Search results

  1. Nyaka-One

    Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Kweli kabisa. Nakumbuka miaka hiyo hasa 1998 kila nilipokuwa nikifika Mwanza ilikuwa ni lazima niingie FM Studio jirani na Mwanza hotel kununua audio cassete na nilikuwa namkuta Gardner hapo studio kama muuzaji. Na baadae kwa muda fulani alihamia duka fulani la kuuza TV lililokuwa jirani kabisa...
  2. Nyaka-One

    Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Hili neno "video" siku nyingi sijalisikia kama ilivyokuwa miaka ile🤣
  3. Nyaka-One

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Nani anapima moyo wa mtu kupitia sadaka? Kama ni Mungu uwa hajui huo moyo wa mtu?
  4. Nyaka-One

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Na hiyo 10% ya zaka itoke kwenye gross income au net income?
  5. Nyaka-One

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    You better tell us something realistic bro. Siyo porojo tu ukiwa nyuma ya keyboard. Hakuna chembe yoyote ya uchoyo kwenye huo mfano nilioutoa.
  6. Nyaka-One

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Ni rahisi sana kusema kuliko uhalisia. Yaani upate 500,000 na matumizi yawe 200,000? Labda kama hiyo 500,000 unaivuna sehemu hiyo hiyo unayoamkia na kulala, hauna mke/mme na watoto (familia), si mpangaji wa nyumba za watu na unaishi sehemu ambako mahitaji hayakumbani na mfumko mkubwa wa bei...
  7. Nyaka-One

    Kuna mawaziri wana Sponsor Raisi atukanwe?

    Hivi kwa kutoa kauli hiyo hata kama itafika hiyo Jumatatu wasengenyaji wakawa wametulia, huyo mropokaji bado ataendelea kukaa kimya bila kuwataja majina yao kwa rais? Kwa vyovyote vile rais mwenyewe angependa kujua majina yao hata kabla ya hiyo Jumatatu bila kujali kama wamestop kumsema vibaya...
  8. Nyaka-One

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Ahsante. Tunasubiri uendelee kutupa mwanga juu ya hili.
  9. Nyaka-One

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Kwenye hilo swali umri wangu ni muhimu? Ok umri ni 25 yrs. Tiririka sasa.
  10. Nyaka-One

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Ina maana ile kauli maarufu ya kisheria isemayo mahakama inatakiwa "ku-prove beyond reasonable doubt" haikuzingatiwa katika maeneo haya mawili? 1. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mpangaji alikuwa kaacha ndani kiasi hicho cha pesa milioni mbili. 2. Ku-prove beyond reasonable doubt...
  11. Nyaka-One

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Unaweza kutuwekea hapa hiyo process na procedure ya kumtolea vyombo nje?
  12. Nyaka-One

    Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

    Wewe ushauri wako ni upi kwa mleta mada ndugu?
  13. Nyaka-One

    Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

    Kwa hiyo hata kuwa na pacemaker na kisukari mwilini ni sehemu ya kuwa na kila kitu?
  14. Nyaka-One

    Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Yaani huyo wa pili kutoka kushoto ndiye anaitwa Georgia Mutagahywa?🤣
  15. Nyaka-One

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Yaani kilo 50 tu za mahindi nayo ni habari?
  16. Nyaka-One

    KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

    Soko lipi la Karume? Maana pale kuna soko la Karume la mitumba na lile la bidhaa nyingine za vyakula.
  17. Nyaka-One

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Kwamba jina la kitabu ni YERICKO NYERERE na mtunzi wake ni MOSCOW OPERESHENI UKRAINE🤣🤣.
  18. Nyaka-One

    Utunzaji wa vyakula kwenye friji

    Unaweza kufanya hivyo kwa kuchanganya nyanya na viungo vingine ili ukihifadhi mchanganyiko huo ili kama unapika mboga yako ibaki tu kazi rahisi ya kumimina kwenye kipikio?
  19. Nyaka-One

    Matangazo ya biashara ya Kariakoo yanarekodiwa na mtu mmoja?

    Nafikiri kuna vijana wengi wanaofanya kazi hiyo ya kuandaa matangazo ambayo yanakuwa customized kutegemea na jina la biashara ya muuzaji na pia aina ya biashara yake na mahali ilipo.
Back
Top Bottom