Search results

  1. T

    kwa wanandoa!

    wanaume wana uwezo wa kucotrol emotions than womens!
  2. T

    On my way to Dodoma...!!!

    Dodoma 2 tu unaoga ungekuwa unaenda nchi za mbele je?
  3. T

    Nini mantiki ya kumwagia mtu bia?

    Ulimbukeni unamsumbua na hela zake za madafu!
  4. T

    Jinsi ya kuongeza mtaji

    Mtaji wa pipi huo,bado tafuta pesa kama milion tano halafu ulete jamvini tukushauri
  5. T

    Wana JF Iringa mjini gesti gani nzuri kufikia?

    15000 ni ya guest za uswaz mkuu
  6. T

    USHAURI WENU: Ameshaolewa lakini bado ananitaka, nifanyeje?

    Amemis mhogo wa jan'gombe mpe siku mojamoja mkuu!
  7. T

    Wanandoa wanapowasiliana kwa SMS Ndani!!!!

    Unafaa kuwa mwandishi kama shigongo vile!dont think 2 m negative!jst my thoughts!
  8. T

    Naomba unioe..

    best,jitahidi kusoma thread kwa makin sijaandika hapo swala kufahimaina kwenye JF,be serious meeeeen!
  9. T

    Naomba unioe..

    yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
  10. T

    Naomba unioe..

    Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo...
  11. T

    Kwa nini upendeleo kama huu?

    Mambo vp wana JF,?kuna jambo katika jamii ambali nahisi binfsi hatutendi haki,mwanamke anapopata ujauzito uliotarajiwa, kwa maana ya kwamba kuna taratibu zimezingatiwa pamoja na kufunga ndoa.mwnmke huyu hupongozwa na wazazi wke lakn vilevile na jamaa wanaomzunguka,lakini ukija upande wa...
  12. T

    20 bora tanzania

    Puu,-mba...ffffffff!
  13. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkubwa mtoto wa mwenzio,ndoo mtoto wa watu alipigwa masanga na kapuya bila kujali umri wake!
  14. T

    Mwanamke kama huyu utamchukuliaje???

    Kwan huyo gf ulimkuta bikira,dem wako mpya,alikuwa dem wa mwenzako wa zaman,so inawezekana mazingira anayajua vizuri kabla hujawa nae!
  15. T

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Toa photo zako tukusaminishe inawezekana,unamakengeza tusije jutia badae....
  16. T

    Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

    Kwa hiyo,unatutangazia?toa na namba yako hpo,watu wa mambo hayo wapo!
  17. T

    Tanzia: Smile afiwa na mama yake mzazi.

    Pole sana,yeye katangulia sisi nyuma,jina la bwana lihimidiwe!
  18. T

    kupendwa

    Usituvunjie heshima bhana,c tuna mapenzi ya dhati na wenzi wetu,jikague mara nyingi inawezekana we ndo msiba!
  19. T

    Nakosa maamuzi sahihi....,

    Mambo vp wana JF, Mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya kuishi pamoja kama mme na mke,mpenzi wangu huyu alimfahamisha mama yake kwa kuwa alikuwa naye karibu...
Back
Top Bottom