Search results

  1. G

    UTEUZI WA IGP-RAIS AMEVUNJA KATIBA; Hakuna Naibu IGP kwenye Katiba

    Vyeo hivi vya upendeleo siyo vyeo hizi.Sawa ndugu
  2. G

    Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    Labda itokee.mzee wa arachuga,msuba,ngwaya,stiki au majani akifanikiwa ubunge nina mwaga kimba njia nzima kutoka Dar hadi chalinze kwa jinsi ninavyomfahamu Abood.
  3. G

    world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Ww FREDAWO acha kutudanganya.mbona kuanzia pale soko la Muthurwa,country bus station ukipita polisi kamukunji zunguka coast bus eneo lote la Ngara na kushuka river road ni pa hovyo sana na hata lile soko la kariokoo maji ya vinyesi yanatiririka hovyo tena juu?Dah Nairobi eneo hilo ni pachafu sana.
  4. G

    Bangi msamvu ni kama chakula.

    Haire haire arachuga,suba,ganja inawaumiza vijana wetu.
  5. G

    Bangi msamvu ni kama chakula.

    Vp ww?Kwa hiyo wanajitibu masikio ktk vijiwe hivyo?
  6. G

    Bangi msamvu ni kama chakula.

    Jamani ni aibu sana hata sijui niseme nini kuiona taifa la kesho likiangamia na madawa ya kulevya aina ya bangi na hata kile kifaa cha bakhresa(sembe) masaa 24 na wala hawabugudhiwi na chombo chochote cha usalama kwa raia.Nashindwa kuelewa mfano polisi wanashindwa vipi kuyatawanya haya makundi...
  7. G

    world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Hayo mabanda hayaishi binadamu munatuchanganya humu na hayo maji au mifereji utayavuka vipi?
  8. G

    world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Kichwa cha habari mbona tofauti na malumbano yenu?chuki ya nn vijana?Wekeni heshima mbele baina ya nchi zenu.Sioni sababu ya kuchukiana.Aliyetoa mada kataja miji kibao sikuona kama ni miji ya Afrika ya mashariki tu lakini mujue aliyetangulia katangulia hata ufanye nini kuanza elewa Nairobi ndo...
  9. G

    Hivi wakenya lugha yao kiswahili au kiingereza?

    mbona humu siwaelewi?
  10. G

    Kenya at 50: President Jakaya Kikwete speech

    Mkuu huyu jamaa anaelalama anamatatizo.Kwahiyo hasialikwe nje ya nchi?basi aalikwe yeye.maana marais ndivyo walivyo.
  11. G

    Kenya at 50: President Jakaya Kikwete speech

    Watu wa porojo ni shida kweli kweli.Hivi unamtaka rais wako ajifungie ndani kama mwali?Yani hasitembee au hasiwakilishe taifa katika shuguli za kiseeikali?
Back
Top Bottom