Search results

  1. C

    SOFTWARE Training on Advanced Microsoft Excel for Financial Statements Preparation

    This training is intended to Equip participants with necessary skills for preparing Financial Statements using Microsoft Excel techniques... Meet the experts in the field of Accountancy... Call or WhatsApp me at 0713388317 for more information.
  2. C

    SOFTWARE Smart Accounting software for your business

    Training tunatoa... Unapewa Kwanza Account ya Demo then unafanyiwa full demonstration on how it works. Karibu sana
  3. C

    SOFTWARE Smart Accounting software for your business

    Yes tunatoa Demo before you decide to use it. Unachotakiwa Kufanya ni kunitumia Jina la Biashara yako na Jina lako mwenyewe ili tucreate Account yako ya demo
  4. C

    Wale wa Dodoma ACCA na CPA Review Classes January 2020, karibuni sana

    Kama una mawili tu ya Foundation na huna viporo tena you can do those of foundation together na hayo ya Intermediate. Wanachokataa ni kuanza intermediate wakati kuna masomo ya foundation bado umeyaacha.
  5. C

    Wale wa Dodoma ACCA na CPA Review Classes January 2020, karibuni sana

    Details za bei hizi hapa pamoja naratiba. Tunaanza Jumatatu ya tarehe 6 January 2020. Usipitwe!
  6. C

    For those who need In House advanced Microsoft excel

    CALL US NOW: Tel no. 0713 388 317/ 0757 749 641 RE: INVITATION FOR IN-HOUSE ADVANCED EXCEL TRAINING OPPORTUNITIES CONDUCTED BY STEP AHEAD FINANCIAL CONSULTANT Step Ahead Financial Consultant (SAFCo) is a globally registered Consultancy Firm providing Professional Services on areas of Trainings...
  7. C

    Wale wa Dodoma ACCA na CPA Review Classes January 2020, karibuni sana

    Wale wa Dodoma mnaohitaji ACCA/ CPA karibuni sana. We are full time available for teaching services.
  8. C

    Ifahamu Bodi ya Kimataifa ya Uhasibu (ACCA) kiundani na gharama zake

    Bachelor au Diploma? If Bachelor utaanzia Skiils Level.
  9. C

    Baada ya kupata ufaulu wa DEE kwa kombi ya HGL kidato cha 6, naoma ushauri wa kozi na chuo cha kusoma

    Kama anapenda kuja kuwa muhasibu Mwambie anitafute kwenye Chuo chetu Cha Kozi za Bodi ya Taifa ya Uhasibu Tanzania na ile ya Uingereza.. 0713388317/0757749641
  10. C

    Nimeanza Safari Wakuu

    Excel is one of my favorite Microsoft application.. I do teach Advanced Excel Courses.. It is a very interesting and powerful application.. Have a nice journey... Ukikwama usisite kuniuliza... Find me on 0757749641/0713388317
  11. C

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    Lakini pia pitia hapa. Utapata mwanga.. https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-wale-wanaotaka-kuwa-wahasibu-bila-kupitia-advance-a-level.1589749/
  12. C

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    . Pitia hapa ndugu yangu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-waliofeli-kabisa-darasa-la-saba-form-4-or-6-pitia-hapa.1598110/
  13. C

    Kwa waliofeli kabisa Darasa la Saba, Kidato cha 4 au 6, pitia hapa

    Hello ndugu, Naomba nielezee kitu kimoja hapa ili watu wote wakielewe.. Kuna utofauti mkubwa kati ya Academic Qualifications na Professional Qualifications. Ukitaka kufundisha Academic Qualifications ni lazima usajiliwe na NACTE/TCU wakutambue.. Ukitataka kufundisha Professional Qualifications...
  14. C

    Kwa waliofeli kabisa Darasa la Saba, Kidato cha 4 au 6, pitia hapa

    OK Iko hivi.. Mtu kama hana background yoyote kabisaaa na uhasibu, anaanzia kwenye level ya Introductory Certificate, hapa anafanya mitihani miwili tu.. Akifaulu hiyo mitihani miwili anaanza Intermediate Certificate, hapa napo anafanya mitihani miwili pia.. Ila Syllabus Content imeshiba, ni...
  15. C

    Kwa waliofeli kabisa Darasa la Saba, Kidato cha 4 au 6, pitia hapa

    Hapana Mkuu.. Sema tu watanzania hatuna taarifa sahihi juu ya mambo mazuri ndo maana tunaishia kuresit tu.. Hii ni bodi Kubwa sana ya uhasibu inayotambulika na kila nchi. Ukikutana na Mhasibu yeyote muulize juu ya ACCA kama anaijua uone atakwambia nini.. Hii ukiwa nayo wewe ni ni kama Lulu mbele...
  16. C

    Kwa waliofeli kabisa Darasa la Saba, Kidato cha 4 au 6, pitia hapa

    Sina uhakika na hii kitu ndugu. Najua Level ya Elimu iko kwenye National Technical Awards
  17. C

    Kwa waliofeli kabisa Darasa la Saba, Kidato cha 4 au 6, pitia hapa

    Si kwamba anafanya mitihani bila kusoma.. Anaanzia kusoma level ya Introductory certificate, akifaulu hiyo anaanza tena Intermediate certificate, akifaulu hiyo ndo anamalizia na Dipploma in Accounting and Business.. Akifaulu diploma yake sasa anaweza akaamua aendelee na Degree chuo Kikuu au...
Back
Top Bottom