Search results

  1. T

    Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    JULIANA SHONZA Wewe ni mfano mzuri wa watanzania wanaotumia vizuri elimu yao KUFIKIRI na KUELIMISHA bila ya kupotosha. Ukweli ni kuwa hakuna uwezekano wa KUIBA KURA katika mfumo wa Sheria na Tume ya Uchaguzi. Kuna mifano: 1. Katika kila kituo cha kupiga kura na kuhesabu kura, kutakuwa na...
  2. T

    Mh. Lissu, jaji haondolewi kwa malalamiko bungeni au katika majukwaa ya kisiasa

    Mh. Lissu, Mfunge Paka Kengele Nimeshangazwa sana na hatua ya Mh. LISSU ya kuvunja Kanuni za Bunge na kutawanya katika magazeti kile alichokiita utetezi wake bila kujali haki asilia ya wale anaowatuhumu. Nitashangaa kama Bunge litashindwa kulinda hadhi na heshima yake kwa kutomchukulia Mbunge...
  3. T

    Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

    mahakama ya tanzania iko imara na haitikisiki watanzania amkeni, sio porojo zote zinazoandikwa magazetini bila kufuata maadili ni ukweli. Tujaribu kujitafutia taarifa sisi wenyewe bila kuwategemea wale wanaotoa tafsiri zao za sheria. Tujisomee hukumu sisi wenyewe na tusisubiri wanasiasa...
  4. T

    Tuhuma za mh. Lissu dhidi ya majaji zifanyiwe uchunguzi wa kina

    Huku akijiamini na kuamini kuwa aliyokuwa akiyasema ni kweli na ukweli tupu, Mh. Tundu Lissu alitoa tuhuma nzito dhidi ya Mh. RAIS, WAHESHIMIWA MAJAJI, na MAAFISA WA SERIKALI. Nimefanikiwa kusoma taarifa ya Mh. Lissu (MB): “MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA...
  5. T

    Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

    KAULI ZA KIJINAI HAZINA KINGA ZA KISIASA Kifungu cha 214 cha KANUNI YA ADHABU Sura ya 16 inasema: Mtu yeyote atakayekula njama na mtu mwingine yeyote kumuua mtu yeyote, iwe mtu huyo yuko Tanzania Bara au pengine, mtu huyo ni mwenye hatia atapaswa kifungo cha miaka kumi na nne jela. Taarifa...
  6. T

    Hukumu ya Segerea Watanzania tumejifunza nini?

    Fundisho: Usitegemee taarifa za mwenendo wa kesi zinazoandikwa na magazeti kishabili na kwa kuandika ripoti za upande mmoja. Kumbuka magazeti yanafanya biashara na kwa bahati mbaya watanzania wengi hatuoendi kujitafutia taarifa kwa kusoma na tunategemea vichwa vya habari za magazeti.
  7. T

    M4c ni noma!

    WANANCHI WATAAMKA KAMA WATASOMA, WATAJISOMEA, NA KUTAFUTA TAARIFA WENYEWE BILA KUTEGEMEA MAGAZETI YA KISHABIKI. MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUHUSU WATANZANIA. WENGI WETU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUJISOMEA. Tunapenda majibu rahisi na mepesi kutoka majikwa ya kisiasa. Sisi WATANZANIA ni...
  8. T

    Chama cha madaktari (MAT) hakina uwezo wa kisheria kuitisha migomo

    Chama cha Madaktari Tanzania ni Chama Cha hiyari na si Chama cha Wafanyakazi ambacho kina UWEZO WA KUITISHA MIGOMO. Kwa mujibu wa masharti ya usajili wa TMA, hakuna kipengele kinachotoa mamlaka kwa MAT kuitisha migomo. Kitendo cha kuitisha migomo ni sababu tosha kwa Msajili wa Vyama vya Hiyari...
  9. T

    Mgomo wa madaktari umetufunza nini?

    Kisheria migomo Tanzania inaongozwa na sheria, yaliyojiri ilikuwa ni madaktari kutoonekana kazini kinyume na mikataba yao ya ajira. Doa hili linaweza kuwakosesha kazi nje ya Tanzania. Sisi watanzania ni wepesi kusahau utawala wa sheria. Kiapo cha madaktari- Hippocratic Oath- hakina maana kwa...
  10. T

    Werema, aibu tupu

    KWAMBA alitoa hoja ya kuahirishwa mjadala baada ya yeye mbunge mmoja kutoa hoja zake ni udikteta wa huyo aliyetaka wabunge wengine wasitoe maoni yao. Hamuoni kuwa huyu anayetoa hoja halafu anafuntga mijadala ni mtu hatari asiyetaka kukosolewa? Je yeye nani kampa udaraja kuwa chochote...
  11. T

    Mr. President, your response to doctors' strike is tepid!

