, ni uwezo wa kufanya mambo bila kuwa na kigugumizi au kujishuku. Ni kufanya mambo, kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.