Search results

  1. Mishughuliko

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    .....ni huzuni kuu..... ila for future tuangalie na hizi "School Bus" za kawaida kila siku,. sheria inasemaje?,... maana nyingine ni mbovu na zinabeba watoto wengi kwa pamoja,. ndio kuna shule ambazo wanazo gari zao za shule ambazo nyingi ni nzuri,.. vipi kuhusu hizi daladala zinazogeuzwa kuwa...
  2. Mishughuliko

    Hii barabara ya kwenda kwa Mrema, Kiraracha inatia aibu

    Duh...hii ni kweli kabisa.,lkn hili si jimbo la Mbatia?, sasa labda tusubiri apewe kazi na JPM ya kutumbua majipu kama anavyoomba kulingana na ahadi aliyopewa kipindi cha kampeni
  3. Mishughuliko

    Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli

    Watakuwepo na manabii , wachungaji, mapadri wengine wa hapa TZ pia? au this isspe ial for TB J tuu?
  4. Mishughuliko

    Bundi aiandama NCCR- Mageuzi, Makamu M/kiti Leticia Musore, asimamishwa!

    Kifo cha Dr. Mvungi: Madaktari wa Muhimbili na Afrika Kusini watofautiana Kilichomuua Dk Mvungi Hospitali ya Millpark ya Johannesburg, Afrika Kusini, imesema madaktari waliokuwa wakimtibu aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk...
  5. Mishughuliko

    Naomba msaada nimfanye nini Huyu mwizi mchanga wa Mtandaoni ambaye anachipukia

    HACKER: Edward Ernest Kutingala Duh.....hatari! atakuwa jamii ya huyu hapa, naye ni mpigaji wa mtandao staili hiyo hiyo, ila huyu anatumia benki zaidi, ni hacker, majina anayotumia pia mengi tofauti tofauti leo Mike kesho Ernest n.k Dear......... > Thank you...
  6. Mishughuliko

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Type na wa Rizwan tulinganishe, nayr ana kadegree kamoja mbali ya dili za sembe wao wanamiliki pia Belila Kempiski Serengeti
  7. Mishughuliko

    Niko Safarini naelekea Jimbo la Moshi Mjini (Moshi) kushiriki kampeni za CCM!

    huyu Yahaya tunayemjua,aliyesema ana fedha mara tatu zaidi ya UKWA wote, mbaguzi kila krismasi anayejijengea barabara ya kwenda kwake pekee akiiepuka barabara ya upande wa pili ambayo ndio njia kuu ya kwenda kwao Old Moshi Kidia
  8. Mishughuliko

    Ukawa: Chama kipi kina nguvu jimboni kwako?

    Chadema Moshi Mjini
  9. Mishughuliko

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Babati gari moja limechomwa moto-Kili FM redio
  10. Mishughuliko

    Nini Maana ya Ugonjwa Wa Autism?

    tufanyeje wenye watoto wa aina him?
  11. Mishughuliko

    Kwa kauli hii ya Gwajima kuhusu walokole nini maana yake?

    shughuli, chopa ya kazi gani Gwaji?, na kanisa ilihali kanisa halina makao?, kuanika waumini pale Tanganyika Packers maana yake nini?
  12. Mishughuliko

    Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

    ZZK alisema hiyo pesa ya kiinua mgongo haitaki, pia katika hao MP 50 watakao kuja kujiunga ACT kutoka CDM na CCM ndio wanaomfadhili ACT, kama in kweli je haoni hao hoa wabunge hizo pesa ni sehemu ya zile alizozikataa?, sasa wewe umekata a posho wenzako wanapokea na ndio michango hapo ACT, does...
  13. Mishughuliko

    Ndesamburo atangaza kutogembea Ubunge, Kumuunga Mkono Meya

    anakubalika kwa namna alivyopambana, hivyo Ndesa hana namna na umri umemtupa mkono,. big up Ndesa kuliona hilo na kulikubali japo kunao wengi tuu wenye kutaka huo ubunge kupitia CDM/UKAWA ., ila kwa ukweli Jaffari anakubalika hapo,. so kuondoa makundi na ukanda+ udikteta wa madaraka in vyema...
  14. Mishughuliko

    Ndesamburo atangaza kutogembea Ubunge, Kumuunga Mkono Meya

    anakubalika kwa namna alivyopambana, hivyo Ndesa hana namna na umri umemtupa mkono,. big up Ndesa kuliona hilo na kulikubali japo kunao wengi tuu wenye kutaka huo ubunge kupitia CDM/UKAWA ., ila kwa ukweli Jaffari anakubalika hapo,. so kuondoa makundi na ukanda+ udikteta wa madaraka in vyema...
  15. Mishughuliko

    Wana JamiiForums, basi za Sumry ziko wapi?

    Ars-Ms-Mbeya ndio Mbeya Express
  16. Mishughuliko

    Hivi ni kweli anataka kujaribu au ndio tabia yake?

    Kwanza huyo tayari ni malaya,. Kasikia wapi yote hayo au ndio ataka kukufunza?., na ukijaribu huachi maisha atakavyokupaiza
Back
Top Bottom