Search results

  1. D

    Polisi wamwachie Lulu mara moja................

    Ruta... jiulize swali waki muachia nani ataisaidia polisi in case she commit suicide? she was the last person to be seen with the deceased thats were investigation commences. Hata hivyo Lulu bado ni Mtuhumiwa tu mpaka itakavyo amriwa vinginevyo kama kutakuwa na trial. Na kwa mfumo wetu at the...
  2. D

    Najitolea kuwa wakili wa Lulu

    Nenda mama kesi hiyo inatolewa macho na wote si umejionea umati wa watu msibani.
  3. D

    Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

    Vipi hali yake saa hiko vije au kamepitiliza kumfata?
  4. D

    Napinga kwa nguvu zote CHADEMA kutokata rufaa

    Kwa kifungu alichokieleza mleta mada ni kweli hawezi gombea. Judge amepitiwa maana hakuna ushahidi kuhusu rushwa ambao ulielekezwa katika mwenendndo mzima. Hivyo the only way nikupeleka maombi Mahakama Kuu ili iweze yenyewe ku rectify error on judgment au vinginevyo kuomba marejeo "Revision"...
  5. D

    Napinga kwa nguvu zote CHADEMA kutokata rufaa

    Kwa kifungu alichokieleza mleta mada ni kweli hawezi gombea. Judge amepitiwa maana hakuna ushahidi kuhusu rushwa ambao ulielekezwa katika mwenendndo mzima. Hivyo the only way nikupeleka maombi Mahakama Kuu ili iweze yenyewe ku rectify error on judgment au vinginevyo kuomba marejeo "Revision"...
  6. D

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Uongozi wa juu its doubtful Warioba he has been their for his entire life amechange suddenly baada ya kutoka siamini kama anaweza ku against. On the other hand the C.J Ramadhani as he was then wamemuweka kufanya balance ktk uongozi wa juu - lakini uamuzi wa mwisho kuhusu mgombea binafsi bado...
  7. D

    Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

    poleni sana Mungu awajalie muuendelee kutumikia nguvu ya umma
  8. D

    Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

    Magamba bana wanafikiri watapata kurudiwa uchaguzi ilemela na ukerewe, get well soon brothers and resume to your stead responsibilities,
  9. D

    Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

    Magamba bana wanafikiri watapata kurudiwa uchaguzi ilemela na ukerewe, get well soon brothers and resume to your stead responsibilities,
  10. D

    Heko spika makinda kwa hatua makini

    angalia upepo kwanza kabla ujarusha vitu
  11. D

    Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    Kwa kweli tuna hatari kubwa huko tuendako watu wanajali maslahi binafsi hee mungu tuangaze.
  12. D

    Je, Watanzania mlio nje ni vibarua na wabeba maboksi?

    swala si qualification yako issue ni je wanatuma? sijui wametumiaje au la sio tatizo tunaangalia pato la taifa kwa manufaa ya wote sio mmoja mmoja.
  13. D

    Masha yuko Njema sana

    it reminds me of deep green
  14. D

    Masha yuko Njema sana

    among the most dangerous ppl using political shield.
  15. D

    Mabinti wa Presidaa M7 we acha tu!

    Wametulia ila hatujui kama wameolewa au tabia zao hazifanani nao.
  16. D

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Afisa Mipango Miji na jiji ndio chanzo cha vurugu wao waliwarudisha maeneo ambayo sio rasmi wakitegemea nini ina bidi wawajibishwe . Ila wamachinga kuchoma magari ya wananchi ambao hawana hatia pamoja na kuvunja mali na maduka ya watu sio njia sahii ya kufikisha ujumbe. hapa niko juu ofisini...
  17. D

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Afisa Mipango Miji na jiji ndio chanzo cha vurugu wao
  18. D

    Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

    Hiyo ni kama head master na cleaner wa nursery school incompatible
  19. D

    Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

    misri libya na kwingineko walikamatwa wapinzani mara nyingi na wengine kunyongwa TV za mataifa zikionyesha live lakini mwisho tumeuona ngguvu ya umma ni sauti ya Mungu.
  20. D

    sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

    Huyo simba mbona kacho hivyo na hao sita wengine kwa nini hawajonekana wakipata chochote au walikuwa washashiba na mie sioni vizuri kama kuna sehemu imenyofolewa.
Back
Top Bottom