Search results

  1. Mtoboasiri

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Kwa mujibu Wa documentary ya kituo cha television cha Aljazeera, meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya Presidential Diplomatic Bag wakati Wa ziara ya rais Wa China nchini Tanzania. Documentary hiyo inataja "the highest office in the country" kuhusika na biashara haramu ya meno ya tembo. Wanatoa...
  2. Mtoboasiri

    Video hii inaonyesha umaskini wa weupe Sauzi baada ya apartheid...

    ..ila naamini ingekuwa hapa kwetu m.k.w.e.r.e angejisifu kwa kuwaletea Watanzania maisha bora. https://www.youtube.com/watch?v=oWWzAdb2wbU
  3. Mtoboasiri

    Bila uchakachuaji CCM hawawezi kupumua...

    ...jamani, nipo Dar tangu jana. Nimefikia Bungoni ambako leo ccm. wamefanya uchaguzi wao wa ndani kupata wagombea wa serikali za mitaa. Sikujua kabla kuwa hawa ndugu zetu wana uchaguzi, kilichonifanya nijue hilo ni kwenda kwangu Beriogo Bar kula mishikaki na ndipo nikakuta mzozo wa wenyewe kwa...
  4. Mtoboasiri

    When things are translated literally.....!

    ....this happens!
  5. Mtoboasiri

    Ni ushamba wetu Watanzania au?

    .... coverage wanayopewa wachezaji wa zamani wa Real Madrid (wengine ni wazee kuliko mimi) ina manufaa gani katika michezo au uchumi wa nchi hii? Ingekuwa hii mechi ni charity ningeelewa lakini ujinga huu!!!!!!!! Na asiniambie mtu kuwa eti itakuza utalii because I simply don't buy it. Kama...
  6. Mtoboasiri

    Berkhamsted 'penis' map mocked on Facebook

    Berkhamsted 'penis' map mocked on FacebookWhile one of the breweries along the canal praised the map as a "great graphic", its shape was compared with male genitalia on social media Continue reading the main storyRelated Stories Waterways charity set for launch A map created to guide visitors...
  7. Mtoboasiri

    Naomba Msaada wa kuwapata hawa watu

    Wana ukumbi wa JF, kwa yeyote anaemfahamu mmoja (au wote miongoni) kati ya hawa wafuatao naomba ani PM. 1 Gladith Kirey (kuna kipindi alikuwa anafundisha Jangwani Sekondari Dar). 2. Bertha Matto, Joram Giguna na Yokobeth Elias (wote hawa walikuwa wanafunzi Sekondari ya Wigehe). 3. Omari...
  8. Mtoboasiri

    Nashindwa Kuwaelewa Wanawake

    Wajameni, nina jamaa yangu tuliekutana katika shughuli za kikazi (kampuni anakofanyia kazi ni wateja wangu). Anaishi mbali kiasi na ninapoishi, kwa maana hiyo hatukutani mara kwa mara socially. Jirani na ninapoishi yupo dada mmoja ninaemfahamu slightly (kwa jina na anapofanyia kazi - ni...
  9. Mtoboasiri

    Nasaha za Mwalimu Kwenu Nyinyi Kizazi Kipya...

    Kuna technology zamani ikiitwa shorthand, na kwenye masomo ya lugha (haijalishi ni English, Spanish, Kiswahili au lugha yeyote ile) kulikuwa na kufundishwa kutengeneza "summary" au muhtasari. Yote haya yalimlazimisha mwanafunzi kufikiri na kutumia maneno inavyopaswa. Leo hii kuna watu wanaandika...
  10. Mtoboasiri

    Jenerali Ulimwengu: Forgive them, Lord, they only just missed boarding Flight MH370...

    Forgive them, Lord, they only just missed boarding Flight MH370... By Jenerali Ulimwengu Posted Saturday, April 19 2014 at 08:41 It is going to be an even more expensive undertaking in terms of the psychological toll it will exact on the minds of a populace that may feel that it was...
  11. Mtoboasiri

    Limefunguliwa Duka....

    .... la kuuza akili! Simiyu yetu, Lizaboni, Chaburuma, Mwampamba, Shonza, et al karibuni! Wateja watano wa mwanzo watapata discount! Mods; please naomba msiufute uzi huu maana ni educational research!
  12. Mtoboasiri

    Kama Unaamini Kwa Kutumia "Spellchecker" ya Computer Utakuwa Hujakosea Soma Hapa.....

    Eye Halve a Spelling Chequer Eye halve a spelling chequer It came with my pea sea. It plainly marques four my revue Miss steaks eye kin knot sea. Eye strike a quay and type a word And weight four it two say. Weather eye am wrong oar write It shows me strait a weigh. As soon as a mist ache...
  13. Mtoboasiri

    Kumbe Hakuna cha tego Wala uchawi

    Wengi tushasikia habari ya watu (mwanamke na mwanaume) kung'ang'aniana wakigegedana - especially ikitokea mwanamke ni mke wa mtu anaetoka nje ya ndoa. Hadithi tunazosikia ni kuwa mume kamtega mkewe, uzushi mtupu. Hebu soma hapa http://www.bbc.co.uk/news/magazine-25827175 Naona wengi...
  14. Mtoboasiri

    Msaada wenu unahitajika bandugu....

    ....hivi nawezaje ku-print message zilizopo kwenye simu yangu? Natumia Samsung Young Galaxy (touch screen). Natanguliza shukurani zangu za dhati.
  15. Mtoboasiri

    Christians Persecution in the Middle East..........

    A Point of View: A long winter for Christians in the Middle East Continue reading the main story Why we banish the words of the dead (Will Self) The Trojan horse (WS) Rebuilding after 9/11 (WS) JFK and the rise of conspiracy theories (WS) The last decade has been catastrophic for the Middle...
  16. Mtoboasiri

    Kwa hili Kikwete asilaumiwe...

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hali mbaya katika sekta ya elimu tunayoishuhudia leo ni matokeo ya mismanagement ya elimu iliyofanywa na serikali ya awamu ya pili. Mwanafunzi akipata matokeo mabaya sekondari kuna uwezekano mkubwa hakupata elimu bora ya msingi. Ili kuona matokeo ya...
  17. Mtoboasiri

    Hivi inakuwaje mtu unapojiapiza....

    ....kuwa kuanzia sasa natulia na mpenzi wangu ndipo wale uliowatokea na wakakutolea nje wanajileta wenyewe? Aaagh!
  18. Mtoboasiri

    Unakubaliana na utendaji wa kikwete?

    Kama jibu lako ni "ndiyo" basi kuna 77% chances kuwa wewe umeishia darasa la saba au chini ya hapo. Kinachosemwa na watu sasa ni official. Source: Afrobarometer research (soma Mwananchi la leo)
  19. Mtoboasiri

    Ni bora nile kitimoto "iliyoharamishwa" kuliko kula paks..

    ....soma hapa! m.bbc.co.uk/news/world-middle-east-24532793
  20. Mtoboasiri

    Ewe mtanzania kuwa mzalendo kwa nchi yako......

    ...kila mtu anataka kuwa na maisha bora. Kila mtu akiwa na nafasi atashawishika kutumia nafasi yake ili awe na maisha bora. Hilo NALIKUBALI 100% na mimi NDIO LENGO LANGU (I mean kuwa na maisha bora lakini si kutumia nafasi niliyopewa kujinufaisha at the expense of my country). . Mtanzania...
Back
Top Bottom