Search results

  1. Steven Robert Masatu

    Tumewakosea nini Wakenya kumdhalilisha Rais wetu?

    Akili zingine Mungu epushia mbali tuu. We jamaa kiboko. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Steven Robert Masatu

    Nimeamua nimwache mke wangu miezi mitatu baada ya kujifungua

    Malezi yetu Vijana akati mwingine huwa comedy Sana. Wazazi wamejitahidi kadili ya uwezo wao, ila kijana unawangusha hatari. Sio kwamba siye wengine ni wakamilifu la hasha. Mwenzetu umevuka mipaka. Yani azalishe 3ltr kwa siku ili mtoto ashibe na asaze!? Hivi unajua mchakato wa uzalishaji maziwa...
  3. Steven Robert Masatu

    Marekani kinara unyanyasaji Wa informers

    Hahahahahahaha Akili zingine huwa raha sana.
  4. Steven Robert Masatu

    Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Mkuu Kuna tofauti Kati ya ""50/50 Profit Sharing na 50/50 Economic Benefits"". Tuwe na umakini kidogo kwenye issue hii. Mbaya zaidi haijaelezewa vizuri kwa kina utakuwaje huo mgawanyo.
  5. Steven Robert Masatu

    Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Hii thread inafuka moshi, muda si mrefu panawaka hapa.
  6. Steven Robert Masatu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    Mniunganishe kwa hao wanawake wenye Elimu na hela. Mbona hawaonekani!?. Ila nionanvyo mapenzi yana version tofauti Sana kwa sasa. Zama zimebadilika mnoo, nasi tunapaswa tubadilike.
  7. Steven Robert Masatu

    Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Post #1 Hadi #228, ukisoma vizuri kwa umakini majibu anayotoa mlengwa naona Tone haishabiiani. Topic hii naona kama ni Indirect method ya kutafuta kitu. Big Brains watanielewa
  8. Steven Robert Masatu

    Nimefunga PM yangu nimechoka kusumbuliwa na mademu wa JF

    Maisha ya Sasa kwetu sisi wanaume yanatatanisha Sana. Ila tutafika tuu
  9. Steven Robert Masatu

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Aliyefufua huu Uzi haendi Mbinguni.
  10. Steven Robert Masatu

    Hongera Serikali yetu, kuwatosa Acacia kwa kutowatambua huu ndio uanaume!. acacia kula jeuri yake, faces hostile take over, soon itakuwa kwishney!.

    Hahahahhaaaha. When an Asset became a Liability. Baba nimefungua kampuni, nikaona nimpe mwanangu ila nikiwa bado nimemuweka kwapani kwa kisingizio cha mwanahisa mwenye hisa nyingi. Baadaye dogo anazingua , natumia ukubwa wangu kumtuliza dogo atulie nyumbani. Halafu me baba ake nasonga mbele...
  11. Steven Robert Masatu

    Hongera Serikali yetu, kuwatosa Acacia kwa kutowatambua huu ndio uanaume!. acacia kula jeuri yake, faces hostile take over, soon itakuwa kwishney!.

    Safi Sana mkuu, angalao wewe umeona hii kitu kwa jicho la pili. Tunakoelekea mbeleni resources za Dunia umilikaji wake unafanyiwa overhaul Mfano kwenye Diamond, huwezi fanya biashara ya Diamond ukamruka De beers. Hii sasa inakuja kwenye Gold, tunakoelekea transactions zake itakuwa Kama Diamond...
  12. Steven Robert Masatu

    Tanzania na Barrick Gold wakubaliana kuhusiana na madai ya US$190 bilioni

    Mkuu nikufungue tuu, Unayajua mahusiano kati ya Pangea Minerals na Accacia!? Ukijibu hapa sasa utanielewa nilichokuelez kwenye post yangu hapo juu.
  13. Steven Robert Masatu

    Tanzania na Barrick Gold wakubaliana kuhusiana na madai ya US$190 bilioni

    Mkuu hujui unachoandika, mambo mengine jifunze kuwa msomaji ama kuuliza ili ueleweshwe , sio ukurupuke na kuwaita watu ni wahuni. Muda utaongea mtu wangu .
  14. Steven Robert Masatu

    Tanzania na Barrick Gold wakubaliana kuhusiana na madai ya US$190 bilioni

    Man umesoma vizuri kweli ukaelewa!? 190B (centuries tax Bill) . Hebu soma tena urudi uangalie ulichoandika. Au ni ID ileile iloleta mada halafu inaendelea kutoa comments!?
  15. Steven Robert Masatu

    Dah wanawake mnanini jamani?

    katoto kazuri tena katika ubora wako.
  16. Steven Robert Masatu

    Asante Magufuli, sasa umetukumbuka Rungwe, Mbeya

    Man hata kama ni wivu wako umepitiliza , Yani kweli Hotel Desderia useme hotel uchwara kwa mkoa kama mbeya !? Kuwa serious
  17. Steven Robert Masatu

    Tabia hii ya wazungu kwenye mapenzi hunishangaza

    Wazungu wanakomaa na watu wa namna hiyo sababu wanataka mtu wa kumcontrol. Ukiwa vizuri kichwani na unajitambua hamuendi sawa. Hiyo ndo sababu kuu hasa wanawake wa kizungu. Wanapenda kutukuzwa sana
  18. Steven Robert Masatu

    Lowassa azuiwa kumuona kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe anayeshikiliwa na Polisi

    Jifunze kuwa na adabu mkuu hata kama ni wa upinzani. Maisha haya tunapita tuu,Leo kwako kesho kwake. Mzee kama yule huwezi kumuita kituko kisa umejificha nyuma ya ID fake. Kila sehemu ina utaratibu wake, kaenda polisi muda ushaisha kaondoka , hapo Kuna tatizo gani mkuu,!? Polisi hana kosa...
Back
Top Bottom