Search results

  1. F

    Hivi Yusufu Manji kumtaka Mengi amlipe fidia ya shiling 1 ni dharau au?

    Kaka hao wana ugomvi wa biashara ila manji iko pesa
  2. F

    Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

    to me zantel is better for only 64000 unapata modem na air time ya 12000 then kwa mwezi unajiunga na highlife unakula 35000 tu mkwa mwezi unaperuzi tu
  3. F

    Hodi Hodi

    Heri ya mwaka mpya kwako pia karibu saana umeanza mwaka vizuri sana
  4. F

    Things to consider before starting any business

    Asante saana mkuu ninaifanyia kazi
  5. F

    Matching Capital and business opportunities in Tanzania

    I think huyu jamaa anaandika research lakini sio kama anataka kuwekeza but anyway kwa faida wacha nimjibu japo kwa kifupi 1. saccos ika katika category ya chini ya financial institution ambayo si zaidi ya 800m (BFIA i.e banking and financial institution act of Tanzania) 2. Investment...
  6. F

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    mimi nakushauri kuwa invester maana michakato ya biashara huwa ina mikanganyiko mingi sana na moja ya nyanja ambayo unaweza kuwekeza ni local real estate ya kibongo kwanini 1.soko ni la uhakika sasa hivi asilimia 99 ya wabongo akili yao iko katika kujenga si utawakamata nina uhakika 2...
  7. F

    Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Mkuu bajaji biashara nzuri sana hasa ukimpata mtu mwaminifu. Kwa kawaida hesabu yake ya siku ni 15000 ila kuna jamaa pale kawe yeye ana bajaj 20 yeye hesabu yake anafanya 20000 per day na pia anakarakana yake maalum kwa kutengeneza bajaj zake tu the guy is so so sucessfully na pia huwa anawalipa...
  8. F

    Forecasted sales: msaada

    samahani unatarajia kuomba overdraft au term loan
  9. F

    Employment opportunity

    nakubaliana na pdidy kwa yesu hakuna lisilowezekana luka 1:37, kuna jamaa yangu alimuomba mungu muujiza alioupata hata maswali hakuulizwa kwenye intervyuuu akaambiwa subiri nje, maasam tu uko commited kwa yesu yeremia 33:3, pia zaburi 125, kwa maelekezo zaidi tuwasiliane mungu ni mwema ukimuita...
  10. F

    Pikipiki inahitajika

    kaka cc 150 ipo T- better bei 1,500,000 cc 200 aina ya shine rey bei 1,600,000 for more information nicheki 0779000084 bw. furaha
  11. F

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    nahisi gemu iko 50-50 ngoma iko sare hii mkuu
  12. F

    Habari wana JF

    Ndagha obheli
  13. F

    Umefanya Wema gani ukakutokea puani?(ukakuponza)

    charity unatakiwa kutumia akili hama mungu anasema lazima umuabudu mungu kwa akili jiulize swali moja tuuuuu KIJANA ANATOKEA TANGA NA AMELETA KOROSHO swali je korosho zatokea tanga au kusini????????? anyway tenda wema nenda zako
  14. F

    Mume wa rafiki yangu

    oh pole sana dada yangu Unajua nikupe siri Kitendo cha kwamba anakusifia na akaona positive response hiyo ikampa green light pili kitendo cha huo ufundi/sanaa za maneno huenda inakufurahisha na ushaidi ni jinsi ulivyo yanukuu hayo maneno nadhani yanajionyesha eg umbo la kampeni, huyu jamaa...
  15. F

    Natafuta Shule ya awali ya mtoto wa miaka miwili na nusu!

    mkuu cheki st.florence mikocheni is the best ila wako gharama kidogo lakini utafurahi
  16. F

    Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

    Kwa jina la yesu kristo wa nazareti na kwa mamlaka toka juu nang'oa roho mchafu anayemsumbua huyu dada, amen
  17. F

    Sielewi nimepatwa na nini mwenzenu...

    mkuu majibu yoote kakupa masaki hao nami nakubaliana naye unajua mimi nimeoa mei 1, 2010 ni kweli unapofanya maamuzi mazito ya kuoa majaribu huwa yanakuja just kutest ur strength but mind you anayekuja ghafla pia huondoka ghafla please muingage mchumba wako fasta pleae be advised accordingly
  18. F

    VISA CARDS: Msaada please

    oh! mkuu huwezi kuchukua over the counter nduguyangu mtu asikudanganye, wewe inayokutambua ni atm yenye visa logo tu, kwani in practical teller anaweza ku debit kwenye akaunti ya benki husika tu na si vinginevyo, ndio maana huyo ndugu wa akaunti ya barclays uk alishindwa ku transact na barclays...
  19. F

    Kazi Barclays bank

    thanks mkuu wacha nichangamkie
  20. F

    Methali mpya

    wakivuta wao sigara tukivuta sie bangi
Back
Top Bottom