    DO NOT drag Presidential powers over matters which the law has already assigned to other organs. Briefly, doctors’ strike is ILLEGAL. The strike has no support in law. Medical doctors should now see the importance of joining trade unions like TUCTA. I’m surprised that medical doctors do not know...
  12. T

    Je sheria inasemaje kuhusu wakati gani madaktari wanaweza kugoma?

    Sheria ya Tanzania imeweka utaratibu wa kugoma katika Sheria za Kazi za Mwaka 2004. Sheria za Tanzania pia zimeweka wazi utaratibu wa wafanyakazi wanaotoa huduma muhimu (Essential services) kama madaktari, waongozaji wa ndege wanaotaka kugoma. Je utaratibu wa madaktari kugoma umefuatwa...
  13. T

    Wakenya wauthamini mchango wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

    The Standard | Online Edition :: Wako: The day I escaped in Kikwete's car Amos Wako said:- "Kikwete and Annan wanted my legal advice on whether an Act of Parliament was enough to underpin the MoU into the Constitution," recalls Wako. Not sure of the President’s stand on the matter, the AG...
  14. T

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Ofisi ya RAIS ni kielelezo cha utaifa wa Tanzania. Ni vyema viongozi wa kidini kama Mhashamu Pengo akaiheshimu hii ofisi kwa sababu ni kilelezo cha utaifa wa Tanzania, taifa isiyofungamana na dini yoyote. Lugha inayotumiwa na viongozi wa kidini wa Tanzania ni lugha kali na ni lugha inayobeza...
  15. T

    Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

    Hakuna aliye JUU YA SHERIA. Amri ya Mahakama zitekelezwe na ziheshimiwe na WOTE.
  16. T

    Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

    NAAM. COURTS ORDERS MUST BE RESPECTED; A COURT IS A COURT, EVEN IF IT IS A PRIMARY COURT: “...A Court of justice without power to vindicate its own dignity, to enforce obedience to its mandates, to protect its officers, or to shield those who are entrusted to its care, would be an...
  17. T

    Athari ya demokrasia kupitia maandamano yasiyo na ukomo

    Uendeshaji wa vyama kupitia maandamano unaficha mambo mengi ambayo ni vyema watanzania tujiulize. Je miaka 2010 hadi 2015 tutegemee maandamano wa mji hadi mji? Ndio demokrasia ya vyama inavyojengwa? Je tunatoa nafasi kwa chama kilichoshinda kutekeleza mipango yake? Je upinzani unapinga...
  18. T

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    Riziwani ni kijana muungwana, safi, muadilifu si kama wanasiasa wanavyotaka tuamini. Ni kichekesho viongozi wa kisiasa kutafuta umaarufu kupitia kwa kijana mdogo huyu. Mwanamume mwenye taarifa ya ukweli aipeleke PCCB, Polisi na aweke ushahidi wazi. Tuache kumchafua kijana kwa sababu tu mzazi...
  19. T

    Je sisi watanzania ni taifa la wachapa kazi?

    Je Watanzania sisi ni taifa la wapendao kufanya kazi kwa bidii au ni taifa la walalamishi? Jamii forum inajiita kuwa ni jumuiko la wanaofikiri {GREAT THINKERS}. Kwa bahati mbaya Great thinkers wa JAMII FORUM wamejikita katika siasa, sio uchumi na uzalishaji wa mali na utajiri kwa mtanzania...
  20. T

    Tumpe Rais Kikwete heshima yake

    KAMUDU Nakubaliana na wewe kuwa Rais tuliye naye IS THE BEST PRESIDENT na ana mapenzi ya dhati kuhusu maslahi na ustawi wa nchi yetu na sio vizuri kumlaumu ilhali wa kulaumu ni sisi wenyewe. Kwa bahati mbaya watanzania tunajulikana kwa ufundi wa kulaumu na kutopenda kufanya kazi. Wengine hata...
Back
Top Bottom