Search results

  1. theki

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Ila wakati hii Mikataba inapitishwa na kutungwa hakuwa upande wa Ndiyoo. Lazima watanzania Tuombwe Radhi kwa hii Kadhia.
  2. theki

    Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

    Kana fanya biashara ndiyo maana kana hela.Wewe mbona kila siku upo jamii forum au na wewe tukujadili unatumia mb zipi kuturushia hizi habari???
  3. theki

    Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

    SASA KUMBE NI WEWE NDIYO HUJAUPENDA BASI KALALE UKIAMKA NDIYO UTUPE MAONI.
  4. theki

    Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Ila wale wa jana usiku bado.? Asante kwa taarifa.
  5. theki

    Rais Magufuli amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilimba

    Kwa hiyo ndiyo ofisi zake kuanzia leo zitakuwa pale oysterbay jirani na kwa mtoto wa Bharessa.
  6. theki

    Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

    Mziki wa singeli kama ugonjwa wa mafua tuu. Wimbo msanii anatungia verse jukwaani nao utauita mziki.
  7. theki

    Rapper Witness: Nimechora tatoo kiunoni ili nisichepuke

    Mbona kachora kwa nyuma?Ina maana jamaa huwa anapitia uwani ....nimewaza tuu coz kiuno pia kipo mbele.
  8. theki

    Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

    Huyu Rubi ukomandoo anaujua lkn asije baadaye tena akatuita ukumbi wa maelezo kutuomba msamaha mara kamsingizia shetani.Mara ushauri alipewa mbaya.
  9. theki

    Maalim Seif Sharrif Hamad kumbe naye English yake ni shiiiiiida!

    Wewe tatizo lako umekariri. 'people were given booklets' na 'electorates were given ballot papers' hapo tatizo nini? Au Watu na Wapiga kura ndiyo vimekuchanganya.?
  10. theki

    Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

    Wewe unataka kumwona Rais au utatuzi wa kero?
  11. theki

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    ACT nacho Chama au kilikuwa mkusanyiko wa watu kwa lengo la kuanzisha Bonanza group
  12. theki

    Rais Magufuli akutana na Balozi wa Israel nchini Ikulu leo

    JPM anawasubiri waje wenyewe afuati mtu huko hapa hapa tuu
  13. theki

    Mafundi wazembe

    Hapo hujaulizwa?
  14. theki

    HALI TETE CHADEMA: Ofisi sasa yageuzwa duka

    Halafu CCM wanalipenda hilo duka ndiyo maana siri za ccm zinavuja sana.
  15. theki

    Enyi watu wa Arusha mjini msifanye makosa, mchagueni Philemon Olais Mollel

    Sasa uchague CCM halafu Madiwani wote CDM huyo mbunge lazima atakuwa kichaa.
  16. theki

    Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    Wewe umeuliza kwani wamefanyaje? Hili ndilo lilikuwa swali lako kama ulifuatia comment ya huyo mtu mbona hukujibu kwenye quote yake huyo mtu.Usiogope kukosolewa wewe?. Usiwe kama watu wa CCM ambao hukurupuka tuu.
  17. theki

    Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    Ze article above hujaread kwani bcoz ze elezea vzr kbs. If any ze word on ze article didn't u kuelewa just gugo. Senkiu.
  18. theki

    Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    Hahaha unamahuhakika ya uwongo wewe? Wewe lazima CCM daah nimecheka sana next time fanya uchunguzi kama hujaandika wewe......:dizzy:
  19. theki

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hii siasa mbaya huyo Mwamunyange yupo nchi gani kikazi Pluto au Mars hahahaha Huyu sijui dada na Brother hao tunapishana nao sana mlimani city aje Jenerali Mwamunyange mwenyewe. Tofauti na hapo ni Porojoro......... don't say ni kituo hicho.
  20. theki

    Mamba Matano Ya Ajabu Yaliyojitokeza Mwanza Jana Lowassa Akiwa Kwenye Kampeni...

    Wewe si akili yako unashikiwa utaonaje sasa.? 1.Kwanza watu nyomi haijawahi tokea na wala haita kaa itokee 2.Mwanza kuwa na uthubutu wa kutaka mabadiliko 3.Lowasa kupendeza na shati lake 4.Wazee wa enzi ya Tanu kumkubali Lowasa + Mabadiliko 5.Pipoooooz.......
Back
Top Bottom