Search results

  1. Benson Mramba

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwasasa Bungeni kuna Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Waziri Mkuu mwenye Naibu Waziri Mkuu, Hongera ulimuondoa Katibu Mwenezi Mstaafu wa Chama. Pia kuna Wabunge ambao wengi wao wanatuhumiwa kuwa ubunge walipewa tu bila kushinda na Wabunge hawa wanatoka...
  2. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Mema analeta yeye ila changamoto analeta nani? Shetani au?
  3. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Hawakuwa na safari za hovyo hovyo ndani wala nje ya nchi
  4. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    World bank hawanunui Unga wala mchele huku mtaani.
  5. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Mfumuko ni over 50% nyongeza just 23.3% wakati kwa miaka 5 iliyopita hakuna nyongeza na mfumuko ni less than 10%
  6. Benson Mramba

    Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

    Tanzania haijawahi kushuka bei ya kitu chochote ikishapanda.
  7. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Wakati huo ngano na mchele kilo itakuwa elfu 3 na Unga 2500, mafuta ya kupikia elfu 10 lita
  8. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Sisi tunaagiza Urusi? Wewe singizia Urusi huku unapigwa
  9. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Hata hiyo mikopo nayo unaambiwa tu kuwa alichukua ila huna uhakika wala hujui ukweli
  10. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Kwenye Corona ulikuwepo? Corona na hiyo vita kipi kilipaswa kutuathiri? Urusi na Uarabuni wapi ni karibu Kwetu?
  11. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Zitto pamoja na mambo mengine huwa anatumia kinywaji hususan anapokuwa na ishu ya public so huwezi jua alikuwa kwenye mood gani. Hukumbuki alimuomba radhi Lissu baada ya kumsema?
  12. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Niliwahi kukuambia kitu kama hicho? We endelea kushangilia nyongeza na punguzo la tsh 29 kwenye petrol
  13. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Labda kwasababu nimemtaja hayati.
  14. Benson Mramba

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Kwanza naomba ifahamike kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa siasa na sera za Magufuli na ninaamini ndie kiongozi Bora kuwahi kuwepo Tanzania na Afrika kwa miaka ya karibuni. Kwa miaka mitano mishahara haikuwahi kupanda ila mfumuko wa bei ulidhibitiwa na watumishi wengi walilipwa malimbikizo yao...
Back
Top Bottom