Search results

  1. Mtoboasiri

    MPANDA: Baada ya mkutano mkubwa wa CHADEMA, Polisi yawapiga mabomu kuwatawanya

    Nakiri kuwa sipo Mpanda na tangu nizaliwe sijawahi kufika Mpanda, ila kwa hiki ulichokiandika hapa hata mtoto wa miaka mitano ataona inconsistency kwenye bandiko lako. Umetuambia watu wachache wamekuja then at the sametime "zomea zomea" ya hao "watu wachache" imesababisha polisi kutumia mabomu...
  2. Mtoboasiri

    Bunge lasitisha mjadala wa Tegeta Escrow Account

    Ingekuwa ulichokiandika hapa ni kweli m.k.w.e.r.e na nyie wote mnaoiba kwa mgongo wake mbona mngewashika kindakindaki hao "wapinzani wenye hatia" na kuwabebesha wao zigo lote?
  3. Mtoboasiri

    Bunge lasitisha mjadala wa Tegeta Escrow Account

    Kosa la kiuandishi halibadilishi mantiki as long msomaji kaelewa kilichokusudiwa. Tafuta namna nyingine ya kutetea uozo na wizi unaofanywa na nyie mlio serikalini na sio kung'ang'ania makosa ya sarufi au alfabeti wakati ujumbe uliokusudiwa hata mbumbumbu atauelewa.
  4. Mtoboasiri

    Mwalimu ahamishwa shule baada ya kutuhumiwa kuruhusu Shule yake ya Udongo kupigwa picha

    Huo unaouita ni upande wa pili, huyu mwalimu hajaonyesha kulalamika kuhamishwa ila kutotendewa haki katika uhamisho. Ni haki ya kila mtumishi kupewa haki stahiki!
  5. Mtoboasiri

    Waislamu, mnajisikiaje mnapoyasikia haya?

    Naomba unionyeshe mahali ambapo mkuu wa nchi ya kiislamu (au kiongozi wa dini ya kiislamu alie na backing ya state ya kiislamu) alishawahi kuwalaani boko haram, al qaida au kikundi chechote kinachojinadi kupitia uislamu kwa matendo yake!
  6. Mtoboasiri

    Waislamu, mnajisikiaje mnapoyasikia haya?

    That's the whole point! Kama kuna waislamu wanashawishika na tafsiri ya boko haram juu ya uislamu ina maana wanaujua uislamu (na kuupigania kama walivyoamrishwa). It is even worse ikiwa hao "wasioshawishika" nao wanakaa kimya bila kukemea matendo yanayofanywa na boko haram na kuungwa mkono na...
  7. Mtoboasiri

    Nimepewa Bank note na Jini Ubungo mataa

    Na wewe kwa nini upokee pesa ya kupewa bure?
  8. Mtoboasiri

    Kwa hili, mbunge wa Musoma unajiaibisha

    Hivi nyie watu wa ccm huwa mnaamini kuwa mkiandika ambacho mngependa kitokee kitageuka kuwa ukweli?
  9. Mtoboasiri

    Waislamu, mnajisikiaje mnapoyasikia haya?

    Ingekuwa ni waislamu tu wanaokuwa targeted usingeandika kamwe ulichokiandika hapa! Halafu unavyojitia upofu; wanafunzi ndio jeshi? Mnafiki mkubwa wewe, watoto wako huwaruhusu kwenda shule? Wewe si ccm na muislamu mwenzenu si ndio rais? Basi mshauri ili apige marufuku watoto wote wa kiislamu...
  10. Mtoboasiri

    Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

    Jenerali Ulimwengu alikuwa mkuu wa wilaya lakini tukaambiwa si raia!
  11. Mtoboasiri

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

    Yombaga mwanangwa!
  12. Mtoboasiri

    Kim Poulsen kocha mpya Simba

    Katavi, omba kuifundisha timu yenu jamaa yangu!
  13. Mtoboasiri

    Ajali ya gari yatokea hospitali ya Muhimbili

    Kiswahili ni kigumu sana!
  14. Mtoboasiri

    Ukorofi uliopitiliza

    Notifications za traffic police hii inazuhusu!
  15. Mtoboasiri

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Kwa mujibu Wa documentary ya kituo cha television cha Aljazeera, meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya Presidential Diplomatic Bag wakati Wa ziara ya rais Wa China nchini Tanzania. Documentary hiyo inataja "the highest office in the country" kuhusika na biashara haramu ya meno ya tembo. Wanatoa...
  16. Mtoboasiri

    Nina wasiwasi na January Makamba

    That's right; UNADHANI! Which means YOU DON'T KNOW what you are talking about!
  17. Mtoboasiri

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    But how do you impartially assess this experience? And while you are attempting responding to me think about this "uchakachuaring" tendency that (am sure you'll agree) is prevalent in our country! Ila Nakubaliana nawe ndugu yangu kuwa experience is very important kuliko vyeti, lakini pia...
  18. Mtoboasiri

    Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

    Kibaso yupi, huyu anaendika maoni yake kwenye magazeti huku akiyaita ni "matokeo ya utafiti aliofanya" bila kueleza utafiti aliufanyia wapi na sample yake ilikuwa nini?
  19. Mtoboasiri

    Siku ya tatu Gongo la Mboto hatuna umeme

    Mkome, huko kote ama mlichagua au mliruhusu wizi wa kura ili ccm washinde. Na hicho ni cha mtoto, koseeni 2015 muone cha moto!
Back
Top Bottom